evansGREATDeal
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 4,013
- 2,335
mkuu huu uzi wakiamua kusweka watu,...........bas lumbesaMkuu hapo kwenye Red S. Siro akiamua kuitafsiri na jeshi lake haki ya nani unalala ndani!! Kumbuka yuke jamaa wa A-town!
mkuu huu uzi wakiamua kusweka watu,...........bas lumbesaMkuu hapo kwenye Red S. Siro akiamua kuitafsiri na jeshi lake haki ya nani unalala ndani!! Kumbuka yuke jamaa wa A-town!
nawe huna tofauti na jesca onesha ndiyo neno sahihi kumaanisha elekeza onyesha linatokana na neno onya wakina jesca mko wengi
Onesha limetoka kwenye mzizi ona
Onyesha limetoka kwenye mzizi onya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakugusa kunako nini. Tatizo wewe unafikra changa hujasikia mengi ndio maana kila kitu unashangaa.Mods naomba mtutolee uyu msukule.
pole mkuu hawa lumumba ni wepesi sana kama tishu kwenye hoja labda kwasababu wengi wao ni vila.......Mkuu nina kilaza wangu alikuwa anasoma udom amepata 3 ya 23 nilikuwa nataka nimpeleke hicho chuo lakini kuna mwanjf kaishia kunitukana
dada wa watu hana kosa bali umma unataka kujua alifikaje udomNa wewe ni nani ndugu, umefanana na nani?...Ni jambo baya mno kumsema JESCA asiye na kosa...Unaweza ukaeleleza humu JF kosa la JESCA ni lipi?
Hakuna kitu kinachonisikitisha kama kuanika matokeo ya mtu for the public to see kama Baraza la Mitihani wanavyofanya. Hivi hawa wazee wetu walioko huko NECTA na serikalini kwa ujumla hawajapitia pitia kidogo shule za nchi nyingine waelewe concept za academic privacy jamani, wakoje hawa watu?
dada wa watu hana kosa bali umma unataka kujua alifikaje udom
Natuliza mihemuko ya wapumbavu kama wewe humu jamvini na kuondoa unga wa ndele mliolishwa na Mbowe. Tusipowatuliza hamchelewi kuwa panya road na wabakaji maana huwa mkichafua nchi Mbowe na mifugo yake huja na lawama kwa srikali. Hivyo ninavyowatuliza kwenye bao bonye huko uraiani amani inatawala. Hayo ndiyo elimu yangu imelifanyia taifa hiliH
Hilo jamaa pumbavu sana sijui anamtangazia nani usomi. Unaweza kuta ni jitu jiiinga la mwisho. Msomi msomi umelifanyia taifa nini cha kujivunia? Fankuuuron
mi sijui ila nyie wa miaka 1954 mnaweza kutusaidia siye wa 90s nyie mmekula chumvi nyingi mnayafahamu haya mambo atakuwa alifikajeWewe unadhani alifikaje hapo, leta ushahidi hatutaki longolongo za vijiweni...
unataka uniambie kila anayehoji uhalali wa jesca kufika chuo kikuu ni team mbowe ? Acha ushamba kijana usidhani kila mtu anaakili kama zako za kushikiwa nyie ndiyo mnaosababisha nchi hii ionekane ya vilaza muda wote mnawaza siasa badala ya kuwaza Tanzania kwanzaNatuliza mihemuko ya wapumbavu kama wewe humu jamvini na kuondoa unga wa ndele mliolishwa na Mbowe. Tusipowatuliza hamchelewi kuwa panya road na wabakaji maana huwa mkichafua nchi Mbowe na mifugo yake huja na lawama kwa srikali. Hivyo ninavyowatuliza kwenye bao bonye huko uraiani amani inatawala. Hayo ndiyo elimu yangu imelifanyia taifa hili
Pia elimu yangu imesababisha bi mkubwa wako kuniamini na kusababisha wewe ukapatikana. Je unaswali la nyongea?
Hahahaaa jesika habari ya mujiniiinawe huna tofauti na jesca onesha ndiyo neno sahihi kumaanisha elekeza onyesha linatokana na neno onya wakina jesca mko wengi
mi sijui ila nyie wa miaka 1954 mnaweza kutusaidia siye wa 90s nyie mmekula chumvi nyingi mnayafahamu haya mambo atakuwa alifikaje
mkuu ni saa2100 usiku,..au 0900am???????????SAA TATU NTATOA TAMKO KALI KUHUSIANA NA JESCA.
Jamaa wamekaa kimya...wanaugulia maumivuMpaka sasa ni bila bila amna aliekuja na jibu la hili swali [emoji117]Mtoto wa Magufuli sijui alifikaje Chuo Kikuu?