Mtoto wa kike wa miaka 9 kulala na babake

Mimi ni single mother wa mtoto wa kike wa miaka 10. Nipo kwenye mahusiano ya kimapenzi na single father mwenye binti wa miaka 9.

Watoto wetu wanasoma shule moja madarasa tofauti. Tulikutana kwenye mkutano wa wazazi shuleni. Hali ya kuwa single parent ilituunganisha, tukajikuta tupo mapenzini. Tumekuwa msaada kwa kila mmoja wetu kwenye malezi.

Hatuishi pamoja officially ila tunatembeleana na sleepovers za mara kwa mara.

Tatizo ni huyu mtoto wangu kupitia mpenzi wangu, anapenda kulala na babake. Babake anasema ndio yuko hivyo kwani ameanza kumlea toka ana miezi 6 na hivyo kubidi kulala nae toka umri huo. Ameshindwa kum'wean'.

Akilala peke yake au na mwanangu hapati usingizi, inabidi aje chumbani kwetu tulale nae, either hadi asubuhi au tumhamishe kwa kumbeba akiwa ameshalala.

Naomba ushauri nifanye nini kumsaidia huyu mtoto aweze kujitegemea.

Natanguliza shukran wapendwa.
tafuteni chumba chake na mkirembe ili aweze kulala.
 
stage alofika mtoto sasa ni kuanza kulala na dada wa kazi sababu huez kulala na boxer na mtoto wa miaka9 ashaanza kujua kila kitu ikishindikana ampeleke kwa aunt au bibi kwa kuanza kujifunza .........
 
Watoto wa kike Ni marafiki wakubwa wa Baba. Na kwakuwa yupo na Baba Yake tangu akiwa 6months, mtoto Hana makosa, anafeel upendo wa baba Yake, miaka 9 Ni michache bado, ilimradi aendelee kufundishwa taratibu kwamba Sasa amekuwa. Nadhani jukumu Hilo alifanye baba. Anaweza kuwa anaenda kulala nae kwenye chumba chake (binti) kwa muda halafu anamtoroka usiku, akiamka asubuhi anajikuta mwenyewe, itamsaidia kuanza kujiona anamiliki hicho chumba. Lakini pia kumsomea Hadithi au kumsimulia Hadi asinzie. Vipo vingi vya kuanza kumuondoa taratibu kifuani kwa baba Yake na akawa anajitegemea. Ila bond waliyonayo na baba Yake sii RAHISI na haitakiwi kuivunja, Bali kutafuta Mazingira mazuri ya kuihandle.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji122]
 
Mwache akikua ataacha.

Kwa kuwa hakuna mwanamke ndani ya nyumba huyo binti anachukuwa role ya mama mwenye nyumba kisaikolojia (possessiveness).

Tena kuwa makini sana asije kukuona unamuingilia kwenye himaya yake.

Wacheni uzinzi na uasherati. Unaongelea u "single mother" kama vile ni sifa.

Tena kujichunga kwenyewe ni uache kabisa kukutana na huyo mwanamme mpaka muoane. Huko ndiyo kumsaidia huyo mtoto, bila hivyo unamsadia nini kwa kufanya zinaa na uasherati dhahiri dhahiri bila hata ya aibu.

Wazinifu wachafu nyie mnafanya uzinifu wenu mbele ya watoto wadogo, mnawafundisha nini? Wawe Malaya?

Makosa kama mlifanya nyinyi msiwaambukize na watoto.

Pambaf.
Hahaaa..dah!
 
I think that 12 is more or less the age in which a daughter shouldn't
sleep with her father any more. I'm talking of course, about a
normative father, in which case there's no chance in the world
he'll harm her.
 
Back
Top Bottom