Gut
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 2,852
- 3,404
"Nchi itatikisika" mkuu.awezi kumtimua wala kuliongelea
"Nchi itatikisika" mkuu.awezi kumtimua wala kuliongelea
Double standardawezi kumtimua wala kuliongelea
Wameipenda wenyewe....chaguo lao MILELE,sasa wanaVIMBA na kupasukawacha waisome namba.
Hujaacha kutumia ugoro na gongoAtakuwa ali re-sit mitihani na akafaulu kwa kupata credit. Maana hapo kuingia A-level anahitaji C mbili zaidi.
Nenda kamfukuze!kama matokeo hayo kayapata 2012 sasa swali je ameriseat mwaka gan na form 5-6 kasoma mwaka gani na sasa yupo udom!!!au certificate kasoma mwaka na diploma kasoma mwaka gani mpaka sasa awe chuo?? ukojiuloza kwamakini uyagundua hakustaili kusoma chuo kikuu
povu mbona lakutoka...udom hakuna utaratibu huo uliousema weweWewe ndipo uliposoma mwenzio ndipo anaposoma na sasa hivi yupo pale waliomdahili wapo hapo.
Huenda kipindi unasoma walikuwa wanafundisha ujinga. Mtu mzima kukaa ukafikiri taasisi kama hiyo mambo yake yameganda kiasi huna haja hata ya kuuliza eti kwa sababu ulisoma hapo nayo ukaona ni hoja ya kuleta kwa wanaume.
Ujasiri huo hana.maana angeanza kumfukuza wa kwake.ndiyo aone kibanziKi ukweli sio kosa La Jesca wala si kosa la Baba ni kosa la Mfumo uliokuwepo kipindi cha utawara uliopita maana kama wao wasingefingulia Geti kila mtu akapita naamini Jesca asingekuwa hapo so JPM yeye anataka anyooshe utawara wake nadhani(kama ndivyo sidhani kama ni kosa) ila namuomba Mh. Awe mkweli anapotaja vilaza amtaje na mwanae kama kweli yeye ni jasiri
kama matokeo hayo kayapata 2012 sasa swali je ameriseat mwaka gan na form 5-6 kasoma mwaka gani na sasa yupo udom!!!au certificate kasoma mwaka na diploma kasoma mwaka gani mpaka sasa awe chuo?? ukojiuloza kwamakini uyagundua hakustaili kusoma chuo kikuu
Ujasiri huo hana.maana angeanza kumfukuza wa kwake.ndiyo aone kibanzi
Unakijua unachokiongea lakini au bendera fata upepo? Kwanza kabisa huelewi wale wanafunzi walikuwa wakisomea level gani zaidi ya kukurupukaTatizo nyie watu mnapenda Ushabiki wa kisiasa tu..
Mnajua kabisa Sheria, mtu ukiwa na D nne unaweza kwenda kusoma Certificate Mwaka 1, ukifaulu unaenda Diploma Miaka 2, after hapo unaweza kusoma Degree ya kwanza. Sasa hapo kuna ubaya gani, Rais kasema huwezi kutoka form 4 moja kwa moja hadi Degree ya kwanza kama hao wa Udom, Kuna hatua kama hizo unatakiwa upitie. sasa kuna ubaya gani
Umeelewa formula lakini mkuu au mtaala wa elimu ya Tanzania unakupiga chenga??? Kamaliza form form four 2011 matokeo yakatoka February 2012 certificate huanza kati ya July hadi September 2012 hivyo kwenye June au July 2013 akamaliza certificate hivyo September au October 2013 akaunga diploma one ambapo June au July 2014 akamaliza mwaka wa Kwanza diploma, October 2014 akaingia diploma two ambapo kwenye June au July 2015 akamaliza mwaka wa mwisho diploma hivyo akasubiri majibu na kati ya July au August 2015 akaaply degree majibu yakatoka ambapo November 2015 akaingia degree mwaka wa Kwanza hivyo Sasa hivi alitakiwa awe anamalizia mwaka wa Kwanza degree akijiandaa October 2016 kuingia mwaka wa pili...so cha ajabu kuwa mwaka wa pili Sasa hivi akijiandaa kuingia mwaka wa tatu ndio utata unapotokea...Mihemko mibaya jadilin hoja sio watu bint kamaliza 2011 sasa 2012 cheti mwaka 1akaunga diploma miaka 2 inakua 2014 mwez wa tano then udahili unaanza mwez wa sits sasa shida nini mbona watoto wa maskini kibao wanasoma kupitia hiyo
Kweli kabisaNaona dalili za hii thread kuappear front kila siku kwa muda mrefu zaidi kuliko thread yeyote ile
Certificate na Diploma kwa miaka miwili? fikiria kabla ujandika upumbavu wako hapa.Tatizo nyie watu mnapenda Ushabiki wa kisiasa tu..
Mnajua kabisa Sheria, mtu ukiwa na D nne unaweza kwenda kusoma Certificate Mwaka 1, ukifaulu unaenda Diploma Miaka 2, after hapo unaweza kusoma Degree ya kwanza. Sasa hapo kuna ubaya gani, Rais kasema huwezi kutoka form 4 moja kwa moja hadi Degree ya kwanza kama hao wa Udom, Kuna hatua kama hizo unatakiwa upitie. sasa kuna ubaya gani