Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Mkuu hayo mengine nakukubalia 100/100 lakini kwenye suala la chanzo cha mtoto kukojoa kitandani hilo ni tatizo linaloweza kuleta mjadala mkubwa sana.Mkuu House of Commons, those are not normal things, watoto wanatakiwa watenganishwe kulala na wazazi wao wanapofikisha miaka mitatu, hii inawasaidia kupanua akili zao ikiwemo kuanza mapema kujitegemea, mtoto wangu ana 2 years ameweza kujizuia hata kukojoa kitandani, mnapolala nao watoto wnaendelea kuamini kwamba mnatakiwa kumuamsha aende kukojoa
Shukuru huyo wa kwako ameacha mapema sana.