Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Dada JESCA njoo huku tuperuzi.... Uzi huu umenoga..... Najua una kawaida ya kupitia Jf.... Njoo kuna uhondo huku..
 
Ubaya wake ni nini mkuu?! Mbona unapenda mambo ya giza sana? Ubaya uko wapi sasa?
I have explained that issue a million times, it's called academic privacy and its proponents have cogent reasons. I mean I've belabored that point for years.

Nisingependa matokeo ya mtoto yabandikwe kwenye ma website for everybody to ruminate on. It is the worst kind of government intrusion into people's affairs.

Anheuser;
Mnachotaka kuficha hapa ni nini? Tunataka kuueleza umma kuwa; Usitupe mawe kwenye nyumba ya jirani wakati weye wakaa nyumba ya vioo.
Ulipowaita watoto wa wenzio "vilaza" wakati unatetea kuwafukuza UDOM, tena ukadiriki kusema ati "It is only in Tanzania" Mtu anaingia chuo kikuu na F zote 4. Ati mtu kapata D 4 anaingiaje UDOM!!! Sidhani ka ulijua wenzako wana mjua mwanao Jesca. Hapa kama sio hilo jina lake, si angepeta tuuu???
Acheni tujionee live, makengeza haya
I don't disagree. I said as much all along. La Rais kuita watu VILAZA nimesema tunalipinga na kulaani.

Hayo ya mtoto wake kuingia chuo hiyo ni issue tofauti. Mtoto wake kaingia chuo, kwani waziri wa ujenzi ndio anaingiza watu vyuo? Au alipojua mwanae kaingia chuo angeenda kugombana na admission officers wa HESLB?

Jesca Magufuli, Mwanaasha Kikwete au mtoto yeyote ambae hakufanya vizuri shule hawatakiwi kudhalilishwa kwa kubandikwa ukutani wala kutukanwa na Rais. Kitendo cha Rais kushindwa kujiheshimu pamoja na watoto wa nchi hii ni lazima kikome na kikemewe.

There is no way Jakaya Kikwete, Ally Mwinyi au Mwalimu Nyerere wanaweza kuokota lugha za mtaani za VILAZA na kuzichomeka kwenye presidential speeches. Only Magufuli and Mkapa ndio marais wenye track record ya kutukana watu kwenye hotuba zao.
 
Hilo la 'kudhalilisha' sasa umeandika vizuribaada ya kufundishwa au kukurekebisha kwani umeandika 'nililomdhalilisha'. Hapo sawa, ila kwa kuwa upeo wako uko chini umekosea maneno mengine:

mlopokaji>>>>>>>>>>>MROPOKAJI

onesha>>>>>>>>>>>>>>ONYESHA

wewe ni kilaza wa udom
 
Kwani ulijuaje kuwa sisi au mimi ni wa 1954??? Mtu akiandika ID yake ni 2014 kwa hiyo ni wa 2014? Pamoja na hayo sisi baadhiyetu tutafahamuje hayo unayosema au swali lako la alifikaje? Baadhi yetu hatuna haja ya kuuliza na kulijibu swali hilo. Kwani wengine walifikaje?
kama wewe huna haja miye ninayohaja ya kuuliza au kujua ndiyo maana ninafuatilia uzi huu sasa wewe sijui unatafuta nini kama si kujaza foleni
 
Kwa hiyo Baba Jesca kuwadhalilisha watoto 7,802 watoto wasiomhusu kwa kuwaita vilaza ni sawa ila yeye mtoto wake akiitwa kilaza kwa kufeli kidatu cha nne na kushangaa aliingiaje UDOM ni kosa?

I have explained that issue a million times, it's called academic privacy and its proponents have cogent reasons. I mean I've belabored that point for years.

Nisingependa matokeo ya mtoto yabandikwe kwenye ma website for everybody to ruminate on. It is the worst kind of government intrusion into people's affairs.

I don't disagree. I said as much all along. La Rais kuita watu VILAZA nimesema tunalipinga na kulaani.

Hayo ya mtoto wake kuingia chuo hiyo ni issue tofauti. Mtoto wake kaingia chuo, kwani waziri wa ujenzi ndio anaingiza watu vyuo? Au alipojua mwanae kaingia chuo angeenda kugombana na admission officers wa HESLB?

Jesca Magufuli, Mwanaasha Kikwete au mtoto yeyote ambae hakufanya vizuri shule hawatakiwi kudhalilishwa kwa kubandikwa ukutani wala kutukanwa na Rais. Kitendo cha Rais kushindwa kujiheshimu pamoja na watoto wa nchi hii ni lazima kikome na kikemewe.

There is no way Jakaya Kikwete, Ally Mwinyi au Mwalimu Nyerere wanaweza kuokota lugha za mtaani za VILAZA na kuzichomeka kwenye presidential speeches. Only Magufuli and Mkapa ndio marais wenye track record ya kutukana watu kwenye hotuba zao.
 
Kama unadhani kauli zako wewe na wenzako hamdhalilishi Rais basi poleni sana...there is a big problem...nadhani hamuelewi mtendalo, na hili ni tatizo kubwa....
Rais kajidhalilisha mwenyewe he is a misfit
 
Elewa neno program maalumu. Kwamba toka mwanzo lengo la mwanafuzi ni kumaliza shahada. Kwa kuanza na astashahada.
Hivi jana usiku Mbowe alikuwa amefungia hii misukule kwenye chumba cha giza? Kwenye kipindi cha Kipima Koto jana, Prof Kitila Mkumbo alijibu hiki kitu. Alisema kuwa baada ya wanafunzi wa kidato cha sita kupungua, vyuo viliamua kudahili wanafunzi wa kidato cha nne na kuiita shahada ya miaka mitano. Kwa kauli hiyo kutoka kwa huyu gwiji wa maswala ya elimu nchi, swala hili linawezekana.
Acha wehu wewe! Hapa anaongelewa Jesca ambae alidahiriwa BCom na NACTE! Tangu lini BCom imekuwa kwenye category ya Program Maalumu?
 
Vilazaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

hivi ili neno liko kwa kamusi
 
Leo hii ikiwa ni siku ya 3 sijaona chombo chochote cha habari kilichojaribu kufanya utafiti/uchunguzi juu ya udahili wa mwanafunzi Jesca John Magufuli katika Chuo Kikuu cha Dodoma(UDOM).

Nilitaraji/natarajia waandishi wataenda mbali zaidi kwa kuwahoji wote au baadhi ya watu wafuatao:

1.Mwanafunzi Jesca John Magufuli
2.Mzazi/Mlezi wa Jesca Magufuli
3.Makamu Mkuu wa Chuo cha UDOM au Afisa yeyote anaehusika
4.Mkuu wa shule ya St.Mathew alikosoma binti wa Magufuli
5.Uongozi wa TCU(hawa huenda hawahusiki sana)
6.Viongozi wa NACTE

Waandishi ni wajibu wenu kutuletea developing story juu ya jambo hili hasa katika kipindi hiki ambacho serikali hii ya awamu ya tano inaonekana kulvalia njuga swala la ubora wa elimu.

Nimeangalia magazeti karibu yote ya jana na hata ya leo sijaona habari imeandikwa popote pale wakati ni jambo ambalo limezua mjadala mkubwa katika mitandao ya kijamii.
 
Waandishi wetu makanjanja....wanasubiri wapewe taarifa ya ziara za kushtukiza,ni ka kikundi ka hovyo kabisa....asante teknolojia,hata waandishi wakitekwa humuhumu tunapeana taarifa.....ninachojua wanategeshea wapate matangazo ya serikali,wakiifuatilia hawatapata
 
kama wewe huna haja miye ninayohaja ya kuuliza au kujua ndiyo maana ninafuatilia uzi huu sasa wewe sijui unatafuta nini kama si kujaza foleni

Mmmmmmmmmmmmmh, this is serious, je ikiwa wapo baadhi wanaotaka kufahamu na wewe ulifikaje hapo ulipo kimaisha how would you respond?
 
Leo hii ikiwa ni siku ya 3 sijaona chombo chochote cha habari kilichojaribu kufanya utafiti/uchunguzi juu ya udahili wa mwanafunzi Jesca John Magufuli katika Chuo Kikuu cha Dodoma(UDOM).

Nilitaraji/natarajia waandishi wataenda mbali zaidi kwa kuwahoji wote au baadhi ya watu wafuatao:

1.Mwanafunzi Jesca John Magufuli
2.Mzazi/Mlezi wa Jesca Magufuli
3.Makamu Mkuu wa Chuo cha UDOM au Afisa yeyote anaehusika
4.Mkuu wa shule ya St.Mathew alikosoma binti wa Magufuli
5.Uongozi wa TCU(hawa huenda hawahusiki sana)
6.Viongozi wa NACTE

Waandishi ni wajibu wenu kutuletea developing story juu ya jambo hili hasa katika kipindi hiki ambacho serikali hii ya awamu ya tano inaonekana kulvalia njuga swala la ubora wa elimu.

Nimeangalia magazeti karibu yote ya jana na hata ya leo sijaona habari imeandikwa popote pale wakati ni jambo ambalo limezua mjadala mkubwa katika mitandao ya kijamii.
CC: Pasco
 
JF ni zaidi ya gazeti, kila kitu kipo uchi, kwa zama hizi ambapo serikali aikubali kukoselewa usitegemee kuna gazeti litasubutu kuripoti iyo habari.
 
Back
Top Bottom