Mtoto wa kike wa miaka 9 kulala na babake

tafuteni chumba chake na mkirembe ili aweze kulala.
 
stage alofika mtoto sasa ni kuanza kulala na dada wa kazi sababu huez kulala na boxer na mtoto wa miaka9 ashaanza kujua kila kitu ikishindikana ampeleke kwa aunt au bibi kwa kuanza kujifunza .........
 
Watoto wa kike Ni marafiki wakubwa wa Baba. Na kwakuwa yupo na Baba Yake tangu akiwa 6months, mtoto Hana makosa, anafeel upendo wa baba Yake, miaka 9 Ni michache bado, ilimradi aendelee kufundishwa taratibu kwamba Sasa amekuwa. Nadhani jukumu Hilo alifanye baba. Anaweza kuwa anaenda kulala nae kwenye chumba chake (binti) kwa muda halafu anamtoroka usiku, akiamka asubuhi anajikuta mwenyewe, itamsaidia kuanza kujiona anamiliki hicho chumba. Lakini pia kumsomea Hadithi au kumsimulia Hadi asinzie. Vipo vingi vya kuanza kumuondoa taratibu kifuani kwa baba Yake na akawa anajitegemea. Ila bond waliyonayo na baba Yake sii RAHISI na haitakiwi kuivunja, Bali kutafuta Mazingira mazuri ya kuihandle.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji122]
 
Hahaaa..dah!
 
I think that 12 is more or less the age in which a daughter shouldn't
sleep with her father any more. I'm talking of course, about a
normative father, in which case there's no chance in the world
he'll harm her.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…