Mtoto wa Kim Jong-Un mwenye umri wa miaka 13 ni Luten wa jeshi la wananchi Korea Kaskazini

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Unaambiwa Mtoto wa Kim Jong-Un, Kim Lau Jong-Un ambae kwa Sasa ana Umri wa Miaka 13 Ndie Luteni wa Jeshi la Nchi ya Korea Kaskazini.

Aliapishwa Kuwa Luteni Mwaka 2017 akiwa na Umri wa Miaka 9,Mtoto huyo anaandaliwa Kuwa Mkuu wa Majeshi na Kiongozi wa Nchi hiyo Siku Baba yake Kim Jong-Un atakapo fariki.

Hawa wala hawaja waza kupata katiba mpya.
 
Kitu kikubwa nachokipenda katika demokrasia ambayo wengi wanaiita ya kimagharibi au ya kibeberu ni kuwawezesha wananchi kutumia akili zao barabaraaa
 
Hawana katiba, wanaongozwa na mizimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…