Mtoto wa Lowassa, Robert Lowassa (Bob) afunga ndoa leo na Stephanie Kaaya (Steph)

Chekbob pamoja na kupenda sherehe,misiba na hitma hii hajahudhuria?


Kweli EL amekatwa mkia.....mtoto wa kambo
 
Tungempa nchi shughuli hizi zingekuwa ikulu kama awamu ya ile...


hizi zama za kazi tu... huwez kuona hivi vitu ikulu... yeye mwenyewe kaoa kwa mirinda na pepsi tu chuo

Kweli bana

Reception ya Ridh 1 tuliipiga kwny Viwanja vya Ikulu na Mdundiko na Mdumange tukausakatia pale kwny Bustan
Zama hazirudi bana,
 
Naona ume ambatamisha album nzima [emoji23][emoji23].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…