Mtoto wa kike, ukiombwa namba toa

Mtoto wa kike, ukiombwa namba toa

Juzi unataka wanawake wahonge
Leo watoe namba embu tupumzishe sie
 
Mtoto wa kike, ukiombwa namba toa, hata kama humpendi huyo mwanaume.

Kama humtaki, tumia mbinu za ki-digitali:-​
  • Atakapoanza kuchati na wewe; mpige mzinga mkubwa, kwa mfano; akununulie kiwanja n.k; hapo lazima akukimbie bila kumkwaza.​
Hii njia itakujengea heshima na haitakukwaza na watu.​
Simple tu, tunahonga kiwanja feki, hati feki na mbususu inaliwa 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom