Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Huyo mama ni shetani kama ibilisi.Yupo ana maisha yake na ana watoto wengine. Hana ukaribu na huyu ninae muongelea hapa ingawa ndio first born.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mama ni shetani kama ibilisi.Yupo ana maisha yake na ana watoto wengine. Hana ukaribu na huyu ninae muongelea hapa ingawa ndio first born.
Huyo mama ni shetani kama ibilisi.
Acheni kumdekeza huyo mtoto. Mtieni bakora akalale peke yake huko. Miaka 9 analala kwenye kifua cha baba? Huyo mwanaume ana akili timamu? Nakushauri ukae nae mbali sana kabla hujapata watoto wawili kwa baba wawiliThings happen. Nitaendelea kupelekeza na pia kutafuta njia ya kumsaidia.
Acheni kumdekeza huyo mtoto. Mtieni bakora akalale peke yake huko. Miaka 9 analala kwenye kifua cha baba? Huyo mwanaume ana akili timamu? Nakushauri ukae nae mbali sana kabla hujapata watoto wawili kwa baba wawili
Mama bora hawezi mtelekeza mtoto wa miezi 6.... bila kujalisha chochote. I tell you me.Sijawahi kukutana nae kusikia upande wake wa story. Siwezi kumhukumu hivyo.
Hakuna cha kuharibu, waswahili wanasemaga kenge ili asikie ni lazima masikio yatoe damu.Kwa kutumia nguvu hatutaharibu zaidi?
Aisee nitampiga na ile fito ya ufagio kichwani mpaka ivunjike.au ndo yale matoto liko form two bado linaulizia begi la shule liko wapi kutoka kwa dada wa kazi.
Pia nikadhani huyu ni baba bora, kulea mtoto mdogo hadi anakaribia u pre teen. Angeweza kumpeleka kwa bibi au shangazi lakini alijua umuhimu wa malezi ya mzazi kwa mtoto. The kid is bright and well behaved. Tatizo nililoliona hadi sasa ni kutoweza kulala bila babake na nahisi linarekebishikika.Mama bora hawezi mtelekeza mtoto wa miezi 6.... bila kujalisha chochote. I tell you me.
Yeah miezi sita bado mtoto ananyonya ziwa la mama kwa amani na upendo. Kiroho safi kabisa. Sasa huyu mtoto inawezekana kazoeshwa mambo ya wakubwa akiwa mtoto. Ndo maana hapendi kucheza mbali na kifua cha baba. Baba lilivyo zembe badala ya kumcharaza bakora lenyewe linaendekeza kulala na bintiye... Laanakum!Ni kweli Mkuu, nimeongea tu kwa hasira, inauma sana mwanaume kulea mtoto tangu akiwa miezi 6..atleast basi hata awe miaka mitatu anaweza kuongea.
Hana house girl?Pia nikadhani huyu ni baba bora, kulea mtoto mdogo hadi anakaribia u pre teen. Angeweza kumpeleka kwa bibi au shangazi lakini alijua umuhimu wa malezi ya mzazi kwa mtoto. The kid is bright and well behaved. Tatizo nililoliona hadi sasa ni kutoweza kulala na babake na nahisi linarekebishikika.
Kweli hii ni laana Mkuu, na usikute katoto hua kanalala na chupi tu na mzee yuko na Boksa, wanakumbatiana na kukapapasa katoto mgongo,mapaja na makalio.. Laaanasumakha.Yeah miezi sita bado mtoto ananyonya ziwa la mama kwa amani na upendo. Kiroho safi kabisa. Sasa huyu mtoto inawezekana kazoeshwa mambo ya wakubwa akiwa mtoto. Ndo maana hapendi kucheza mbali na kifua cha baba. Baba lilivyo zembe badala ya kumcharaza bakora lenyewe linaendekeza kulala na bintiye... Laanakum!
Anao, wale wa kuja asubuhi na kuondoka jioni jumatatu hadi ijumaa. Na ndio huyo huyo toka mtoto akiwa mdogo hadi leo.Hana house girl?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mdogo wangu umepata simu?Haya malezi ndio yale ya kina "no junia nooo"
miaka 9 charaza bakora atie akili
House girl angeweza kulala na huyo binti. Ulijaribu kumuuluza kwanini house girl ni wa kuja na kuondoka?Anao, wale wa kuja asubuhi na kuondoka jioni jumatatu hadi ijumaa. Na ndio huyo huyo toka mtoto akiwa mdogo hadi leo.
God forbid... unaweza kukuta anakanyonyesha mgegedo...Kweli hii ni laana Mkuu, na usikute katoto hua kanalala na chupi tu na mzee yuko na Boksa, wanakumbatiana na kukapapasa katoto mgongo,mapaja na makalio.. Laaanasumakha.
Ndio najaribu. Naogopa nisijemharibu kisaikolojia tukashundwa kuelewena. Ningependa kumsaidia zaidi ya kumtisha. Pengine nahutaji details za past yake.Jitahidi usimlazimishe nenda nae taratibu vinginevyo atakuona mwanga fulani umekuja kumtenganisha yeye na baba yake
Sent using Jamii Forums mobile app