iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,941
Mkuu mchukueni na jesika mumpe mafunzo,elimu dunia imemshindaHapana ile mahesabu yake ni tofauti sana na ukishaset mambo the rest ni automation mode labda ukwae kisiki angani
Mkuu mchukueni na jesika mumpe mafunzo,elimu dunia imemshindaHapana ile mahesabu yake ni tofauti sana na ukishaset mambo the rest ni automation mode labda ukwae kisiki angani
Hapana huku hatuchukui vilazaMkuu mchukueni na jesika mumpe mafunzo,elimu dunia imemshinda
Mwanamke mzuri kama huna skills ni sawa na kipini cha dhahabu kwenye pua ya nguruwe.
<Bonta>
Kuna mahesabu makali? Naonaga wanaonekana na kaniki....kama kilaza anaweza kunaswa,Hapana huku hatuchukui vilaza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Does this means that mathematically, she can symbolically be denoted as "{}" or "∅"?
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hapana huku hatuchukui vilaza
Mpaka mshana kamkataa?sasa UDOM walimkubalije?[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kwa hiyo hawa wote waliojadili huu uzi mpaka pg 120 hawana akili ila wewe, hivi unaweza kutumia njia gani within 2 years kufika chuo kikuu?Unaweza kufeli Form 4 na bado ukaweza kuingia chuo kikuu. Rais wetu alizitaja njia za kufika huko wakati anahutubia pale UDSM. Unachotakiwa kukifanya ni kufuatilia kama alipitia hatua hizo hasa ukizingatia ameingia hapo 2yrs baada ya kumaliza o level, muda ambao kwa mwenye uwezo, unaweza kabisa kubadlisha CV yako. Usiandike kishabiki kama huna data.
Usiumize kichwa chako,akili zao ziko kwenye maroka pale Lumumba.Kwa hiyo hawa wote waliojadili huu uzi mpaka pg 120 hawana akili ila wewe, hivi unaweza kutumia njia gani within 2 years kufika chuo kikuu?
Ficha ujinga wako wewe,unafikiri ingekuwa kirahisi hivyo huu uzi ungefika page 120s au wewe ndo una akili sana hata kuliko hao lumumba wote na wapambe wao ambao wameamua kuchutama?Kumbuka huyu yupo mwaka wa pili shahada na walioondolewa ni mwaka wa kwanza stashahada.
Swala si kuwa program maalum inalengo la kusubiria wengine bali inawawezesha kuwa na sifa ya kuchukua shahada ya kozi watakayo ichukuwa.
Hakuna sababu ya kuchutama kwa sababu mhusika yupo kihalali na anastahili kuwa hapo alipo.
nikaulize kitu ambacho hakipoNenda kaulize unafikili wao wanavichwa mgando kama wewe?
nimekupata binti, nitumie inbox ya namba yako tuongee kuhusu hilo unaloliuliziaJamani jesca ni mtoto wa rais hata tukimjadili huku chini ni kazi bure ila me staki yanikute ya special diploma Nattak nikasomee certificate ya education technology pale Udom nmepata dvition three form four ila mpka sasa bado sijfanya application Udom cozy sijui wanfanya kwa njia gani please kwa anayejua naomba anisaidie kuniambia Mdogo wenu
Kwa Mungu kila kitu kinawezekana ninazo akili hizo. Kama umewaona kimya hawajachutama bali wameona nalimudu darasa na nyiye nyumbu mnalielewa somo na sasa mmebakisha kuonesha unyumbu wenu na si kuleta hoja fikirishi na jenzi.Ficha ujinga wako wewe,unafikiri ingekuwa kirahisi hivyo huu uzi ungefika page 120s au wewe ndo una akili sana hata kuliko hao lumumba wote na wapambe wao ambao wameamua kuchutama?
Ninachofahamu matokeo yalitoka kwa namba kwa wanafunzi waliomaliza form four na form six mwaka 2006 ambapo matokeo yao yaliyotoka 2007 yalikuwa ya namba na pia wale wa 2009 ambao matokeo yao yaliyotoka 2010 yalikuwa ya namba.. kinyume na hapo kote kwingine kulikuwa majina ya kawaida kabisaHUU NI UWONGO.
Nyuma Ya Mwaka 2008 Matokeo Ya Form IV Hadi6 Yalikuwa Yanatoka Kwa Namba Na Si Majiana.
Hayo Matokeo Yenye Jina Wewe Umeyapata Wapi Ndugu.
Hata Hivyo Mwenye Access Ya Kuingia Kwa Tovuti Ya Chuo Kuangalia Matokeo Yake Si Mtu Mwingine Ni Mwanafunzi Mwenyewe.
Hata Kama Kweli Amafeli Lakn Matokeo Haya Si Yake, Muwaaminishe Vilaza Wenzenu Na Si Mtu Mwenye Uwezo Wa Kuchunguza Na Kuoanisha Kile Ulichotupia.
Wewe Uloleta Haya Matokeo, Wapi Matokeo Yako?.
Mnatumia Teknolojia Kumchafua Mtu Na Jinsi Watz Wengi Wasivyojua Kupima Kila Mmoja Kaamini Hili Kwmb Matokeo Haya Ni Ya Huyo Jesca.
HUU NI UWONGO.Beauty without brain...[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125]