Mtoto wa kike wa miaka 9 kulala na babake

Mtoto wa kike wa miaka 9 kulala na babake

Achana na huyo mwanaume .Mtakuja kugombana baadae ..U cant take her daughter's place in his heart na ukiendelea Ku insist atakumwaga without a doubt

Nimekupata.
Hii haitawasaidia wote wawili, baba na mtoto hasa kwenye maisha baada ya kulea. Ikitokea binti kaolewa ndio baba aanze kutafuta wa kureplace mtoto moyoni mwake?
 
Asante kwa ushauri. Nitaendelea kuchunguza.
Kuwa makini kwa hatua yeyote utakayoichukua, unapaswa kutambua kuwa sio mtoto pekee anayeng'ang'ania kulala na baba ila hata baba yake baada ya kuishi nae miaka mingi wameshajenga bond kubwa sana, so ukifanya kitu kitakacho muumiza mtoto inawezeza kughalimu mahusiano yako na huyo mwanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kuna chumba kitupu mnunulieni kitanda chake na furniture za kitoto kwa mwanamke ili zimvutie apate kulala peke yake. Wakati mnafanya hivyo wewe mama wa kambo uwepo hapo kama wiki 2 ili kumzowesha kulala peke yake.


Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
huna haja ya kutoka nduki Kwani pendekezo lako ni la uhakika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekupata.
Hii haitawasaidia wote wawili, baba na mtoto hasa kwenye maisha baada ya kulea. Ikitokea binti kaolewa ndio baba aanze kutafuta wa kureplace mtoto moyoni mwake?

A 9 year old daughter and and a 20+ or 30+ years daughter are two different persons.

That's y the way I used to treat my daughter when she was 2 is quiety different from the way I will treat her when she reach 20.

Personally nimewamwaga mademu kadhaa kwa sababu walitaka kuchukua nafasi ya my daughter.

Kuna mmoja nilizaa NAE kabisa na nikawa naishi but akawa anaona wivu sana the way I loved my daughter. She thought like attention niliyo kuwa nampa my daughter was supposed to be given to her.

Guess what happened? Nilimpiga chini with an immediate effect.

Our daughters are our second mothers and when they are at tender age we love them even more than our mothers.

So i think it is high time u work out of that relationship cause he is not pleased by ur conduct
 
kuwa makini miaka 9 kwa mtoto wa kike ni mkubwa.mtume wetu Muhamad alimuoa Bi aysha Bint Abubakar akiwa na miaka 6 akaanza kumgegeda akiwa na miaka 9 na alivumulia gegedo vizuri tu.
 
Mwache akikua ataacha.

Kwa kuwa hakuna mwanamke ndani ya nyumba huyo binti anachukuwa role ya mama mwenye nyumba kisaikolojia (possessiveness).

Tena kuwa makini sana asije kukuona unamuingilia kwenye himaya yake.

Wacheni uzinzi na uasherati. Unaongelea u "single mother" kama vile ni sifa.

Tena kujichunga kwenyewe ni uache kabisa kukutana na huyo mwanamme mpaka muoane. Huko ndiyo kumsaidia huyo mtoto, bila hivyo unamsadia nini kwa kufanya zinaa na uasherati dhahiri dhahiri bila hata ya aibu.

Wazinifu wachafu nyie mnafanya uzinifu wenu mbele ya watoto wadogo, mnawafundisha nini? Wawe Malaya?

Makosa kama mlifanya nyinyi msiwaambukize na watoto.

Pambaf.
Swala la kumtenganisha na babaake atakuona adui sana. 9 years kwa ubongo wa mtoto holds a lot of memories. Transformation anatakiwa airatibu baba wa mtoto maana ndio ataskilizwa na kueleweka by 90% if not a hundred!
 
LIKUD huyo uliezaa nae mlipata mtoto wa kiume au wa kike? Ulimwacha mtoto akiwa na umri gani? na mpiga chini alikuamchia mtoto au aliondoka nae? Vipi mahusiano yako na mtoto?

By the way sina wivu na mtoto. Nipo kusaidia ila akiniacha kwa sababu hiyo sitahuzunika. Nitashukuru kuachwa na asiyeshaurika kwani maisha kushauriana.
 
Mimi ni single mother wa mtoto wa kike wa miaka 10. Nipo kwenye mahusiano ya kimapenzi na single father mwenye binti wa miaka 9.

Watoto wetu wanasoma shule moja madarasa tofauti. Tulikutana kwenye mkutano wa wazazi shuleni. Hali ya kuwa single parent ilituunganisha, tukajikuta tupo mapenzini. Tumekuwa msaada kwa kila mmoja wetu kwenye malezi.

Hatuishi pamoja officially ila tunatembeleana na sleepovers za mara kwa mara.

Tatizo ni huyu mtoto wangu kupitia mpenzi wangu, anapenda kulala na babake. Babake anasema ndio yuko hivyo kwani ameanza kumlea toka ana miezi 6 na hivyo kubidi kulala nae toka umri huo. Ameshindwa kum'wean'.

Akilala peke yake au na mwanangu hapati usingizi, inabidi aje chumbani kwetu tulale nae, either hadi asubuhi au tumhamishe kwa kumbeba akiwa ameshalala.

Naomba ushauri nifanye nini kumsaidia huyu mtoto aweze kujitegemea.

Natanguliza shukran wapendwa.
Swala la kumtenganisha na babaake atakuona adui sana. 9 years kwa ubongo wa mtoto holds a lot of memories. Transformation anatakiwa airatibu baba wa mtoto maana ndio ataskilizwa na kueleweka by 90% if not a hundred!
 
Swala la kumtenganisha na babaake atakuona adui sana. 9 years kwa ubongo wa mtoto holds a lot of memories. Transformation anatakiwa airatibu baba wa mtoto maana ndio ataskilizwa na kueleweka by 90% if not a hundred!
Asante sana kwa ushauri.
 
Ulikuwaje ukawa single parent wakat unaonekana smart san dada? Nadhan kwa huyo jamaa umekosea njia.

Anyway, weaning huwa ni kumuachisha mtoto ziwa toka kwa mama ake ili aanze kujitegemea kula mwenyewe, ila hili la baba kulala na mwanae wa kike wa miaka 9 limekaa kiaina sana. Nafikiri kuna something behind, jaribu kupeleleza ili upate jibu sahihi.
Umekua sheikh Yahaya wewe kutabiri mambo ya jamii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom