Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Hivi hadi leo huyo Jesca bado yuko chuoni akipelekwa na VX8, akisindikizwa na Usalama wa Taifa na akilala Ikulu ndogo ya Dodoma kwa pesa za wazazi wa vilaza waliofukuzwa?
 
Rudia kutafakari nilichokujibu kwani huu mpangilio ni ule mchakato wa kawaida kwa kufuata kalenda za kawaida na si program maalum. Kwa program maalum utaanza mara baada ya matokeo kutoka mwezi wa Machi 2012 kwa astashahada.
Nenda kaulize chuo husika kama hukukuta hii hesabu niliyokupa.
Ndugu yangu katika HAPA KAZI TU hebu chutama kwanza,hapa tumevuliwa nguo na mwendawazimu haupaswi kumkimbiza.
Hivi hujiulizi kwamba kuna WAKONGWE humu na wamechutama?maana ya program maalum ni kwamba ambao hawajatimiza vigezo waanze kabla ya wenzao ili waje kukutana na wa mchakato wa kawaida baada ya kutimiza vigezo na usipotimiza vigezo huendelei lakini kwa mujibu wa tafsili yako wewe unataka kusema kwamba program maalum wanawaovateki wale wa mchakato wa kawaida kitu ambacho sio kweli.

Halafu yote kwa yote unayotetea hayafuti ukweli kwamba huyu anayesemwa humu ni KILAZA kwa mujibu wa mkuu tena inawezekana yeye ni zaidi kuliko wale waliofukuzwa 24hrs kama wakimbizi wakati wamefaulu kumzidi huyu mwenzetu na ilipaswa wafukuzwe wote wakatafute vyuo saizi yao kwa maana sasa tumeaminishwa aliyepata DIV 4 hafai kusoma DIPLOMA chuo kikuu.special course ya diploma inafundishwa miaka mitatu huoni kwamba ni sawa na mtu aliyeanzia certificate mpaka kupata diploma?kama kuna waliodahiliwa wakiwa hawana vigezo sio sababu ya kufukuza wote.Halafu huu utaratibu wa kutoa majibu marahisi kwenye maswali magumu tumeuanza lini?majibu kama HAMDHANI,INAWEZEKANA,LABDA,ITAKUWA,KAMA.duh!TUCHUTAME.
 
We ndo hueleweki na hujui. Kwani umeambiwa masikini ndo vilaza tu?

acha kuweweseka nisome vizuri ni wapi nimeandika neno masikini! na ujue nchi yeyote lazima iwe na watu wa kila tabaka, labda kama mnakopi mambo ya Idd Amin kuwatupilia mtoni watu masikini.
 
Ndalichako angemtumbua huyu Mtoto angepata sifa sana.....tatizo ugali
 
Ndugu yangu katika HAPA KAZI TU hebu chutama kwanza,hapa tumevuliwa nguo na mwendawazimu haupaswi kumkimbiza.
Hivi hujiulizi kwamba kuna WAKONGWE humu na wamechutama?maana ya program maalum ni kwamba ambao hawajatimiza vigezo waanze kabla ya wenzao ili waje kukutana na wa mchakato wa kawaida baada ya kutimiza vigezo na usipotimiza vigezo huendelei lakini kwa mujibu wa tafsili yako wewe unataka kusema kwamba program maalum wanawaovateki wale wa mchakato wa kawaida kitu ambacho sio kweli.

Halafu yote kwa yote unayotetea hayafuti ukweli kwamba huyu anayesemwa humu ni KILAZA kwa mujibu wa mkuu tena inawezekana yeye ni zaidi kuliko wale waliofukuzwa 24hrs kama wakimbizi wakati wamefaulu kumzidi huyu mwenzetu na ilipaswa wafukuzwe wote wakatafute vyuo saizi yao kwa maana sasa tumeaminishwa aliyepata DIV 4 hafai kusoma DIPLOMA chuo kikuu.special course ya diploma inafundishwa miaka mitatu huoni kwamba ni sawa na mtu aliyeanzia certificate mpaka kupata diploma?kama kuna waliodahiliwa wakiwa hawana vigezo sio sababu ya kufukuza wote.Halafu huu utaratibu wa kutoa majibu marahisi kwenye maswali magumu tumeuanza lini?majibu kama HAMDHANI,INAWEZEKANA,LABDA,ITAKUWA,KAMA.duh!TUCHUTAME.
Kumbuka huyu yupo mwaka wa pili shahada na walioondolewa ni mwaka wa kwanza stashahada.
Swala si kuwa program maalum inalengo la kusubiria wengine bali inawawezesha kuwa na sifa ya kuchukua shahada ya kozi watakayo ichukuwa.
Hakuna sababu ya kuchutama kwa sababu mhusika yupo kihalali na anastahili kuwa hapo alipo.
 
Msuya alisema kila mtu ataubeba mzigo wake. Waliokosa mikopo nao wabebe furushi lao. Kufaulu bongo.
 
Kumbuka huyu yupo mwaka wa pili shahada na walioondolewa ni mwaka wa kwanza stashahada.
Swala si kuwa program maalum inalengo la kusubiria wengine bali inawawezesha kuwa na sifa ya kuchukua shahada ya kozi watakayo ichukuwa.
Hakuna sababu ya kuchutama kwa sababu mhusika yupo kihalali na anastahili kuwa hapo alipo.
Hiyo program inawahusu watoto wa viongozi na inatolewa kwa hisani ya Lumumba tu na hicho chuo unaweza unafundisha wewe kilaza mkuu.
 
Kumbuka huyu yupo mwaka wa pili shahada na walioondolewa ni mwaka wa kwanza stashahada.
Swala si kuwa program maalum inalengo la kusubiria wengine bali inawawezesha kuwa na sifa ya kuchukua shahada ya kozi watakayo ichukuwa.
Hakuna sababu ya kuchutama kwa sababu mhusika yupo kihalali na anastahili kuwa hapo alipo.
chalii una ubongo wewe?
 
Back
Top Bottom