Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na huyo mwanaume .Mtakuja kugombana baadae ..U cant take her daughter's place in his heart na ukiendelea Ku insist atakumwaga without a doubt
Haa jamamni. Siujui mimiYaani nikionaga hii Avatar moyo unafanya pah, alafu nikiangalia tena ndo nakua normal. Inaweza kua ugonjwa gani huu?
Sidhani, katasema tu. Ngoja nitafute safari ya wawili mimi na mtoto wa kambo. Tutapate muda mwingi wa kuzoeana na kubadilishana mawili matatu na pia nione itakuaje akiwa mbali na babake.
Kuwa makini kwa hatua yeyote utakayoichukua, unapaswa kutambua kuwa sio mtoto pekee anayeng'ang'ania kulala na baba ila hata baba yake baada ya kuishi nae miaka mingi wameshajenga bond kubwa sana, so ukifanya kitu kitakacho muumiza mtoto inawezeza kughalimu mahusiano yako na huyo mwanaumeAsante kwa ushauri. Nitaendelea kuchunguza.
huna haja ya kutoka nduki Kwani pendekezo lako ni la uhakikaKama kuna chumba kitupu mnunulieni kitanda chake na furniture za kitoto kwa mwanamke ili zimvutie apate kulala peke yake. Wakati mnafanya hivyo wewe mama wa kambo uwepo hapo kama wiki 2 ili kumzowesha kulala peke yake.
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Nina lijukuu langu (kwa Kaka yangu) nalo liko hivyo hivyo mkuu!!!Yani haya matoto ya kisasa kama kuku wa kisasa shida.Litoto la boss wangu lipo form 6 mambo yake kama chekechea.Kubwaaaa lakini mara licheze mbele ya wazazi likate kiuno.Yani ni tafrani.Wakati linatakiwa kujitambua
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ibilisi kivipi, we mkeo utafurahia awe na mawasiliano na ex wake kwa kisingizio cha mtoto?Huyo mama ni shetani kama ibilisi.
Stiki ndio dawa peke yake, "asipoumia habadiliki"Nina lijukuu langu (kwa Kaka yangu) nalo liko hivyo hivyo mkuu!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya malezi ndio yale ya kina "no junia nooo"
miaka 9 charaza bakora atie akili
Nimekupata.
Hii haitawasaidia wote wawili, baba na mtoto hasa kwenye maisha baada ya kulea. Ikitokea binti kaolewa ndio baba aanze kutafuta wa kureplace mtoto moyoni mwake?
Swala la kumtenganisha na babaake atakuona adui sana. 9 years kwa ubongo wa mtoto holds a lot of memories. Transformation anatakiwa airatibu baba wa mtoto maana ndio ataskilizwa na kueleweka by 90% if not a hundred!Mwache akikua ataacha.
Kwa kuwa hakuna mwanamke ndani ya nyumba huyo binti anachukuwa role ya mama mwenye nyumba kisaikolojia (possessiveness).
Tena kuwa makini sana asije kukuona unamuingilia kwenye himaya yake.
Wacheni uzinzi na uasherati. Unaongelea u "single mother" kama vile ni sifa.
Tena kujichunga kwenyewe ni uache kabisa kukutana na huyo mwanamme mpaka muoane. Huko ndiyo kumsaidia huyo mtoto, bila hivyo unamsadia nini kwa kufanya zinaa na uasherati dhahiri dhahiri bila hata ya aibu.
Wazinifu wachafu nyie mnafanya uzinifu wenu mbele ya watoto wadogo, mnawafundisha nini? Wawe Malaya?
Makosa kama mlifanya nyinyi msiwaambukize na watoto.
Pambaf.
Huo uzi kama nimewahi kuuona[emoji23]Haya malezi ndio yale ya kina "no junia nooo"
miaka 9 charaza bakora atie akili
Swala la kumtenganisha na babaake atakuona adui sana. 9 years kwa ubongo wa mtoto holds a lot of memories. Transformation anatakiwa airatibu baba wa mtoto maana ndio ataskilizwa na kueleweka by 90% if not a hundred!Mimi ni single mother wa mtoto wa kike wa miaka 10. Nipo kwenye mahusiano ya kimapenzi na single father mwenye binti wa miaka 9.
Watoto wetu wanasoma shule moja madarasa tofauti. Tulikutana kwenye mkutano wa wazazi shuleni. Hali ya kuwa single parent ilituunganisha, tukajikuta tupo mapenzini. Tumekuwa msaada kwa kila mmoja wetu kwenye malezi.
Hatuishi pamoja officially ila tunatembeleana na sleepovers za mara kwa mara.
Tatizo ni huyu mtoto wangu kupitia mpenzi wangu, anapenda kulala na babake. Babake anasema ndio yuko hivyo kwani ameanza kumlea toka ana miezi 6 na hivyo kubidi kulala nae toka umri huo. Ameshindwa kum'wean'.
Akilala peke yake au na mwanangu hapati usingizi, inabidi aje chumbani kwetu tulale nae, either hadi asubuhi au tumhamishe kwa kumbeba akiwa ameshalala.
Naomba ushauri nifanye nini kumsaidia huyu mtoto aweze kujitegemea.
Natanguliza shukran wapendwa.
Asante sana kwa ushauri.Swala la kumtenganisha na babaake atakuona adui sana. 9 years kwa ubongo wa mtoto holds a lot of memories. Transformation anatakiwa airatibu baba wa mtoto maana ndio ataskilizwa na kueleweka by 90% if not a hundred!
Umekua sheikh Yahaya wewe kutabiri mambo ya jamii?Ulikuwaje ukawa single parent wakat unaonekana smart san dada? Nadhan kwa huyo jamaa umekosea njia.
Anyway, weaning huwa ni kumuachisha mtoto ziwa toka kwa mama ake ili aanze kujitegemea kula mwenyewe, ila hili la baba kulala na mwanae wa kike wa miaka 9 limekaa kiaina sana. Nafikiri kuna something behind, jaribu kupeleleza ili upate jibu sahihi.