fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
mtoto unataliwa kutafuta njia za kitoto za nna ya kumwambia,huku ama unampa chokileti au aysikirimu na wakati mwingine mnaenda bichi then huko mnamweleza,na wakati huo ushamtayarishia kitanda chake vizuri na mmemuwekea midoli ya kila aina,mkirudi unampelekwa kwenye room yake,unamwambia utalala hapa na hii midoli ucheze nayo,atakubali kwa furaha tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app