Mtoto wa kike wa miaka 9 kulala na babake

Uttarra

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2019
Posts
468
Reaction score
783
Mimi ni single mother wa mtoto wa kike wa miaka 10. Nipo kwenye mahusiano ya kimapenzi na single father mwenye binti wa miaka 9.

Watoto wetu wanasoma shule moja madarasa tofauti. Tulikutana kwenye mkutano wa wazazi shuleni. Hali ya kuwa single parent ilituunganisha, tukajikuta tupo mapenzini. Tumekuwa msaada kwa kila mmoja wetu kwenye malezi.

Hatuishi pamoja officially ila tunatembeleana na sleepovers za mara kwa mara.

Tatizo ni huyu mtoto wangu kupitia mpenzi wangu, anapenda kulala na babake. Babake anasema ndio yuko hivyo kwani ameanza kumlea toka ana miezi 6 na hivyo kubidi kulala nae toka umri huo. Ameshindwa kum'wean'.

Akilala peke yake au na mwanangu hapati usingizi, inabidi aje chumbani kwetu tulale nae, either hadi asubuhi au tumhamishe kwa kumbeba akiwa ameshalala.

Naomba ushauri nifanye nini kumsaidia huyu mtoto aweze kujitegemea.

Natanguliza shukran wapendwa.
 
Kama kuna chumba kitupu mnunulieni kitanda chake na furniture za kitoto kwa mwanamke ili zimvutie apate kulala peke yake. Wakati mnafanya hivyo wewe mama wa kambo uwepo hapo kama wiki 2 ili kumzowesha kulala peke yake.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Ndukiiiii [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️

Umetumia maneno makali sana
 
Unataka kummiliki baba yake
Mimi ni single mother wa mtoto wa kike wa miaka 10. Nipo kwenye mahusiano ya kimapenzi na single father mwenye binti wa miaka 9.

Watoto wetu wanasoma shule moja madarasa tofauti. Tulikutana kwenye mkutano wa wazazi shuleni. Hali ya kuwa single parent ilituunganisha, tukajikuta tupo mapenzini. Tumekuwa msaada kwa kila mmoja wetu kwenye malezi.

Hatuishi pamoja officially ila tunatembeleana na sleepovers za mara kwa mara.

Tatizo ni huyu mtoto wangu kupitia mpenzi wangu, anapenda kulala na babake. Babake anasema ndio yuko hivyo kwani ameanza kumlea toka ana miezi 6 na hivyo kubidi kulala nae toka umri huo. Ameshindwa kum'wean'.

Akilala peke yake au na mwanangu hapati usingizi, inabidi aje chumbani kwetu tulale nae, either hadi asubuhi au tumhamishe kwa kumbeba akiwa ameshalala.

Naomba ushauri nifanye nini kumsaidia huyu mtoto aweze kujitegemea.

Natanguliza shukran wapendwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee kama haina ushemeji basi pia haina undugu, anyway miaka 9 ni wazi kabisa mtoto anaelewa zuri na baya so aambiwe tu kuwa haipendezi mtoto wa kike kukumbatia kifua cha babake ndani ya shuka moja kwa umri huo..
 
Nimemweleza babake karidhia. Ila natafuta njia nzuri ya kumwelewesha mtoto akubali kawa mkubwa kulala na baba sasa basi.
 
Kama kuna chumba kitupu mnunulieni kitanda chake na furniture za kitoto kwa mwanamke ili zimvutie apate kulala peke yake. Wakati mnafanya hivyo wewe mama wa kambo uwepo hapo kama wiki 2 ili kumzowesha kulala peke yake.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️

Kwao ana chumba chake. Na pia nimempa chumba cha wageni akiwa kwangu na pia nimempa uhuru wa kulala chumbani kwa mwenzie. Anaweza kushinda huko wakifanya yao, tatizo ni usiku wakati wa kulala.
 
Back
Top Bottom