Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Ukiona serikali muda wote imekaa kimya bila kujibu....ngoma nzito,wanapanga data zinagoma, si kawaida hii,tungekuwa tumeshaona ka barua ka msigwa...taarifa kwa vyombo vya habari....Fulani fulani kafukuzwa....kasimamishwa....msumari umegusa mfupa
 
Jibu ni Six wote wanadahiriwa na TCU na ukiona udahiri umefanywa na NACTE basi co six leaver huyo!
Mkuu, tupo pamoja Sana,, Ila Kuna mtu ulimuuliza hili Swali nkawa namsisitiza ajibu.,,
 
Hapana mi sijajitoa akili ila nadhani we hukunielewa ama hatuki kunielewa, nimekufafanulia nini maana foundation course na hatua mpaka mtu adahiliwe kuwa kwenye foundation course.

Hapana sio ukweli na hiyo sio foundation course jinsi ilivyo kwa mifumo ya elimu ya tanzania jinsi ilivyo, na hakuna chuo tanzania kinachotoa foundation course kuanzia mwanafunzi wa form 4. hii kwa nchi yetu hakipo kitu kama hiko, foundation course huwa zinatolewa ndani ya miezi kama mitata au minne kabla ya chuo kufunguliwa ni kwa wanafunzi walioshindwa kufikisha minimum requirements, ngoja nikueleweshe hapa chini,
Ili mtu aweze kujiunga na chuo kikuu kwa ajili ya masomo ya shahada anatakiwa awe ni vitu vifuatavyo kwa mahitaji ya TCU.
1. AWE AMEMALIZA KIDATO CHA SITA
2. AWE NA ELIMU YA DIPLOMA
3. AWE na principal passes 2 ambazo ni sawa na point 2 kwa diploma basi AWE NA GPA 2.0
sasa kwa sababu chuo ni taasisi zinazojitegemea huwa wanaseti minimum requirements zao wenyewe kwa kutumia TCU kama standard kwa mfano SUA ilikuwa ni 3.5~4 UDSM kwa baadhi ya courses ilikuwa 5, Sasa kuna wanafunzi wamekuwa wametimiza standard ya TCU kujiunga na vyuo lakini hawajatimiza point zinazotakiwa na chuo husika, sasa hapa chuo husika ndo kinaanza kutoa kile kinachoitwa foundation course kwa miezi kadhaa ili ukidhi viwango vya kujiunga na chuo chao.


kwa aliyemaliza mwaka 2011 haiwezekani awe amemaliza diploma 2014, mkuu hili haliwezekaniki hata siku moja, nakufafanulia hapa chini.
mtihani mwezi wa kumi 2011 majibu ya mtihani kimakadilio ni mwezi wa 3/2012 hivyo basi mtiririko ni kama ifuatavyo
10/2012-7/2013===Certificate(cheti).
10/2013-7/2014===Diploma mwaka wa kwanza
10/2014-7/2015===Diploma mwaka wa pili.
10/2015-7/2016===Degree mwaka wa kwanza.
Nimekuelezea hapo juu maana ya foundation course kwa vyuo vya tanzania sasa tuambie kama ni kweli yupo mwaka wa pili amefikaje? na amepitia foundation course kama inavyotakiwa kama ni hivyo amefikaje mwala wa pili?


Hakuna kitu kama hicho Tanzania kwa chuo kutoa foundation course kwa mwanafunzi wa form four tofauti na ile special diploma.
Nimekuelezea hapo juu maana ya foundation course kwa vyuo vya tanzania sasa tuambie kama ni kweli yupo mwaka wa pili amefikaje? na amepitia foundation course kama inavyotakiwa kama ni hivyo amefikaje mwala wa pili?
Rudia kutafakari nilichokujibu kwani huu mpangilio ni ule mchakato wa kawaida kwa kufuata kalenda za kawaida na si program maalum. Kwa program maalum utaanza mara baada ya matokeo kutoka mwezi wa Machi 2012 kwa astashahada.
Nenda kaulize chuo husika kama hukukuta hii hesabu niliyokupa.
 
TUACHANE NA HUU MJADALA HAUNA TIJA KUNA NJIA NYINGI KWA 2011-2014 KUWA NA VIGEZO VYA KUINGIA CHUO TENA KIHALALI HASA UKIWA NA HELA
Hatuachi mpaka na yeye afukuzwe UDOM-atumbuliwe na baba
 
Huyu aliye extract hizo data kwa lengo la uchonganìshì kati ya rais na wananchi lazima atakuwa mtumishi wa NACTE. These are confidential data. Sheria ya mtandao ichukue mkondo wake. Vyombo vya dola vifanye kazi yake.

Mods wa Jforums wawe makini kwani nao sheria inaweza kuwahusisha kama fascilitetors.
Matokeo yote nchi nzima yanawekwa kwenye mtandao kwa miaka kadhaa sasa.

Wewe umelala wapi kuhusu hili kwa miaka michache iliyopita?

Kwa nini unapenda sana censorship na kutisha watu?

Hii ni moja ya sababu nchi yetu haiendelei.

Too much respect for authority.
 
Rudia kutafakari nilichokujibu kwani huu mpangilio ni ule mchakato wa kawaida kwa kufuata kalenda za kawaida na si program maalum. Kwa program maalum utaanza mara baada ya matokeo kutoka mwezi wa Machi 2012 kwa astashahada.
Nenda kaulize chuo husika kama hukukuta hii hesabu niliyokupa.
Soma vizuri nilichokueleza kwenye hiyo post hakuna mfumo huo wa foundation course hapa Tanzania tena kwa mwanafunzi ambaye yupo Form 4 hilo halipo na kama lipo nipe mfano wa hicho chuo hapa TZ kinachofanya hivyo.
 
Matokeo yote nchi nzima yanawekwa kwenye mtandao kwa miaka kadhaa sasa.

Wewe umelele wapi kuhusu huli kwa miaka michache iliyopita?

Kwa nini unapenda sana censorship na kutisha watu?

Hii ni moja ya sababu nchi yetu haiendelei.

Too much respect for authority.
Huyu Msororo69 kilaza wa mwendokasi,mpaka magazeti yanatoa!!
 
Hahahahahhqhq ningeweza kuwalaumu wazazi wako kwa kuzaa taahira...huna hoja unaruka ruka kama ndege mbweha weee... mara uingizie siasa mambo ya kina mbowe mara wanafunzi waliofukuzwa UDOM inaonesha una utindio wa ubongo... mada ni Jessica aliweza vipi kudailiwa chuo kikuu ndani ya miaka miwili ingawa alifeli form four....Acha kutoka nje ya mada Kima wa kishetani weeee
 
Eti nani anakilazimisha chuo kuanza August, it shows how low your brain capacity is...ingekuwa wanajiamulia tu basi shule binafsi za secondary zingekuwa zinajiamulia muda na wakati wa kufungua, kufunga, kufanya mitihani kitaifa..kwanini wafatishe mtaala wa shule za serikali wakati shule ni zao na sio za serikali??? Think outside the box ndugu...chuo kuwa chako doesn't mean mtaala wa chuo unajipangia...kuna rules and regulations... usirudie kuandika porojo za namna hii...hata kama hukufanikiwa kusoma basi haitakiwi uoneshe kila mtu kwamba kichwani kwako hamna kitu
Tofautisha chuo na shule ya sekondari wewe kima. Chuo kinaithibati ya kutoa elimu Kinatunga mitihani yake na kusahihisha kisha kusubiri mtahini wa nje kuthibitisha amtokeo. Sekondari zote na vyuo vya ualimu mitihani yao hutungwa na NECTA na kuisahihisha.
Nazidi kukuongezea ufahamu wewe mfugo wa Mbowe
 
Nimeshatambua wewe ni mtu wa namna gani...elimu huna, akili huna, hoja huna umeishia kuunganisha mambo tu ya siasa na umbea umbea...umesahau kwamba Mimi nahitaji data na sio porojo...nahitaji mtu anayeweza kusimama kwenye mada na sio porojo...rudi shule nadhani baada ya miaka mitano au kumi ukijitahidi na shule plus mijadala mingi maybe unaweza kufikia level of my thinking capacity ya Sasa ila too bad haiwezekani maana samaki mkunje angali mbichi...pole saaana!!!
Kima mkubwa kama unataka data ungeenda chuo kilichomdahili binti huyu. Hapa tunaeleza uwezekano wa huyu binti kudahiliwa kuchukua shahada oktoba 2014. Mimi labda uniulize tulikutana wapi na bi mkubwa wako nitakujuza kila kitu
 
Jaman 2011 ilikuwa ni namba so kama mnaijua namba yake weken hadharan ila hapo mnafake
 
Huyu aliye extract hizo data kwa lengo la uchonganìshì kati ya rais na wananchi lazima atakuwa mtumishi wa NACTE. These are confidential data. Sheria ya mtandao ichukue mkondo wake. Vyombo vya dola vifanye kazi yake.

Mods wa Jforums wawe makini kwani nao sheria inaweza kuwahusisha kama fascilitetors.
Acha ujinga. Matokeo ya form 4 yapo mitandaoni
 
Acha uboya wewe.. kati ya hivi vinavyotambulika Tanzania hii kuna chuo kinaanza muhula wa mwezi wa 3?! Wa wapi wewe!
Hakuna jibu ulilotoa zaidi ya kutoa viroja! Kwanza ulihesabu kuanzia 2011 wakati matokeo yalitoka 2012 halafu bado unadai umetoa jibu!!!
Elewa neno program maalumu. Kwamba toka mwanzo lengo la mwanafuzi ni kumaliza shahada. Kwa kuanza na astashahada.
Hivi jana usiku Mbowe alikuwa amefungia hii misukule kwenye chumba cha giza? Kwenye kipindi cha Kipima Koto jana, Prof Kitila Mkumbo alijibu hiki kitu. Alisema kuwa baada ya wanafunzi wa kidato cha sita kupungua, vyuo viliamua kudahili wanafunzi wa kidato cha nne na kuiita shahada ya miaka mitano. Kwa kauli hiyo kutoka kwa huyu gwiji wa maswala ya elimu nchi, swala hili linawezekana.
 
Inawezekana Jesca Magufuli alirudia mtihani [Reseat]

~Alifanya mtihani kwa mara ya kwanza 2011.... Matokeo yakatoka akafeli.

~Inawezekana 2012 alirudia tena kufanya mtihani (Reseat)..... Akafaulu.

~2013 akajiunga kidato cha Tano na Sita kama QT.... Akasoma kidato cha Tano na sita kwa mwaka mmoja.... Akamaliza 2014

~2014 akajiunga Udom

Leo hii 2016 yupo Mwaka wa 2 kwenda wa Tatu


Nimewaza tu.

Ibwe S A.




C&P
Umesha ambiwa alisoma certificate magogoni
 
Mkileta hoja zinajibiwa tu. Mbona mimi hii kazi ya kitume ya kuwaelimisha nynyi wapumbavu na kuwatoa kwenye giza naipenda sana.
Tusubiri tutajibiwa na Rais. 'Kama mtu alifanya ufisadi hadharani, atatumbuliwa hadharani' - Magufuli.

Tuvute subira.
 
Du wewe mgumu sana kuelewa! Umeulizwa sana kwamba inawezekanaje kusoma certificate na diploma kwa miaka miwili? Wewe umebaki kumtukana Mbowe. Unadhan kila anayecomment huu uxi ni mwanachadema?


Elewa neno program maalumu. Kwamba toka mwanzo lengo la mwanafuzi ni kumaliza shahada. Kwa kuanza na astashahada.
Hivi jana usiku Mbowe alikuwa amefungia hii misukule kwenye chumba cha giza? Kwenye kipindi cha Kipima Koto jana, Prof Kitila Mkumbo alijibu hiki kitu. Alisema kuwa baada ya wanafunzi wa kidato cha sita kupungua, vyuo viliamua kudahili wanafunzi wa kidato cha nne na kuiita shahada ya miaka mitano. Kwa kauli hiyo kutoka kwa huyu gwiji wa maswala ya elimu nchi, swala hili linawezekana.
 
Ni nini tafsiri rahisi kama una qualifications had PhD, Mke pia ni mwalimu mbobezi wa kufindisha watoto elimu ya msingi, mnajaliwa watoto saba, na kati ya hao, mmojawapo anatoka na div 4 point 30.. Je ni child neglect? Au ni yale yake aliyosema Bashe ya kwamba taaluma ya waalimu ni chaka la waliofeli?

Inawezekanaje kama baba pia mama wote ni wanataaluma na wanashindwa kuwaelewesha au kuwafundisha watoto wao masomo ya awali hadi wafaulu na kuepukana na hizo div4 pts 30? Je jukumu la baba au mama la kusaidiana na waalimu wa awali linaishia wapi na lini? kama mtot ana utindio wa ubongo au ni mgumu wa kuelewa, au ni mzito kichwani, vipi shule maalum, alipelekwa?Kuwaita wengine vilala ni dalili za frustrations au msongo wa mawazo na kutokuelewa katika familia hadi motto kufikia div 4 points 30.

Jamii itawaelewaje, achilia mbali kama ni first family au la? Kama sio child neglect ni nini? halafu watoto saba...du...mzee alikuwa hachezi mbali na kinyama ugomvi, lakini kuwafundisha ilikuwa mtihani mwingine kwake (Ni kazi ngumu sana ile), yeye ni kufyatua tu watoto na kusonga mbele (elimu ya uzazi wa mpango pia haikueleweka) ama kweli walio mpa jina la Bulldozer hawakukosea... samahanini kama kuna walio udhika na uzi huu...

Mkuu watoto Saba mbona wachache, mi hapa Nna wa tano, nataka wafike kumi, na mungu amejalia wanabukua vizuri,, kuwa na watoto wengi ni raha,uchumi tu uwe unaruhusu na pia uwe rijali, we umetoka nje ya mada kaka/dada
 
Back
Top Bottom