Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Na kwanini aitwe mtoto wakati tayari ni over 18?Na kwenye hizo kumbi umeona watoto wakike tu? Unasimamia hoja au upuuzi ambao hauna maana? Kufikiria mtoto wakike kwa namna hii una tatizo sehemu, uchunguzwe si bure
unajidogosha ili uhurumiwe? tena na matusi juu?