Mtoto wa Kiume naye ni Binadamu kama wengine, acha kumkataza kulia anapokuwa na maumivu

Kheeee kulia lia huko vipi tena!!! Mnataka kuelekea kubaya sasa.Mwanaume analiaje bwana?
 
Una lengo zuri, ila unatakiwa utafakari kwanini culture karibu zote zinafanya tofauti na unachoshauri.

Kwa ujuzi wangu mdogo, jamii inatengeneza wanaume ambao imara, wanaoweza kufanya maamuzi ya kutumia akili bila kutegemea hisia peke ake.

Mtoto wa kiume ukimzuia asilie hovyo unamsababisha akue akijua kua kulia na kusikitika hakutatui tatizo na anatakiwa kuongea au kufanya jambo fulani.

Unadhani kama kila mwanaume angekua hajua kupuuzia hisia na kufanya maamuzi magumu leo dunia ingekua hapa ilipo?

Mambo yote magumu na yenye manufaa kwa jamii yanahitaji kufanya maamuzi magumu kwa kutumia akili na sio hisia.

Mfano: Una mtoto wa kiume ndani na kuna mtu mbaya amekuja kuwadhuru; utamwambia jifungie kwenye kabati uonyeshe hisia zako? Utataka ajilize kwa sababu anaogopa au utataka afanye maamuz ya kujilinda yeye na familia?

Huwezi kupata mwanaume ambaye anaweza kufanya maamuzi ya magumu na ya akili bila kumtengenezea msingi imara mapema. Na msingi imara na maanisha ajifunze kuacha kulaumu watu au mazingira, aache kujificha na kulia mambo yanapokwenda kombo, asimame na atafute namna ya kutatua changamoto zake na za jamii kwa ujumla.

Hii ndio sababu tangu enzi za mababu na mababu watoto wa kiume wanazuiwa wasionyeshe hisia sana kama wakike...na sidhani kama ukifanikiwa kubadilisha hilo utakua umefanya jambo la maana kwa jamii zaidi ya kutengeneza mashoga na wanaume wasio na faida.
Ndo hivo
 
Hivi mwanaume kulia ni shoga?

Mbna uliandika vizuri mno, umekuja kuharibu mwishoni hapo.
 
Mimi Mama alikuwa ananilazimisha kulia nilipokuwa kijana, nikimuuliza kwanini nilie alikuwa ananiambia nijiandae na maisha ya baadaye.....akimaanisha mapenzi. Sasa nalia tu kwa raha zangu mwenyewe wala sioni noma.
 
I love you miss zomboko. Hakika nyuzi zako huwa na mengi ya kujifunza.
 
Jikaze .mtoto wa kiume wewe wanaume hawalii lii ovyo... mwisho wa kunukuu.
Mwisho wa siku vikiwazidi wanaona bora wajimalize tu
Kujiua Ni uamuzi wa kishujaa sna unafahamu kua nchin japani kujiua Ni ushujaa
 
Mi nilidhani unaongelea "kulia" kwenye tendo, ndiyo maana nikafuatilia haraka sana, kumbe unazungumzia kulia kabisa machozi ya maji tiririka yanayotokea machoni kupitia mashavuni?

Yaani unashauri kabisa wanaume walie wahoyoke kabisa kisa nini?

Acheni zenu hizo nyie!
 
Huyo mwanao unayemtengeneza utakuja juta,,,,,,,
kwanza kwanin ulie mwanaume lijali watakutia jambajamba walimwengu utakuwa fala mwisho wa siku
 

Hata wanaume hulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…