Mtoto wa kiume tabia ya kublock watu unaitoa wapi?

Mtoto wa kiume tabia ya kublock watu unaitoa wapi?

Kwani tatizo liko wapi kutumia block? na ni wapi viwanda na company za simu zimesema ni marufuku mwanaume kupiga block?
Kwanini uhisi na uone ni tatizo kwa mwanaume kutumia option ya block kwenye simu?

In psychology view tatizo unalo wewe, behaviour exaggeration is a cover of insecurities. Are you insecure?

Nadhani wanaoblock wako insecure sana!!…
sijui tuwasaidiaje mkuu
 
Haiko kiume
Wewe nani kakupa cheo cha kupanga kiume ni vipi?

Unataka kuwanyanyapaa watu wasitumie haki zao kwa gia ya kiume?

Ndiyo hivyo mtu akikublock anakublock tu.

Kama kiume au ki Android kivyako.
 
Huwa nashindwa kuelewa kabisa vijana wa kiume wenye tabia ya kublock!!

Mkipishana kidogo block!! Nahisigi ni wale dada zetu……
Kwani hii cm tulichanga [emoji1] ukiwa snitch mzuri mzuri tuna kublock
 
Mtoto wa kiume unakasirika kuwa blocked?

Nimelishangaa sana hili swala...??....kwamba anataka kupendwa na kila mtu...

Principle ni Ukishamzingua mtu,,hupaswi kumchagulia silaha..
 
Nimelishangaa sana hili swala...??....kwamba anataka kupendwa na kila mtu...

Principle ni Ukishamzingua mtu,,hupaswi kumchagulia silaha..
Hawa watu wajima wajima kuwaelewa ni kazi sana.
 
Huwa nashindwa kuelewa kabisa vijana wa kiume wenye tabia ya kublock!!

Mkipishana kidogo block!! Nahisigi ni wale dada zetu……
Yani wanatia aibu ety na kenyewe kanajitapa nmemlamba block[emoji4]
 
Alieweka option ya block hakuwa mjinga, sioni ajabu mwanaume kutembeza block kama kuna wapuuzi wanazingua.
 
Huwa nashindwa kuelewa kabisa vijana wa kiume wenye tabia ya kublock!!

Mkipishana kidogo block!! Nahisigi ni wale dada zetu……
Simu yetu, bando letu, namba yetu, We unatupangia nn Kuna chochote umechangia hapo, Tafuta hela upunguze mhaho kijana sio kulalamika lalamika Ukiwa na hela hawakublock
 
Mimi sio mtu wa kublock watu,ila ilifikia wakati nilimpiga mtu kufuli sasa mwanaume mzima mda kila siku unatuma sms za asubuhi njema,mchana mwema,usiku mwema,au mamb sio mambo sasa text gani hizi?,alafu kikawaida hata sms zenyewe zisifike 10, wanaume meseji zote za kazi gani?,huwa sikai na upuuzi nakuchana kama huelewi nakupiga kufuli
 
Na Bado! Huu ndio Muda wa Kupunguza Malimbukeni na Masnitch wote Kwenye Phonebook Yangu,upo upo Tu Kwenye Phonebook ya Mtu kazi Ujue Yupo wapi anafanya nn upeleke Habari kwa Mabwana zako!
ndio wale kila siku wanakuuliza unafanya ishu gani...... dawa ni kuwapiga tofali tu
 
Back
Top Bottom