Vipo vingi. Badala ya kuzunguusha mikono na vichwa muwe mnajifunza ili mjue nchi inaendaje kwa sasa. Fuatilia chuo chochote kinachotoa shahada stashahada na astashahada. Najua vipo vyuo vingi vinavyotoa kozi hizi, lakini kuna vyuo vinahitaji wanafunzi wengi kwa ngazi ya shahahda na haiwapati wa kutosha hufanya program hii.
Nisite kufanya matangazo ya vyuo hapa na pia niepuke kufanya kazi ya kupika, kupakua, kulisha, mpaka kumezesha mtoto kwa kumziba pua, nikuacheukaulizie mwenyewe kitakacho kufaa kajiunge. Najua ni wivu unakusumbua kubaki na D IV.