Mtoto wa kiume unaweza kumwambia baba yako “I love you daddy” ?

Mtoto wa kiume unaweza kumwambia baba yako “I love you daddy” ?

Inategemea na tamaduni za malezi ndugu. Wenzetu wa western hayo ni mambo ya kawaida, Pia kuna familia zinaiga mfumo wa malezi ya western labda wameona ni bora zaidi kuliko mifumo yetu yakuishi kama beberu wawili zizini. Baba akiingia we unasepa room. Mara nyingi hatufundishwi kuexpress feelings zetu. Kwangu hakuna ubaya.
 
IMG-20261004-WA0135.jpg
 
Kawaida sana…usipomwambia yeye aliyekutoa kiunoni unataka ukamwambie yule ambaye ukiishiwa naye anasepa…wamwagieni wazazi wenu maupendo ni hao tu wataweza kuwavumilia wakati mmefulia
 
“Huyu jamaa yangu kanishangaza sana anamaliza call na mzee wake anamwambia “ i love you dady “ kuna vitu vingi vya kisasa kwa kweli mimi hapana “
Ukimwambia mzee wa kibantu I love you hakikisha umekaa mita 100 urefu ambao mkono haufiki maana hilo Kofi lazima ubongo utapata allergy.
 
“Huyu jamaa yangu kanishangaza sana anamaliza call na mzee wake anamwambia “ i love you dady “ kuna vitu vingi vya kisasa kwa kweli mimi hapana “
Jambo la muhimu, buddy: Kuonyesha upendo kwa baba yako hakupunguzi uanaume wako. Kinyume chake, ni ishara ya ukaribu wa kihisia na kuthamini familia yako.
 
Back
Top Bottom