Ikishindikana itumike nguvu tu, sisi ni wabantu bwana.Nimemweleza babake karidhia. Ila natafuta njia nzuri ya kumwelewesha mtoto akubali kawa mkubwa kulala na baba sasa basi.
Yani haya matoto ya kisasa kama kuku wa kisasa shida.Litoto la boss wangu lipo form 6 mambo yake kama chekechea.Kubwaaaa lakini mara licheze mbele ya wazazi likate kiuno.Yani ni tafrani.Wakati linatakiwa kujitambua
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha fanya mpango umuoe , umfundishe tabia.Yani haya matoto ya kisasa kama kuku wa kisasa shida.Litoto la boss wangu lipo form 6 mambo yake kama chekechea.Kubwaaaa lakini mara licheze mbele ya wazazi likate kiuno.Yani ni tafrani.Wakati linatakiwa kujitambua
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua watoto wa kike wanahitaji sana ukaribu wa wazazi hasa mama ndio maana baba ukisafiri watoto wa kike huhamia kulala na mama. Tofauti na watoto wa kiume hata mama akiondoka hata siku moja hawahamiii kulala master bedroom.Mimi ni single mother wa mtoto wa kike wa miaka 10. Nipo kwenye mahusiano ya kimapenzi na single father mwenye binti wa miaka 9.
Watoto wetu wanasoma shule moja madarasa tofauti. Tulikutana kwenye mkutano wa wazazi shuleni. Hali ya kuwa single parent ilituunganisha, tukajikuta tupo mapenzini. Tumekuwa msaada kwa kila mmoja wetu kwenye malezi.
Hatuishi pamoja officially ila tunatembeleana na sleepovers za mara kwa mara.
Tatizo ni huyu mtoto wangu kupitia mpenzi wangu, anapenda kulala na babake. Babake anasema ndio yuko hivyo kwani ameanza kumlea toka ana miezi 6 na hivyo kubidi kulala nae toka umri huo. Ameshindwa kum'wean'.
Akilala peke yake au na mwanangu hapati usingizi, inabidi aje chumbani kwetu tulale nae, either hadi asubuhi au tumhamishe kwa kumbeba akiwa ameshalala.
Naomba ushauri nifanye nini kumsaidia huyu mtoto aweze kujitegemea.
Natanguliza shukran wapendwa.
Aisee kama haina ushemeji basi pia haina undugu, anyway miaka 9 ni wazi kabisa mtoto anaelewa zuri na baya so aambiwe tu kuwa haipendezi mtoto wa kike kukumbatia kifua cha babake ndani ya shuka moja kwa umri huo..
Mama kamtosa mtoto tangu akiwa na miezi , kweli huyu mtoto anatambua ladha ya mama? Si ajabu hata hamjui mama yake.Mtoto anasumbuliwa na upweke kwa kuto kua na mama. Cha msingi huyu mama afanye kazi yake vyema mtoto asikumbuke mama ake mzazi.. huyu mama ndio kavamia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hojaHaya malezi ndio yale ya kina "no junia nooo"
miaka 9 charaza bakora atie akili
Inawezekana alidedi asee. Tusihukumu kwanza.Mama kamtosa mtoto tangu akiwa na miezi , kweli huyu mtoto anatambua ladha ya mama? Si ajabu hata hamjui mama yake.
Ni kweli Mkuu, nimeongea tu kwa hasira, inauma sana mwanaume kulea mtoto tangu akiwa miezi 6..atleast basi hata awe miaka mitatu anaweza kuongea.Inawezekana alidedi asee. Tusihukumu kwanza.
Mtoto anasumbuliwa na upweke kwa kuto kua na mama. Cha msingi huyu mama afanye kazi yake vyema mtoto asikumbuke mama ake mzazi.. huyu mama ndio kavamia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana alidedi asee. Tusihukumu kwanza.
Kwa kutumia nguvu hatutaharibu zaidi?Ikishindikana itumike nguvu tu, sisi ni wabantu bwana.
Ulikuwaje ukawa single parent wakat unaonekana smart san dada? Nadhan kwa huyo jamaa umekosea njia.
Anyway, weaning huwa ni kumuachisha mtoto ziwa toka kwa mama ake ili aanze kujitegemea kula mwenyewe, ila hili la baba kulala na mwanae wa kike wa miaka 9 limekaa kiaina sana. Nafikiri kuna something behind, jaribu kupeleleza ili upate jibu sahihi.
Ndo malezi hayo. Pambaneni naye taratibu atazoea. Mtoto wako amewezaje kutokukutegemea kwenye kulala? Ulishamzoesha kulala peke yake?Mimi ni single mother wa mtoto wa kike wa miaka 10. Nipo kwenye mahusiano ya kimapenzi na single father mwenye binti wa miaka 9.
Watoto wetu wanasoma shule moja madarasa tofauti. Tulikutana kwenye mkutano wa wazazi shuleni. Hali ya kuwa single parent ilituunganisha, tukajikuta tupo mapenzini. Tumekuwa msaada kwa kila mmoja wetu kwenye malezi.
Hatuishi pamoja officially ila tunatembeleana na sleepovers za mara kwa mara.
Tatizo ni huyu mtoto wangu kupitia mpenzi wangu, anapenda kulala na babake. Babake anasema ndio yuko hivyo kwani ameanza kumlea toka ana miezi 6 na hivyo kubidi kulala nae toka umri huo. Ameshindwa kum'wean'.
Akilala peke yake au na mwanangu hapati usingizi, inabidi aje chumbani kwetu tulale nae, either hadi asubuhi au tumhamishe kwa kumbeba akiwa ameshalala.
Naomba ushauri nifanye nini kumsaidia huyu mtoto aweze kujitegemea.
Natanguliza shukran wapendwa.
Ndo malezi hayo. Pambaneni naye taratibu atazoea. Mtoto wako amewezaje kutokukutegemea kwenye kulala? Ulishamzoesha kulala peke yake?