Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

4d7debb56616923980346d7483ac6789.jpg
30100382a0925262340f281c4e7c4ea2.jpg
e516e458867b188cc3782aabce9faf51.jpg
 
Ki ukweli sio kosa La Jesca wala si kosa la Baba ni kosa la Mfumo uliokuwepo kipindi cha utawara uliopita maana kama wao wasingefingulia Geti kila mtu akapita naamini Jesca asingekuwa hapo so JPM yeye anataka anyooshe utawara wake nadhani(kama ndivyo sidhani kama ni kosa) ila namuomba Mh. Awe mkweli anapotaja vilaza amtaje na mwanae kama kweli yeye ni jasiri
Sasa kwanini hamuondoi kama walivyowatimua wale 7000? Double standard?
 
Mwanamke mzuri kama huna skills ni sawa na kipini cha dhahabu kwenye pua ya nguruwe.
<Bonta>
 
Back
Top Bottom