Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Na kwanini aitwe mtoto wakati tayari ni over 18?Na kwenye hizo kumbi umeona watoto wakike tu? Unasimamia hoja au upuuzi ambao hauna maana? Kufikiria mtoto wakike kwa namna hii una tatizo sehemu, uchunguzwe si bure
Ikifika kwenye suala la mabint watu mashindwa kuwa objective kabisa na kutumia hisia kutokana na majanga yaliyowakuta! Siamini katika wanawake mliokutana nao wote ni wa hovyo, maana wa hovyo hawaksekani hata kwa wanaume pia. Turudi kwenye mada WakuuVimetoka mkuu sema hawa waliokuja baada ya yule wa kwanza ndio wamekua hamna kitu kabisa πππ
Data zinaongea mkuuIkifika kwenye suala la mabint watu mashindwa kuwa objective kabisa na kutumia hisia kutokana na majanga yaliyowakuta! Siamini katika wanawake mliokutana nao wote ni wa hovyo, maana wa hovyo hawaksekani hata kwa wanaume pia. Turudi kwenye mada Wakuu
Sema nini ujue yaani Cute Wife unanikamia sana ujue..Ziweke hapa tuchambue tukiwa tumaki kwenye mada, utuletee pia na data za watoto wakiume tulinganishe
Nashangaa mimi ndo unanipa maswali magumu magumu kuliko yule jamaa juu haponataka kuelewa upande wako na wengine wenye mawazo kama yako lakini muhimu kwenye upande huu digitali