Mtoto wa Baba
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 3,123
- 4,023
Hahahahahaha rafiki miaka 30 mbona mingi?Hakuna kama Baba,mwache mtoto alale na baba yake mpendwa!Mimi nitalala na wa kwangu hata kama ana miaka thelathini!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahaha rafiki miaka 30 mbona mingi?Hakuna kama Baba,mwache mtoto alale na baba yake mpendwa!Mimi nitalala na wa kwangu hata kama ana miaka thelathini!
Rafiki kwani akiwa na miaka 30 anapoteza sifa ya kuwa mtoto?Hahahahahaha rafiki miaka 30 mbona mingi?
Kama kuna chumba kitupu mnunulieni kitanda chake na furniture za kitoto kwa mwanamke ili zimvutie apate kulala peke yake. Wakati mnafanya hivyo wewe mama wa kambo uwepo hapo kama wiki 2 ili kumzowesha kulala peke yake.
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Mimi ni single mother wa mtoto wa kike wa miaka 10. Nipo kwenye mahusiano ya kimapenzi na single father mwenye binti wa miaka 9.
Watoto wetu wanasoma shule moja madarasa tofauti. Tulikutana kwenye mkutano wa wazazi shuleni. Hali ya kuwa single parent ilituunganisha, tukajikuta tupo mapenzini. Tumekuwa msaada kwa kila mmoja wetu kwenye malezi.
Hatuishi pamoja officially ila tunatembeleana na sleepovers za mara kwa mara.
Tatizo ni huyu mtoto wangu kupitia mpenzi wangu, anapenda kulala na babake. Babake anasema ndio yuko hivyo kwani ameanza kumlea toka ana miezi 6 na hivyo kubidi kulala nae toka umri huo. Ameshindwa kum'wean'.
Akilala peke yake au na mwanangu hapati usingizi, inabidi aje chumbani kwetu tulale nae, either hadi asubuhi au tumhamishe kwa kumbeba akiwa ameshalala.
Naomba ushauri nifanye nini kumsaidia huyu mtoto aweze kujitegemea.
Natanguliza shukran wapendwa.
Hahahahahaa anabaki kuwa mtoto lakini si vizuri kulala naye mkuuRafiki kwani akiwa na miaka 30 anapoteza sifa ya kuwa mtoto?
Hahahahahaa anabaki kuwa mtoto lakini si vizuri kulala naye mkuu
Mimi binafsi nilikuwa kama mtoto wa mpenzi wake mleta uzi Ila niliacha mapema kuliko yeye
Hii ndio solution, watoto wanaelewa usiwachukulie poaHaya malezi ndio yale ya kina "no junia nooo"
miaka 9 charaza bakora atie akili
wakuu,mmegoma kulala au mko USA nin?MTAENDELEA KUENDELEZA KIZAZI CHA USINGLE PARENT NILIVYOSOMA TU PARAGRAPH YA KWANZA NIKAJUA USINGLE PARENT PART TWO UNATOKEA, BUT INABIDILI UJADILI NA SINGLE PARENT MWENZANKO MFUNGE NDOA KWANZA MJENGE EMPIRE YENU #. USHAURI WA BURE
Bongo hii hii shida nini mkuu?wakuu,mmegoma kulala au mko USA nin?
Watoto wa kike Wanakuwa attracted na baba vivyo hivyo watoto wa kiume wanavitiwa na kuwa karibu na mama, hii ni psychology tu, hizi hisia Huwa zinaisha katika umri huo wa Mika kabla ya balehe/ kuvunja ungo, na mtoto anakuwa na wivu balaa , huyo Binti atakuwa anakuona nuksi kabisa pindi upo na baba yake, fanyeni mpango aanze kulala peke yake maana anakaribia kubalehe huyo na sisi wanaume tuna udhaifu mkubwa yasije yakatokea majanga halafu mkajilaumu, Yaani atake asitake iwe Kwa diplomasia ama Kwa amri akalale peke yake , hata akilia chapa fimbo akalale peke yake hautakuwa unamuonea Bali unamsaidia, mtoto hapaswi kabisa kuchungulia tupu ya MZAZI wake, baba anaweza kurudi kalewa halafu akajiachia mambo ni mengiKama nilivyodokeza awali, sio kwamba tunaishi pamoja officially bali tunatembeleana na husleep over kwetu au kwao. Hivyo kuhusu kuvamiwa, unadhani baba aendelee kuwa single au awe kwenye mahusiano ya vichochoroni kulinda hisia za mwana hadi lini? Kwa mtizamo wangu sioni hekima ya mtoto wetu huyu kuendelea kulala na babake. Na anamjua mamake na hana connection nae kiasi babake anashukuru hata kitendo cha mtoto kukubali kusleep over kwangu. Tunalichukulia hili jambo kwa umakini wa hali ya juu kuepuka kuumiza hisia za mtoto ndio maana numewashirikisha ndugu zangu wa JF kwa ushauri.
mkuu umeangalia kwanza ni post ya mwaka gani?:si ajabu sahv huyo bint yuko form2Watoto wa kike Wanakuwa attracted na baba vivyo hivyo watoto wa kiume wanavitiwa na kuwa karibu na mama, hii ni psychology tu, hizi hisia Huwa zinaisha katika umri huo wa Mika kabla ya balehe/ kuvunja ungo, na mtoto anakuwa na wivu balaa , huyo Binti atakuwa anakuona nuksi kabisa pindi upo na baba yake, fanyeni mpango aanze kulala peke yake maana anakaribia kubalehe huyo na sisi wanaume tuna udhaifu mkubwa yasije yakatokea majanga halafu mkajilaumu, Yaani atake asitake iwe Kwa diplomasia ama Kwa amri akalale peke yake , hata akilia chapa fimbo akalale peke yake hautakuwa unamuonea Bali unamsaidia, mtoto hapaswi kabisa kuchungulia tupu ya MZAZI wake, baba anaweza kurudi kalewa halafu akajiachia mambo ni mengi
nadhani akipevuka atajitenga automatical.Sio kutubana tu, pia anatakiwa kujitegemea. Kulala peke yake ni moja ya hatua katika kuendea kujitegemea. Una ushauri wowote?