Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Hii ni dalili kwamba umeelemewa na njia pekee iliyobaki ni matusi. Hovyo kabisa.


Wewe kinyesi cha mwendawazimu mpaka nimtaje mtu ndipo ujue namuongelea? Hapo mimi nimeongelea usuli wa hivi vyuo kufika hatua ya kuchukuwa wanafunzi wa kidato cha nne.
Ulivyo kima wa kufugwa unadhani hawa wanafunzi waliofukuzwa ndio walikuwa wa kwanza katika program hii.
Ndio maana muda wote namlaani mbowe kwa kuandaa hili kundi la wapumbavu humu jamvini. Ukiona hoja yake kama anahitaji kueleweshwa kumbe wapi kima kinawashwa na mkoja wa bwana wake.
 
Dada unachokisema ni sahihi kabisa, Jesca amehitimu mwaka 2011 matokeo yakatoka 2012 kama ni kuanza chuo alianza mwaka 2012 Agosti mpaka mwaka 2013 mwezi wa 6 au wa 7 kutegemea na chuo husika baada ya hapo chuo hufungwa walimu husahihisha mitihani na kutoa matokeo mwezi wa 8 hadi wa 9 vyuo hufunguliwa tena hivyo Jesca angeanza mwezi 8, 2013 kusoma diploma kwa miaka 2 hadi 2015 mwezi 7 lakini Jesca 2014 tayari alikuwa yupo hapo ndipo panapo leta utata.
Nani anakilazimisha chuo kuanza mwezi Agost wakati matokeo yametoka mwezi wa pili na program ni yake?
 
Nani anakilazimisha chuo kuanza mwezi Agost wakati matokeo yametoka mwezi wa pili na program ni yake?
Hata kama alianza mwezi wa 3 hawezi kuwa mwaka wa pili chuo kikuu. Acha kudanganya watu.
 
Soma kwa wengine nimekwisha toa jawabu kwa chige
Jibu gani ulilolitoa kilaza wa mwisho wewe zaidi ya kuingiza mada zisizohusika za siasa na waliofukuzwa UDOM... tena bila aibu unasema kabisa nimeshajibu huko mwanzo huoni hata haya.... weka majina ya vyuo ambavyo wanatumia mtaala kama uliouandika na sio porojo...wengine tuna elimu na utashi wa kung'amua mambo na sio ujinga ujinga kama unaouandika...rudi shule ukajifunze zaidi bado hujakomaa ubongo
 
Hivi hizi unazotoa hujioni una qualify kuitwa kilaza Mkuu?
Kuitwa kilaza sikatai kwani mimi ni binadamu siwezi kutimia kwa kila nyanja. Kwa mfano mimi ni kilaza kwa kutokuwa mfugo wa mbowe nawe kwa hili wewe kipanga kwani Mbowe hajaishia kukufuga bali pia kukufanya msukule.
Kwa upande wa kutukia akili, hapa ni kipanga. Nafikiri hii ni ID karibu ya Hamsini na zote zimeelimika na kuridhika. Bila kuwa kipanga huwezi kuelimisha wapumbavu wenye kichaa hamsini na kuwaridhisha.
 
Nani anakilazimisha chuo kuanza mwezi Agost wakati matokeo yametoka mwezi wa pili na program ni yake?
Eti nani anakilazimisha chuo kuanza August, it shows how low your brain capacity is...ingekuwa wanajiamulia tu basi shule binafsi za secondary zingekuwa zinajiamulia muda na wakati wa kufungua, kufunga, kufanya mitihani kitaifa..kwanini wafatishe mtaala wa shule za serikali wakati shule ni zao na sio za serikali??? Think outside the box ndugu...chuo kuwa chako doesn't mean mtaala wa chuo unajipangia...kuna rules and regulations... usirudie kuandika porojo za namna hii...hata kama hukufanikiwa kusoma basi haitakiwi uoneshe kila mtu kwamba kichwani kwako hamna kitu
 
1954 mimi sikuelewi kabisa, sijui wewe ni baba/mama mlezi hapa jf?
Toka juzi unawapiga watu mkwara huku ndani.
Mimi uliniambia natafutwa, anyway, nasubiri kukamatwa.
Ila kwa hoja alizochokoza rais juzi UDSM, mkifuatilia hii mitandao ya kijamii mtajaza magereza.
Nataka nikwambie kitu, kumfunga mtu kamba kwenye mti kisha ukaanza kumpiga ni kitendo cha uoga.
Maneno aliyotamka rais pamoja na approach alioitumia kusolve issue yo UDOM werent the best possible so a strong reaction was to be expected.
Sasa huwezi kujitamkia tu maneno bila kujali alafu ukijibiwa unakimbilia kwenye sheria ya mtandao.
I am sure hili litapita, lakini na nyie mkae chini na mkuu, hata kama mkiwa mnatoka jasho na kutetemeka,ila mjikaze,mmwambie mkuu, 'we think you can give a better speech, and more fine tuned decisions'.
Mkiendelea kuongoza nchi kwa hofu ndio haya yanatokea.Watu wanafika mahali wanaacha kuogopa.
 
Hahahahahhqhq ningeweza kuwalaumu wazazi wako kwa kuzaa taahira...huna hoja unaruka ruka kama ndege mbweha weee... mara uingizie siasa mambo ya kina mbowe mara wanafunzi waliofukuzwa UDOM inaonesha una utindio wa ubongo... mada ni Jessica aliweza vipi kudailiwa chuo kikuu ndani ya miaka miwili ingawa alifeli form four....Acha kutoka nje ya mada Kima wa kishetani weeee
Ngoja nikukumbushe pengine bi mkubwa wako hakukujuza. Wakati nampa ujauzito wako alikuwa kichaa nami ndio ujana tena. Nafikiri yale maradhi yalikuathiri na wewe. Nasikitika kuwa naye mbali huenda tungeokoa akili zako
 
Ndugu kwani lazima utukane watu? Hili ni jukwaa la wasomi shindana nao kwa hoja wakikushinda basi jua wewe una uelewa mdogo katika hilo eneo, sio lazima ionekane wajua kila kitu
Misukule kama nyiyi hamuwezi kuwa na hoja za kushinda mtu. Haya majawabu yawafaa sana.
 
Ngoja nikukumbushe pengine bi mkubwa wako hakukujuza. Wakati nampa ujauzito wako alikuwa kichaa nami ndio ujana tena. Nafikiri yale maradhi yalikuathiri na wewe. Nasikitika kuwa naye mbali huenda tungeokoa akili zako
Nimeshatambua wewe ni mtu wa namna gani...elimu huna, akili huna, hoja huna umeishia kuunganisha mambo tu ya siasa na umbea umbea...umesahau kwamba Mimi nahitaji data na sio porojo...nahitaji mtu anayeweza kusimama kwenye mada na sio porojo...rudi shule nadhani baada ya miaka mitano au kumi ukijitahidi na shule plus mijadala mingi maybe unaweza kufikia level of my thinking capacity ya Sasa ila too bad haiwezekani maana samaki mkunje angali mbichi...pole saaana!!!
 
Ngoja nikukumbushe pengine bi mkubwa wako hakukujuza. Wakati nampa ujauzito wako alikuwa kichaa nami ndio ujana tena. Nafikiri yale maradhi yalikuathiri na wewe. Nasikitika kuwa naye mbali huenda tungeokoa akili zako
Matusi hayana maana jibu hoja kwa hoja.
 
Jambo moja ambalo sipati jibu mpaka hivi sasa ni inakuwaje mtu mwenye PHD, tena kiongozi, unaelewa umuhimu wa elimu, faida ya kuwa na elimu, unaelewa kuwa elimu si karatasi tu bali ni pamoja na kukusaidia wewe katika maisha yako ya kila siku pia na jamii iliyokuzunguka.

Unawezaje kumuacha/kumruhusu mtoto wako mpenzi aliye feli katika mtihani wake wa mwisho, kwa maana kwa katika kipindi chote cha miaka minne alichokaa shule na katika topic mbali mbali zilifundishwa pale shuleni asilimia 80 hakuelewa/au hakuwa ufahamu wowote wa hizo topic.

Kwa mzazi mwenye PHD (kwa maana unauelewa mpana wa elimu)hunawezeje kumpitisha mwanao njia ya kichochoroni na kumpeleka University? Hivi Mh. Magufuli ana elewa alichokuwa anafanya? Hivi Mh. PHD inamsaidia kweli?

Hii inanipata picha ya ni wale wazazi wasioelewa uhumimu wa elimu, kwao degree ni muhimu kuliko kilichoko nyuma ya hiyo degree..Jamani Mh.Magufuli si lazima mtoto kuwa na degree za ujinga, degree zisizo na sifa, bora mtoto awe na certificate lakini afahamu alichosomea kuliko kuwa na degree ambao hata mtu akikwambia eleza maana ya degree huwezi..

Hawezekani mtoto ambaye hafahamu jawabu 2+2 bila jitihada za masukudi utegemee kwa atakuja kufahamu 124 +24..

Pia nina mashaka ya ukaribu wako na familia yako maana kama kweli ungekuwa karibu na binti yako basi husingekuja hadharani na kutoa maneno ya kashfa hali mtoto wako ndo kiongozi wa vilaza..

Jaribu kuwa karibu na familia yako kwani udikiteta katika familia yako haukusaidii bali unajenga uwogo, watoto wasiojiamini, mke hasiyejihamini anayetegemea kuishi kwa kutumia kichwa chako...
 
Nimeshindwa kuendelea na wewe katika mjadala huu kwa kuwa ni wazi nahisi upeo wako wa kujadilili hoja ni wa kiwango cha chini...Hii inajidhihirisha na namna unavyoandika maneno mbalimbali:

nilizomzalilisha>>>>>>>>>NILIVYOMDHALILISHA

ebu>>>>>>>>>>>>>>>HEBU

ona sasa! kumbe pia ni mtapatapaji?! wewe unavyoandika kiswanglish unajiona uko sahihi sana ee?! kama huelewi umejuaje ebu nilimaanisha hebu?!
kama wewe si mlopokaji onesha neno nililomdhalilisha rais au acha tujue moja wewe ni mlopokaji.
 
For your information wewe ndiye unayedhalilika...In fact wewe ndiye mbumbumbu mkubwa na ni wazi wewe ni 'kilaza' wa issues mbaiimbali...hujui unachosema, hujui mipaka yako, hujui maana ya uhuru wa habari,na hujui maana ya 'kilaza'...
Jpm Je???,,
 
Anayewakataza kuanza mwezi wa tatu baada ya matokeo kutoka ni nani ili kufikia malengo.
Ndio tatizo la kulishwa ujinga. Sasa aliyewafuga anafurahi kuwaona mkiangaikia humu jamvini.
Acha uboya wewe.. kati ya hivi vinavyotambulika Tanzania hii kuna chuo kinaanza muhula wa mwezi wa 3?! Wa wapi wewe!
Soma kwa wengine nimekwisha toa jawabu kwa chige
Hakuna jibu ulilotoa zaidi ya kutoa viroja! Kwanza ulihesabu kuanzia 2011 wakati matokeo yalitoka 2012 halafu bado unadai umetoa jibu!!!
 
1954 mimi sikuelewi kabisa, sijui wewe ni baba/mama mlezi hapa jf?
Toka juzi unawapiga watu mkwara huku ndani.
Mimi uliniambia natafutwa, anyway, nasubiri kukamatwa.
Ila kwa hoja alizochokoza rais juzi UDSM, mkifuatilia hii mitandao ya kijamii mtajaza magereza.
Nataka nikwambie kitu, kumfunga mtu kamba kwenye mti kisha ukaanza kumpiga ni kitendo cha uoga.
Maneno aliyotamka rais pamoja na approach alioitumia kusolve issue yo UDOM werent the best possible so a strong reaction was to be expected.
Sasa huwezi kujitamkia tu maneno bila kujali alafu ukijibiwa unakimbilia kwenye sheria ya mtandao.
I am sure hili litapita, lakini na nyie mkae chini na mkuu, hata kama mkiwa mnatoka jasho na kutetemeka,ila mjikaze,mmwambie mkuu, 'we think you can give a better speech, and more fine tuned decisions'.
Mkiendelea kuongoza nchi kwa hofu ndio haya yanatokea.Watu wanafika mahali wanaacha kuogopa.
Hahahahaha,amekushukuru kimoyo moyo mkuu. Ushauri umemfaa huyu I hope
 
Back
Top Bottom