Mtoto wa kiume kumwanzishia thread mwanaume mwenzio ni urofa

Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Kuna wanaume ni marofa wa kutupwa, iv inakuwaje mtoto wa kiume uliyekamilika unaanza kumufatilia mwanaume mwenzako na kumufungulia uz

Ee bhana ee pambanen na hali zenu mazee kila mtu na maisha yake bhana mimi ni beira na wewe ni wewe huwez kuwa mimi na mimi siwez kuwa wewe rofa mkubwa wewe mpuuz kabisa

Nahis utakuwa pilau wewe

Uchoko peleka nyumban kwenu

Hupend nyuz zangu mimi nilikwambia uje ukoment au ufungue nyuz zangu

Kwanini mwanaume unaanza kutafuta makiki na masifa kupitia jina la mwanaume mwenzio ambalo kalitengeneza kwa mda mrefu

Huo ni urofa pambanen na hali zenu kila mtu na maisha yake

Mimi nilijiunga humu mwenyewe
Kama wewe ulivyojiunga mwenyewe upuuz wako mpeleke aliyekuzaa, mpuuz wewe

Enz za kufatiliana zishagapita rofaa wewe

Mimi ndo msukuma wa mawe ukiendelea unachokitaka utakipata mngese wewe

LONDON BABY
hili povu linatosha kufulia nguo zangu.
 
UKIONA MTU ANAKUFUNGULIA UZI JITATHIMINI.WATU WAMEKUCHOKA
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Kuna wanaume ni marofa wa kutupwa, iv inakuwaje mtoto wa kiume uliyekamilika unaanza kumufatilia mwanaume mwenzako na kumufungulia uz

Ee bhana ee pambanen na hali zenu mazee kila mtu na maisha yake bhana mimi ni beira na wewe ni wewe huwez kuwa mimi na mimi siwez kuwa wewe rofa mkubwa wewe mpuuz kabisa

Nahis utakuwa pilau wewe

Uchoko peleka nyumban kwenu

Hupend nyuz zangu mimi nilikwambia uje ukoment au ufungue nyuz zangu

Kwanini mwanaume unaanza kutafuta makiki na masifa kupitia jina la mwanaume mwenzio ambalo kalitengeneza kwa mda mrefu

Huo ni urofa pambanen na hali zenu kila mtu na maisha yake

Mimi nilijiunga humu mwenyewe
Kama wewe ulivyojiunga mwenyewe upuuz wako mpeleke aliyekuzaa, mpuuz wewe

Enz za kufatiliana zishagapita rofaa wewe

Mimi ndo msukuma wa mawe ukiendelea unachokitaka utakipata mngese wewe

LONDON BABY
Nakuonaga mjanjaa...kumbe
 
Jamaa mwenye msambwanda sisi wanaume wengine kutotumia watu aina yako haimaanishi na sisi ni kama wewe... Ni aibu mwanaume mzima kujisifu una makalio makubwa kama jina lako ukiambiwa kuolewa na mabasha unakuja juu unadai muda bado. Unajiharibia...

NIMEGUNDUA JF WANAUME WENG WA DAR, MTU KAMA GuDume AMEKAA KISHOGASHOGA TU
 
Kwahiyo nawewe tukuitaje sasa? Kwa huu uzi uliofungua Lodilofa
 
Back
Top Bottom