Mtoto wa kike wa miaka 9 kulala na babake

Mtoto wa kike wa miaka 9 kulala na babake

Mkuu House of Commons, those are not normal things, watoto wanatakiwa watenganishwe kulala na wazazi wao wanapofikisha miaka mitatu, hii inawasaidia kupanua akili zao ikiwemo kuanza mapema kujitegemea, mtoto wangu ana 2 years ameweza kujizuia hata kukojoa kitandani, mnapolala nao watoto wnaendelea kuamini kwamba mnatakiwa kumuamsha aende kukojoa
Mkuu hayo mengine nakukubalia 100/100 lakini kwenye suala la chanzo cha mtoto kukojoa kitandani hilo ni tatizo linaloweza kuleta mjadala mkubwa sana.

Shukuru huyo wa kwako ameacha mapema sana.
 
Mleta mada kuweni waangalifu namna mtakavyo tatua shida hiyo.

Mikikosea ama kwa kutumia nguvu au kuharakisha mambo basi utajikuta wewe unageuka kama adui wa mapenzi ya mtoto kwa baba yake.

Mtoto atakuchukia na hata mkiowana na huyo jamaa hautafurahia ndoa yenu sababu ya huyo mtoto.

Kwanza mgeuze kuwa rafiki yako huyo mtoto. Pili anza utaratibu wa kwenda kumsimulia hadithi au kumsaidia homework au kuangalia wote Movie au Catoon chumbani kwa mtoto hadi anapata usingizi analala. Wakati huo unamsisitiza watoto wakiwa wakubwa wanatakiwa wawe na chumba chao.

Unamuonesha mfano ktk movie mnazo angalia watoto wengi wana vyumba vyao na hawapendi kero. Muwekeeni vitu na mapambo mbalimbali chumbani.
 
Unajua watoto wa kike wanahitaji sana ukaribu wa wazazi hasa mama ndio maana baba ukisafiri watoto wa kike huhamia kulala na mama. Tofauti na watoto wa kiume hata mama akiondoka hata siku moja hawahamiii kulala master bedroom.

Huyo mtoto kisaikolojia hayupo vizuri, amekosa ile lovw from her mother. Anahitaji upendo zaidi kuliko kumtoa kulala na baba ake.

Kama mama unahitaji kuonyesha upendo wa hali ya juu sana hata kama sio mwanao. Siku ukimfanyia vibaya atajisikia vibaya sana kwani anajua wewe sio mama ake.

Hata wewe kuanza kulala na baba ake hajisikii vizuri, anaona unamnyima haki yake ya kuwa karibu na baba ake. Baba ake ndio kila kitu , ndio faraja yake. Hivyo nakushauri uwe makini na chochote unacho kifanya kinacho badili mfumo wa maisha yake.

Kumtoa kwa nguvu ni kumwonea kwa sababu wewe ndio mgeni, njia rahisi ni kumpenda hadi atakapo elewa kuwa wewe ni mama ake anaye weza kukuamini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea njema kabisa. Watoto wa kike huwa wanajiona kama mama wa baba zao, hata mama yake mzazi hapendi awe karibu na baba yake sembuse mama wa kambo? Kwa kuwa wamekuwa wote na baba, anajiona ndiye mke hapo nyumbani na kitendo cha kumtenganisha na baba kitamuathiri kisaikolojia na hapo ndipo atatafuta a male kuwa karibu naye na huo utakuwa ndiyo mwanzo wa mtoto kuharibika. The same kwa mtoto wa kiume alomzoea mama yake.

Ushauri ni kuwa acha baba yake aongee na mtoto wake taratibu bila mikiki amkanseli ili mtoto aone mwenyewe si vizuri kulala na baba. Wewe ukiingilia kosa kubwa na inaweza fika pahala wakuja ukatimuliwa
 
Kwao ana chumba chake. Na pia nimempa chumba cha wageni akiwa kwangu na pia nimempa uhuru wa kulala chumbani kwa mwenzie. Anaweza kushinda huko wakifanya yao, tatizo ni usiku wakati wa kulala.
Hapo kwenye 'kufanya yao' napo inabidi upaangalie vizuri watoto wote wafundisheni jinsi ya kuish kama ndugu yaan kaka na dada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahisi unamuonea wivu huyo mwanao wa kambo...
Kama sijakuelewa vizuri naomba uniwie radhi...[emoji120]
 
Unajua watoto wa kike wanahitaji sana ukaribu wa wazazi hasa mama ndio maana baba ukisafiri watoto wa kike huhamia kulala na mama. Tofauti na watoto wa kiume hata mama akiondoka hata siku moja hawahamiii kulala master bedroom.

Huyo mtoto kisaikolojia hayupo vizuri, amekosa ile lovw from her mother. Anahitaji upendo zaidi kuliko kumtoa kulala na baba ake.

Kama mama unahitaji kuonyesha upendo wa hali ya juu sana hata kama sio mwanao. Siku ukimfanyia vibaya atajisikia vibaya sana kwani anajua wewe sio mama ake.

Hata wewe kuanza kulala na baba ake hajisikii vizuri, anaona unamnyima haki yake ya kuwa karibu na baba ake. Baba ake ndio kila kitu , ndio faraja yake. Hivyo nakushauri uwe makini na chochote unacho kifanya kinacho badili mfumo wa maisha yake.

Kumtoa kwa nguvu ni kumwonea kwa sababu wewe ndio mgeni, njia rahisi ni kumpenda hadi atakapo elewa kuwa wewe ni mama ake anaye weza kukuamini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea vizuri sana mkuu afate ushauri huu pia utasaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa badala ya kurekebisha maswala ya mtoto umekuja kuanzisha uzi hapa na wewe akili yako na ya mtoto tofauti ni 1.
 
Afundishwe vipi?
Chapa bakora mtoto anamshindaje huyo nae anatatizo iweje hadi umri huo bado analala na mwanae mwenzio ndo tatizo apo mpe mashart kama anakupenda atatekeleza isije ikawa anamtekenyatekenya usiku.
 
Nimemweleza babake karidhia. Ila natafuta njia nzuri ya kumwelewesha mtoto akubali kawa mkubwa kulala na baba sasa basi.
Kwenye hili uwe mshauli tu mtoto asikujengee picha mbaya baba mtu awajibike kwenye hili iwe kwa njia nzuri au kufosi keshakua huyo
 
Kwa nini unadhani hiyo ni hekima na malezi mema? Miaka 30? Au unasema tu kufurahisha?
Sio kila uwambiwalo linafaa chunga maadili huyo bwana ako anatatizo alitakiwa aepuke mapema kumpenda mtoto ni kumjenga kimaadili na sio kumuacha aharibike kisa unachunga hisia zake.
 
umetumia lugha kali mno mkuu
Ndomana unakatazwa kumtaja Mungu au mtume pasipo stahili hii ndo hekima yake bila ya kujali zama na mila zao jamaa kamtukana mjumbe wa Mungu.

Kuwa makini
 
Ndomana unakatazwa kumtaja Mungu au mtume pasipo stahili hii ndo hekima yake bila ya kujali zama na mila zao jamaa kamtukana mjumbe wa Mungu.

Kuwa makini
mimi au aliyetukana ,kuna jambo la uongo ambalo nimeandika ?
 
mimi au aliyetukana ,kuna jambo la uongo ambalo nimeandika ?
Wewe ulie andika umesababisha atukane.uwongo hakuna ila chuki itaingizwa matokeo zinakuja kashfa.
Wamasai wana posa mimba hizo ni mila za watu ila mtu ataingiza udini
 
Aise kwakweli tatizo hilo hata mm binti yañgu nikiwepo hataki kukaa na MTU mwingine wala kulala mbali na mm

Sent using Jamii Forums mobile app
Theres unconditional love between Dad and daughters tena bora wawe wengi. Akiwa mmoja tu ni balaa. Nina dada na nmeshuhudia dhahiri upendo baba aliokuwa anampa tofauti na sisi masela!
 
Back
Top Bottom