Super mega
JF-Expert Member
- Nov 21, 2023
- 1,176
- 2,372
Kweli kabisa mkuu hata mi nimejiuliza ivo ivo kwamba huo muda wa kufatilia hao watu mpaka analeta thread humu katoa wapi vitu vingine mnatufanya tuone kama mnashabiakia mambo yasio faaaMwanaume unatoa wapi muda wa kuwajua hao wote?
Pambana na hali yako!
Sawa sawachokoNamfahamu ndiyo, kwangu ni rahisi mimi kumjua ***** mwenzangu maana njia yetu moja.
Haya poleNdiyo mimi ni *****
Umemaliza?Haya pole
Simjui mkuu ndo naulizaCriss unamjua au unamsikia