Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

HUU NI UWONGO.
Nyuma Ya Mwaka 2008 Mpaka Tunavyoongea, Matokeo Ya Form IV Hadi6 Yalikuwa Yanatoka Kwa Namba Na Si Majiana.
Hayo Matokeo Yenye Jina Kayapata Wapi Ndugu.

Hata Hivyo Mwenye Access Ya Kuingia Kwa Tovuti Ya Chuo Kuangalia Matokeo Yake Si Mtu Mwingine Ni Mwanafunzi Husika.

Hata Kama Kweli Amafeli Lakn Matokeo Haya Si Yake, Mi Nafikiri Hata Wewe Jaribu Kuuliza Mtu Mwenye Uwezo Wa Kuchunguza Na Kuoanisha Kile Alichotupia.

Huyu Aloleta Haya Matokeo, Wapi Matokeo Yake?.

Mnatumia Teknolojia Kumchafua Mtu Na Jinsi Watz Wengi Wasivyojua Kupima Kila Mmoja Kaamini Hili Kwmb Matokeo Haya Ni Ya Huyo Jesca.

Chunguza Mkuu
Ukisema hivyo unakosea ndugu sio kweli kabisa....kaangalie matokeo ya kuanzia 2010 yaani wanafunzi waliomaliza form four na six 2010 yalikuwa majina pee na kuendelea hivyo hivyo...pia watu wameweka link ambayo inaonesha matokeo yote ya 2011 ingia NECTA tafuta matokeo ya 2011 shule ya Saint Matthew utajionea kwa macho yako iwapo watu wamedanganya ama ni kweli...hakuna uzushi mkuu
 
Ninachofahamu matokeo yalitoka kwa namba kwa wanafunzi waliomaliza form four na form six mwaka 2006 ambapo matokeo yao yaliyotoka 2007 yalikuwa ya namba na pia wale wa 2009 ambao matokeo yao yaliyotoka 2010 yalikuwa ya namba.. kinyume na hapo kote kwingine kulikuwa majina ya kawaida kabisa
Labda na hawa wa juzi juzi wa miaka mitatu miwili iliyopita maana sijafatilia matokeo yao kama yalikuwa namba au majina...
Mkuu Sijakuelewa Uliposema Kote Kwingine Unamaana Baada Ya 2010 Kuendelea Au Unazungumzia Kabla Hayajaanza Kutoka Kwa Namba.

Kama Unazungumzia 2010 Na Kuendelea, Jaribu Kuchunguza Utapata Jibu Sahihi Mkuu Lakn Mimi Najua Kwmb Hii Ni Mbinu Ya Kumchafua Babake Japo Yawezekana Kwel Kafeli Au Lah, Lakn Swali La Kujiuliza,
1. NANI MWENYEUHAKIKA KAMA HAYA MATOKEO NI YA HUYU BINTI?!.

2. ALIYELETA HAYA MATOKEO YEYE YAKE YAWAPI?!.

3. JE TUAMINI KILA KITU KINACHOLERWA HUMU KISIASA?.
 
So Nawe Unaamini Kwmb Haya Matokeo Ni Ya Mlengwa?
 
HUU NI UWONGO.
Nyuma Ya Mwaka 2008 Matokeo Ya Form IV Hadi6 Yalikuwa Yanatoka Kwa Namba Na Si Majiana.

Hayo Matokeo Yenye Jina Wewe Umeyapata Wapi Ndugu.

Hata Hivyo Mwenye Access Ya Kuingia Kwa Tovuti Ya Chuo Kuangalia Matokeo Yake Si Mtu Mwingine Ni Mwanafunzi Mwenyewe.

Hata Kama Kweli Amafeli Lakn Matokeo Haya Si Yake, Muwaaminishe Vilaza Wenzenu Na Si Mtu Mwenye Uwezo Wa Kuchunguza Na Kuoanisha Kile Ulichotupia.

Wewe Uloleta Haya Matokeo, Wapi Matokeo Yako?.
Mnatumia Teknolojia Kumchafua Mtu Na Jinsi Watz Wengi Wasivyojua Kupima Kila Mmoja Kaamini Hili Kwmb Matokeo Haya Ni Ya Huyo Jesca.
Ficha upumbavu wako mbele ya watu, Google matokeo ya St.Mathew ya mwaka 2011 uangalie kama yalitoka kwa namba au majina.Mpumbavu mkubwa wewe.
 
Mkuu Sijakuelewa Uliposema Kote Kwingine Unamaana Baada Ya 2010 Kuendelea Au Unazungumzia Kabla Hayajaanza Kutoka Kwa Namba.

Kama Unazungumzia 2010 Na Kuendelea, Jaribu Kuchunguza Utapata Jibu Sahihi Mkuu Lakn Mimi Najua Kwmb Hii Ni Mbinu Ya Kumchafua Babake Japo Yawezekana Kwel Kafeli Au Lah, Lakn Swali La Kujiuliza,
1. NANI MWENYEUHAKIKA KAMA HAYA MATOKEO NI YA HUYU BINTI?!.

2. ALIYELETA HAYA MATOKEO YEYE YAKE YAWAPI?!.

3. JE TUAMINI KILA KITU KINACHOLERWA HUMU KISIASA?.
Okay waliomaliza form four na form six 2006, 2008 na 2009 yalitoka kwa namba ila 2007, 2010 na kuendelea yalikuwa majina kwani 2007 nilikuwa mwanafunzi niliyehitimu na majibu yalitoka kwa majina... kuhusu maswali yako
1) uhakika ingia matokeo ya St Matthews mwaka 2011 CSEE utayaona na kupata uhakika
2) Kusema ya kwake yapo wapi ni kutafuta ushindani, hapa basi utasema kila anayechangia mada aweke matokeo yake..hiyo sio hoja Bali kikubwa matokeo ni yenyewe au sio yenyewe
3) Kuhusu kuamini kila kitu sio sahihi ndio maana hoja haijajadiliwa na maneno matupu Bali evidence ziliwekwa mezani, rudi usome message utapata ushahidi kuwa kila kilichoongelewa kilitolewa ufafanuzi
 
HUU NI UWONGO.
Nyuma Ya Mwaka 2008 Mpaka Tunavyoongea, Matokeo Ya Form IV Hadi6 Yalikuwa Yanatoka Kwa Namba Na Si Majiana.
Hayo Matokeo Yenye Jina Kayapata Wapi Ndugu.

Hata Hivyo Mwenye Access Ya Kuingia Kwa Tovuti Ya Chuo Kuangalia Matokeo Yake Si Mtu Mwingine Ni Mwanafunzi Husika.

Hata Kama Kweli Amafeli Lakn Matokeo Haya Si Yake, Mi Nafikiri Hata Wewe Jaribu Kuuliza Mtu Mwenye Uwezo Wa Kuchunguza Na Kuoanisha Kile Alichotupia.

Huyu Aloleta Haya Matokeo, Wapi Matokeo Yake?.

Mnatumia Teknolojia Kumchafua Mtu Na Jinsi Watz Wengi Wasivyojua Kupima Kila Mmoja Kaamini Hili Kwmb Matokeo Haya Ni Ya Huyo Jesca.

Chunguza Mkuu
Kuondoa utata vema matokeo yake halisi yakawekwa hadharani la sivyo hiki kizungumkuti na speculations hazitaisha
 
Okay waliomaliza form four na form six 2006, 2008 na 2009 yalitoka kwa namba ila 2007, 2010 na kuendelea yalikuwa majina kwani 2007 nilikuwa mwanafunzi niliyehitimu na majibu yalitoka kwa majina... kuhusu maswali yako
1) uhakika ingia matokeo ya St Matthews mwaka 2011 CSEE utayaona na kupata uhakika
2) Kusema ya kwake yapo wapi ni kutafuta ushindani, hapa basi utasema kila anayechangia mada aweke matokeo yake..hiyo sio hoja Bali kikubwa matokeo ni yenyewe au sio yenyewe
3) Kuhusu kuamini kila kitu sio sahihi ndio maana hoja haijajadiliwa na maneno matupu Bali evidence ziliwekwa mezani, rudi usome message utapata ushahidi kuwa kila kilichoongelewa kilitolewa ufafanuzi
Upo Sahihi Mkuu Lakn Nafurahi Umekubali Kwamba Si Vyite Vya Kuamini Japo Aloleta Matokeo Ya Mwenza Wapo Waloleta Yake Akayakataa Sasa Na Huyu Jesca Akikataa Tuamin Ama Tusiamini?!.

Ok Michezo Iko Mingi Sana Ktk Hili
 
HUU NI UWONGO.
Nyuma Ya Mwaka 2008 Matokeo Ya Form IV Hadi6 Yalikuwa Yanatoka Kwa Namba Na Si Majiana.

Hayo Matokeo Yenye Jina Wewe Umeyapata Wapi Ndugu.

Hata Hivyo Mwenye Access Ya Kuingia Kwa Tovuti Ya Chuo Kuangalia Matokeo Yake Si Mtu Mwingine Ni Mwanafunzi Mwenyewe.

Hata Kama Kweli Amafeli Lakn Matokeo Haya Si Yake, Muwaaminishe Vilaza Wenzenu Na Si Mtu Mwenye Uwezo Wa Kuchunguza Na Kuoanisha Kile Ulichotupia.

Wewe Uloleta Haya Matokeo, Wapi Matokeo Yako?.
Mnatumia Teknolojia Kumchafua Mtu Na Jinsi Watz Wengi Wasivyojua Kupima Kila Mmoja Kaamini Hili Kwmb Matokeo Haya Ni Ya Huyo Jesca.
a3500ed9b8355907984eda6902d203b9.jpg
b018fd13dae32e8775e07772d5da9471.jpg

Ni matokeo ya nani hayo hapo? Siku nyingine upime vitu vya kuandika na sio pumba.
 
So Nawe Unaamini Kwmb Haya Matokeo Ni Ya Mlengwa?
Naona wewe leo ndo umeuona huu uzi kwa mara ya kwanza sio?,hayo yote unayoyasema wenzako wa Lumumba waliyaleta siku ya kwanza ya huu uzi wakaishia kuchutuma baada ya kuvuliwa nguo.Hivi na serikali yetu ilivyojaa wasemaji unafikiri haya matokeo yansingekuwa ya Jesca hadi saizi wangekuwa wamekaa kimya thubutuuuu!!.Wewe unakomaa kuulizia matokeo ya mleta uzi,hiyo sio hoja kwenye huu uzi,kama unataka matokeo yake anzisha uzi wako ukiyadai utayapata.Huu uzi ni kwa ajili ya kilaza namba moja nchini.
 
a3500ed9b8355907984eda6902d203b9.jpg
b018fd13dae32e8775e07772d5da9471.jpg

Ni matokeo ya nani hayo hapo? Siku nyingine upime vitu vya kuandika na sio pumba.
Mimi Mtu Wa IT Wewe Huwezi Kuniaminisha Kila Kitu Kisa Ni Picha, Kwani Mtu Anashindwa Kufanya Editing Hapo?!.

Kama We Ungekuwa Si Pumba Si Ungeweka Matokeo Ya Dada Yako Hapa, Mbona Unaweka Ya Adui Yako?!.
 
Ngoja nikakuletee link halafu utoe sababu nyingine au ukimbie usirudi tena.
 
Upo Sahihi Mkuu Lakn Nafurahi Umekubali Kwamba Si Vyite Vya Kuamini Japo Aloleta Matokeo Ya Mwenza Wapo Waloleta Yake Akayakataa Sasa Na Huyu Jesca Akikataa Tuamin Ama Tusiamini?!.

Ok Michezo Iko Mingi Sana Ktk Hili
Naaam Inawezekana au isiwezekane pia kwani juzi kati GODLISTEN MALISA walimuwekea matokeo ya kidato cha nne 2007 shule ya Minaki wakidai ni yake lakini mhusika akayakana na kudai wamefanana majina tu ila hamtambui huyo na akadai yeye alisoma Moshi kidato cha nne na cha sita kisha chuo SAUT Mwanza...hivyo kwa kuwa hapa tunamzungumzia mtoto wa rais iwapo yasingekuwa matokeo yake kweli nina uhakika hata Mimi ningekuwa napumulia nyuma ya nondo za polisi nikisubiri hukumu ya kwenda ukonga au segerea...lakini ukimya huu inaashiria mambo yamegonga ikulu yenyewe na hakuna cha uongo kabisa
 
We manase kwa hiyo mtu ameedit kwenye website ya Necta????Usikomae bure!
 
Back
Top Bottom