Ombudsman
JF-Expert Member
- Apr 18, 2012
- 3,565
- 3,737
Kweli wewe ndio ujielewiMihemko mibaya jadilin hoja sio watu bint kamaliza 2011 sasa 2012 cheti mwaka 1akaunga diploma miaka 2 inakua 2014 mwez wa tano then udahili unaanza mwez wa sits sasa shida nini mbona watoto wa maskini kibao wanasoma kupitia hiyo
Cheti -Octoba 2012-Julai 2013
Diploma 1-octoba 2013-julai 2014
Diploma 2-octoba 2014-julai 2015
naomba ufafanuzi wa icho chuo cha mwezi wa 5