Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Tatizo baadhi ya walimu wanajihusisha na siasa za wapinzani uchwara wa nchi hii. Unawezaje kutoa Privacy za mtu wakati mfumo wa kutumia majina Necta ulishapitwa na wakati. Badilikeni NECTA Staff msio waadilifu acheni kazi ya kutoa particular za watu. Secrecy iko wapi?

Eti secrecy, kisa Jeskale kilazale. Kwendraaaaa!
 
Hakuna kitu kinachonisikitisha kama kuanika matokeo ya mtu for the public to see kama Baraza la Mitihani wanavyofanya. Hivi hawa wazee wetu walioko huko NECTA na serikalini kwa ujumla hawajapitia pitia kidogo shule za nchi nyingine waelewe concept za academic privacy jamani, wakoje hawa watu?

Academic performance has lots with the public interest. The public has the right to access and to know.
 
Nadhani uzi huu umesomwa mpaka Magogoni [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji12] kweli mbongo noma sana.... Ukimwaga unga analoweka mkaa....
 
Tatizo baadhi ya walimu wanajihusisha na siasa za wapinzani uchwara wa nchi hii. Unawezaje kutoa Privacy za mtu wakati mfumo wa kutumia majina Necta ulishapitwa na wakati. Badilikeni NECTA Staff msio waadilifu acheni kazi ya kutoa particular za watu. Secrecy iko wapi?
Bhahahahaaaaa..... Matokeo ya 2011 yalikuwa na majina mkuu... Ya google utaona kilakitu.... Halafu kuanika matokeo hadharani kunatofautigani na kutumbua jipu hadharani?[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
🙄🙄🙄
 
Yes,hii inafundisha ukifail usibaki hapo hapo.Pambana .Leo Jesca na Masters na ni Mbunge .Kuteleza si kuanguka.Na kuanguka si kufa.Anguka inuka na songa mbele.
Kweli kabisa mpendwa mwaka ile watu tulisema sana mpk mtindo wa kuweka majina ukabadilika wakaweka namba.
Ila wanaoanguka huwa wanaluja na back up za kushangaza dunia.
 
Hii JF zamani ilikua km secret service. Btw mwacheni tuu, uyo dada hana baya
 
Hakuna kitu kinachonisikitisha kama kuanika matokeo ya mtu for the public to see kama Baraza la Mitihani wanavyofanya. Hivi hawa wazee wetu walioko huko NECTA na serikalini kwa ujumla hawajapitia pitia kidogo shule za nchi nyingine waelewe concept za academic privacy jamani, wakoje hawa watu?
Uchawi wa mtu mweusi unaendelea kuwepo kwa sababu zenye kufanana na hii hoja yako. Roho mbaya, chuki, fitina na wivu vinatusumbua mpaka tunapokwenda makaburini.
 
Back
Top Bottom