Mama_Aheshimiwe
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 2,746
- 4,165
Unaweza kuta mtoa mada ana maana nyingine kabisa tofauti na block
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una Mambo ya kike na kuomba omba hela ndio maana wamekublock.Huwa nashindwa kuelewa kabisa vijana wa kiume wenye tabia ya kublock!!
Mkipishana kidogo block!! Nahisigi ni wale dada zetu……
Kama wale mnaotuma mameseji ya kuforward utakuta dume zima kila siku linakutumia usiku mwema au asubuhi njema ni mwendo wa kuyapga block tu.
I don’t block them rather just keep quiet...
mm lazma nikupe sanction ukizngua
Kublock ni haki kama ya kikatiba ya kila mtu.
Ndiyo maana hiyo option ikawekwa.
Sasa kama wewe hutaki kuitumia, hiyo pia ni haki yako.
Ila, usiwanyanyapae wale wanaojitambua wakiona wanaletewa gozigozi wakaitumia.
Utakuwa unalazimisha watu waishi unavyotaka wewe.
Unalazimisha watu wakupende?
Mtoto wa kiume unakasirika kuwa blocked?
Unalazimisha. Unanyanyapaa. Huna hoja.yaan iyo option iliwekwa kwa ajili ya wanawake
ewaaahh uko sahihii ebu kunywa pepsi big ya baridiii??
Poleni sana, kublock waachieni wakina dada...
Wanaume mabinti ndio wanatumia block
Inaonekana mleta mada kunatatizo mahali
Nimeagizia na chipthi kuku, bili ni elfu 8.[emoji12]