Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Jaman 2011 ilikuwa ni namba so kama mnaijua namba yake weken hadharan ila hapo mnafake
Tatizo lako husomi thread, unakurupuka Tu kama ilivyokuwa fashion ya ukoo wa vilaza.

Namba yake ya mtihani ilikuwa S.1071/102, Je una swali lingine?
 
Awali ya yote napenda nianze na maneno aliyowahi kuyasema baba wa Taifa la Tanganyika na baadaye Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliposema,
"Kama mlango umefungwa, jitihada zinatakiwa zifanyike kuufungua. Unatakiwa usukumwe mpaka ufunguke. Jitihada za dhati zifanyike kuwanusuru walioko ndani"

Pamoja na hayo Mwl. Nyerere aliongeza kwamba,
"Hakuna taifa lenye haki ya kufanya maamuzi kwaajili ya taifa lingine, na vivyo hivyo hakuna mtu mwenye haki ya kufanya maamuzi kwa ajili ya mtu mwingine."

Vivyo hivyo sitaki kuingilia maamuzi ya taasisi hususani UDOM, NACTE na wizara ya mambo ya elimu lakini nipo katika mshikamano na Watanzania wengine katika kusukuma mlango uliofungwa na kuwaacha ndani ya unyonge, masikitiko na kukata tamaa watoto wa masikini kwa kisingizio kwamba hawakufaulu vizuri wakati huo huo mtoto wa Rais ambaye pia hakufaulu vema akiwa nje ya nyumba hivyo yupo huru kana kwamba alifaulu kwa division 1,2 au three.

A/ Enyi UDOM kwanini hamtupi ufafanuzi kuhusiana na sakata hili badala yake mnaacha familia ya Rais izidi kuchafuliwa zaidi au hamkagui vyeti vya wanafunzi wanaporipoti mwaka wa kwanza?
B/Enyi NACTE kwanini hamtuambii criteria gani zilitumika kumchagua mwanafunzi husika kuingia chuo kikuu?
C/Enyi wahusika katika wizara ya elimu mbona mpo kimya wakati jambo hili linawatia doa?

Mnataka nani awafanyie maamuzi au hamjui lolote kuhusu corporate image protection?
 
ona sasa! kumbe pia ni mtapatapaji?! wewe unavyoandika kiswanglish unajiona uko sahihi sana ee?! kama huelewi umejuaje ebu nilimaanisha hebu?!
kama wewe si mlopokaji onesha neno nililomdhalilisha rais au acha tujue moja wewe ni mlopokaji.

Hilo la 'kudhalilisha' sasa umeandika vizuribaada ya kufundishwa au kukurekebisha kwani umeandika 'nililomdhalilisha'. Hapo sawa, ila kwa kuwa upeo wako uko chini umekosea maneno mengine:

mlopokaji>>>>>>>>>>>MROPOKAJI

onesha>>>>>>>>>>>>>>ONYESHA
 
Tofautisha chuo na shule ya sekondari wewe kima. Chuo kinaithibati ya kutoa elimu Kinatunga mitihani yake na kusahihisha kisha kusubiri mtahini wa nje kuthibitisha amtokeo. Sekondari zote na vyuo vya ualimu mitihani yao hutungwa na NECTA na kuisahihisha.
Nazidi kukuongezea ufahamu wewe mfugo wa Mbowe
Nilishakudharau nguruwe kama wewe huna ulijualo...siasa na umbea ndio vimetawala kichwa chako, jiondoe kwanza kwenye siasa kaongeze elimu kisha urudi... hii ndio message ya mwisho kukujibu kilaza kama wewe na una bahati kwelikweli maana huwa sijibu mtu ambaye amekaa mrengo wa kisiasa na asiyejua kitu kama wewe...kajielinishe vyuo vyote vina system zinazorandana hakuna cha maana ulichojibu
 
Awali ya yote napenda nianze na maneno aliyowahi kuyasema baba wa Taifa la Tanganyika na baadaye Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliposema,
"Kama mlango umefungwa, jitihada zinatakiwa zifanyike kuufungua. Unatakiwa usukumwe mpaka ufunguke. Jitihada za dhati zifanyike kuwanusuru walioko ndani"

Pamoja na hayo Mwl. Nyerere aliongeza kwamba,
"Hakuna taifa lenye haki ya kufanya maamuzi kwaajili ya taifa lingine, na vivyo hivyo hakuna mtu mwenye haki ya kufanya maamuzi kwa ajili ya mtu mwingine."

Vivyo hivyo sitaki kuingilia maamuzi ya taasisi hususani UDOM, NACTE na wizara ya mambo ya elimu lakini nipo katika mshikamano na Watanzania wengine katika kusukuma mlango uliofungwa na kuwaacha ndani ya unyonge, masikitiko na kukata tamaa watoto wa masikini kwa kisingizio kwamba hawakufaulu vizuri wakati huo huo mtoto wa Rais ambaye pia hakufaulu vema akiwa nje ya nyumba hivyo yupo huru kana kwamba alifaulu kwa division 1,2 au three.

A/ Enyi UDOM kwanini hamtupi ufafanuzi kuhusiana na sakata hili badala yake mnaacha familia ya Rais izidi kuchafuliwa zaidi au hamkagui vyeti vya wanafunzi wanaporipoti mwaka wa kwanza?
B/Enyi NACTE kwanini hamtuambii criteria gani zilitumika kumchagua mwanafunzi husika kuingia chuo kikuu?
C/Enyi wahusika katika wizara ya elimu mbona mpo kimya wakati jambo hili linawatia doa?

Mnataka nani awafanyie maamuzi au hamjui lolote kuhusu corporate image protection?
Hii ni mada moto....ndalichako njoooo useme neno..
..ila njoo kwa tahadhari kwa kuwa naona mizigo ya kuni inaendelea kuingia
 
Hii thread FaizaFoxy na Ritz waliichangia sana mwaka 2012 lakini leo siwaoni na sijui kwa nini?
Mkuje huku mueleze huyo "KILAZA" kaingiaje UDOM na kusomea kozi za watu wanaotakiwa kuwa waelewa wakati kwenye matokeo kapeperusha bendera kibao za CCM!!
 
Elewa neno program maalumu. Kwamba toka mwanzo lengo la mwanafuzi ni kumaliza shahada. Kwa kuanza na astashahada.
Hivi jana usiku Mbowe alikuwa amefungia hii misukule kwenye chumba cha giza? Kwenye kipindi cha Kipima Koto jana, Prof Kitila Mkumbo alijibu hiki kitu. Alisema kuwa baada ya wanafunzi wa kidato cha sita kupungua, vyuo viliamua kudahili wanafunzi wa kidato cha nne na kuiita shahada ya miaka mitano. Kwa kauli hiyo kutoka kwa huyu gwiji wa maswala ya elimu nchi, swala hili linawezekana.
Ndio maana nilikuambia kajielinishe kwanza...unazungumzia program maalumu pale UDOM sisi tunazungumzia Jessica ambaye yupo chuo kikuu...hivi hujioni kwamba akili yako ipo uchi???? Akyamungu Tanzania haitakaa ipige hatua kimaendelea ikiwa na wenye mtindio wa ubongo kama wewe...unachanganya mambo mawili na unajiona upo sahihi kabisa, nani amekuambia Jessica alikuwa program maalumu?? Kadailiwa chuo kikuu na nikuelimishe wewe mtindio wa ubongo, wale program maalumu hawakuwa degree bali walikuwa wanasomea diploma kwa miaka mitatu jambo ambalo ni sahihi kabisa, tunazungumzia udahili wa Jessica wewe kilaza wa mwisho...
 
Lu
Hii thread FaizaFoxy na Ritz waliichangia sana mwaka 2012 lakini leo siwaoni na sijui kwa nini?
Mkuje huku mueleze huyo "KILAZA" kaingiaje UDOM na kusomea kozi za watu wanaotakiwa kuwa waelewa wakati kwenye matokeo kapeperusha bendera kibao za CCM!!
Lumumba wote wamejificha chini ya meza
 
Hilo la 'kudhalilisha' sasa umeandika vizuribaada ya kufundishwa au kukurekebisha kwani umeandika 'nililomdhalilisha'. Hapo sawa, ila kwa kuwa upeo wako uko chini umekosea maneno mengine:

mlopokaji>>>>>>>>>>>MROPOKAJI

onesha>>>>>>>>>>>>>>ONYESHA
Nikurekebishe na wewe pia ambaye unadhani unajua kila kitu, hakuna neno "Onyesha" Bali ni
Onesha - Ona, Onana, Onaneni n.k
Kutumia neno
Onyesha - Onya, Onyana, Onyaneni n.k
Lengo kuu lilikuwa ni kutaka kuelekeza mtu hivyo kauli hapo ni Onesha, kama hukusoma basi rudia kusoma upya ndugu...na pia hatumo humu ndani kurekebishana matamshi kwani kikubwa tunaelewana kwa kile tunachojadili kikubwa jibu hoja kwa hoja na sio kukimbia hoja kwa minajili ya kumrekebisha mtu namna ya kuandika
 
Nashukuru umeelewa. Tatizo ni wewe kusaini kuwa mfugo mtiifu kwa Mbowe. Mtu awe na stashahada daraja la kwanza unamuita kilaza? Labda isiwe kielimu.
Tatizo akili zako zimejaa matope. Hakuna chuo kinatumia almanac kama ulivyo ainisha kilaza we. Mihula vyuo vyote ina anza september hadi Jully. Sasa hapo sijui umetuwekea almanac ya china? Tatizo mnabisha kushibisha tumbo
 
Nikurekebishe na wewe pia ambaye unadhani unajua kila kitu, hakuna neno "Onyesha" Bali ni
Onesha - Ona, Onana, Onaneni n.k
Kutumia neno
Onyesha - Onya, Onyana, Onyaneni n.k
Lengo kuu lilikuwa ni kutaka kuelekeza mtu hivyo kauli hapo ni Onesha, kama hukusoma basi rudia kusoma upya ndugu...na pia hatumo humu ndani kurekebishana matamshi kwani kikubwa tunaelewana kwa kile tunachojadili kikubwa jibu hoja kwa hoja na sio kukimbia hoja kwa minajili ya kumrekebisha mtu namna ya kuandika

Nadhani sasa tunaelewana...nimependa lugha uliyoitumia...hivi nidvyo inavyotakiwa JF iwe, siyo kila siku matusi...Lugha ya kistaarabu nidyo inayotakiwa...Hata hoja yako ni ya msingi, safi sana...
 
Kama hii mada itaendelea natoa masaa mawili jamii forums itafungwa. Haiwezekani mtoto wangu anywe sumu kisa jamii forums. Siwezi kuvumilia kuoina ndoto ya mwanangu ikipotea kisa vilaza wachache wanaojificha nyuma keybord na kutype ubabaishaji. Mtoto wangu ni bright ndo maana yuko UDOM na akimaliza ntampa kazi BOT
 
Nilishakudharau nguruwe kama wewe huna ulijualo...siasa na umbea ndio vimetawala kichwa chako, jiondoe kwanza kwenye siasa kaongeze elimu kisha urudi... hii ndio message ya mwisho kukujibu kilaza kama wewe na una bahati kwelikweli maana huwa sijibu mtu ambaye amekaa mrengo wa kisiasa na asiyejua kitu kama wewe...kajielinishe vyuo vyote vina system zinazorandana hakuna cha maana ulichojibu
Uniite nguruwe, kenge, nyoka, bata kwangu si kitu ili mradi bi mkubwa wako huniandalia maji ya kuoga baada ya kazi roho yangu nyeupe kama theluji.
Nimekupa darasa kiasi cha michango zaidi ya kumi ulikuwa hujajua mlengo wangu ukoje? Basi wewe ni mpumbavu aliyekichaa.
 
Back
Top Bottom