Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Ndugu usiangaike kubishana na huyo ******, ukisoma post za nyuma nilimjibu wee nikaja realize nabishana na mtu aliyefeli darasa la saba... kaunga unga nae kanunua smartphone basi kajiunga kwenye social media halafu kichwani hana kitu, hivyo kubishana nae ni kupoteza muda wako tu huyo mtu hajasoma na hajui anachokizungumza ndio maana nilimpotezea kitambo baada ya kujua ni ******** ambaye hajasoma...hivyo achana na ****** huyo unapoteza nguvu zako kwa mtu asiye na akili
mkuu nimekuelewa but ngoja inatakiwa nimshikishe adabu kwanza
 
Tatizo baadhi ya walimu wanajihusisha na siasa za wapinzani uchwara wa nchi hii. Unawezaje kutoa Privacy za mtu wakati mfumo wa kutumia majina Necta ulishapitwa na wakati. Badilikeni NECTA Staff msio waadilifu acheni kazi ya kutoa particular za watu. Secrecy iko wapi?
 
Jibu la hili swali kuhusu Jesca halitapatikana kirahisi hivyo...
 
Back
Top Bottom