Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Nawaza kwa mfano mtu akaweka post facebook kuwa mtoto wa mkulu ni kilaza ama mkulu mwenyeww ni kilaza vipi naye atakamatwa kwa kutumia sheria pendwa ya mtandao?.Au yeye pale alipowaita wale wanafunzi vilaza hakuwa anevunja sheria kwa kutoa kauli ya kuudhi?.nawaza tu
 
Misukule ya mbowe inamhadaa kwa kiingereza cha ugoko naye anaona anamajembe!!
Maswali yote niliyoulizwa nimeyajibu na waliouliza wameelewa isipokuwa wewe. Nafikiri wewe hujaelewa kwasababu wewe ndiye ulikuwa wa mwisho kuwekewa kinyesi kichwani na Mbowe.
Mjinga hawezi kufanya kazi niifanyayo ya kuelimisha misukule ya Mbowe aliyoipiga muhuli wa moto, mpaka ikaelewa.
Kama Kiingereza cha ugoko anandika cha kwako wewe ambaye ni total failure in all categories except kwenye matusi. Pathetic.
 
Humu ndani tumepata ujumbe kutoka kwa mate UDOM HUKUNA MTU ALIEsoma nae huko certificate na diploma ? O level tuna uhakika alisoma .
 
Humu ndani tumepata ujumbe kutoka kwa mate UDOM HUKUNA MTU ALIEsoma nae huko certificate na diploma ? O level tuna uhakika alisoma .
Sasa hivi bado courseworks na UEs zitakuwa ubaoni!!
 
Hahaha,,mtoto WA malaika kafeli!
What exactly are you insinuating? Ni kwamba unataka kumsimanga binti wa Malaika aliyeletwa na Mungu; au?! Hudhani unachokifikiria ni machukizo mbele ya Mwenyezi Mungu?! Katoka Form IV na bonge la pass la pass ya Kiinglishi! Kilichofuata baada ya hapo ni lazima uwe na upako na upate kufunuliwa kwa maono! Tunazungumzia mtoto wa Malaika tafadhali![/QHa
 
Ni kweli kuna baadhi ya vyuo huwa wana hiyo foundation course mfano SAUTI lakini hii ni kwa wanafunzi ambao hawajafika kuwa na minimum requirements kwa ajili ya kujiunga na chuo, mfano ili ujiunge na chuo uwe principal 2 kwa direct au kwa diploma GPA 2.7 lakini sio kuruka hatua aidha kwa form six au kwa njia ya diploma, kwa mfumo wa elimu uliopo sasa hauwezi chukuwa diploma na certificate miaka 2 tu halafu uende ukasome foundation courses maana hata sifa ya kupata cheti cha diploma unakuwa hauna.
Kumbe mnajua hayo yapo mbona mnataka kujitoa akili. Muda kati ya 2011 na oktoba 2014, unakitosha chuo kinachohitaji wanafunzi wa shahada, kuandaa wanafunzi wa kidato cha nne kufikia sifa ya kudahiliwa. Kipindi hiki kinazaidi ya miezi 30 ambayo inatosha kuwafanya wanafunzi hawa kusoma astashahada miezi 9 na stashahada miezi 18 kwa mihula minne ya miezi minne ya masomo ambayo inatosha kubeba module za stashahada.
Nafikiri nimeongeza nyama kwa kile ulichokuwa nacho kutoka saut. Kila chuo kinaweza kuja na muundo waka ili iweze kuvutia wanafunzi.
 
Kwa hapa Tanzania chuo gani kinatoa programu maalumu kuwawezesha wanafunzi wenye div 4 ya 30 kudahiliwa chuo kikuu?
Vipo vingi. Badala ya kuzunguusha mikono na vichwa muwe mnajifunza ili mjue nchi inaendaje kwa sasa. Fuatilia chuo chochote kinachotoa shahada stashahada na astashahada. Najua vipo vyuo vingi vinavyotoa kozi hizi, lakini kuna vyuo vinahitaji wanafunzi wengi kwa ngazi ya shahahda na haiwapati wa kutosha hufanya program hii.
Nisite kufanya matangazo ya vyuo hapa na pia niepuke kufanya kazi ya kupika, kupakua, kulisha, mpaka kumezesha mtoto kwa kumziba pua, nikuacheukaulizie mwenyewe kitakacho kufaa kajiunge. Najua ni wivu unakusumbua kubaki na D IV.
 
moderators wana double standards. matokeo ya mbowe hawakutaka tujadili walifunga mjadala huu wanauacha ukiendelea kudhalilisha watu sio sawa kabisa.
Ha ha ha ha wahenga bwana! eti ukisikia uwiiiiiiiii!!! ujue limempata.
 
Kumbe mnajua hayo yapo mbona mnataka kujitoa akili. Muda kati ya 2011 na oktoba 2014, unakitosha chuo kinachohitaji wanafunzi wa shahada, kuandaa wanafunzi wa kidato cha nne kufikia sifa ya kudahiliwa. Kipindi hiki kinazaidi ya miezi 30 ambayo inatosha kuwafanya wanafunzi hawa kusoma astashahada miezi 9 na stashahada miezi 18 kwa mihula minne ya miezi minne ya masomo ambayo inatosha kubeba module za stashahada.
Nafikiri nimeongeza nyama kwa kile ulichokuwa nacho kutoka saut. Kila chuo kinaweza kuja na muundo waka ili iweze kuvutia wanafunzi.
You're such a low life pathetic fool, tangu lini umeona mtaala wa namna hiyo na uorodheshe na vyuo vyenye mitaala hiyo...iwe TCU au NACTE mwisho kuapply huwa ni July or August depending na mwaka wa masomo...nani amalize diploma August kisha apate matokeo ya kumuwezesha kuapply chuo??? Kweli wewe kichwani una mavi na sio ubongo...the issue is btn 2012 na 2014 awe na qualifications kutoka diploma za kumuwezesha kuingia degree...you must be dumb or lunatic to believe that it's possible legally
 
Vipo vingi. Badala ya kuzunguusha mikono na vichwa muwe mnajifunza ili mjue nchi inaendaje kwa sasa. Fuatilia chuo chochote kinachotoa shahada stashahada na astashahada. Najua vipo vyuo vingi vinavyotoa kozi hizi, lakini kuna vyuo vinahitaji wanafunzi wengi kwa ngazi ya shahahda na haiwapati wa kutosha hufanya program hii.
Nisite kufanya matangazo ya vyuo hapa na pia niepuke kufanya kazi ya kupika, kupakua, kulisha, mpaka kumezesha mtoto kwa kumziba pua, nikuacheukaulizie mwenyewe kitakacho kufaa kajiunge. Najua ni wivu unakusumbua kubaki na D IV.
unateseka sana kutetea
 
Kwa kifupi anaweza akawa alireseat 2012 , 2013 akasoma five na six ni possible hafu .
2014/15 first year
2015/16 second year very possible .

More info mchekini kwenye mobile phone yake , au wale wa tweeter yupo anatumia jina ........au cheki followers wa JM waziri au wilbroad silaa mtamuona na atawajibu .

MJADALA UISHE .
 
Back
Top Bottom