Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Tunapokuwa tunaongelea hapa tunachopaswa kujua binti wa mkulu baada ya kufeli ndani ya miaka miwili aliweza vipi na alipitia njia gani kuweza kudahiliwa degree??? Mfano kwa Mtiririko wa mwanafunzi aliyenyooka unakaa hivi
1996-2002= Primary School
2003-2006= O'level
2007-2009= A'level
2009-2012,2013,2014= Degree kwa miaka 3,4,5 kutegemeana na degree yenyewe
Mtiririko ambao hauna mashaka kabisa ambao kila mtu angeweza kuuelewa. Kwa binti wa mkulu tungemuelewa angetiririka hivi hata nisingetia neno
2001-2007= Primary School
2008-2011= O'level
2012-2013= Certificate
2013-2015= Diploma
2015-2018,2019,2020= Degree
Hapo kusingekuwa na tatizo lolote...kusema mtu afungue mjadala kuhusu alipofika kwani tunabishania nini, wewe ambaye unahisi hajaenda sawa mfungulie Uzi na umjadili na sio yeye ajifungulie Uzi... huo utakuwa uzwazwa wa mwaka

Hapana, hata huo si mtiririko wa kilaza aliyepata div 4 ya pt 30! Huyo lazima angechukua muda mrefu zaidi.
 
Wajuzi wa siasa katika kuinusuru serikali watakuja na yafuatayo kuzima hili jambo:
1. Mkuu atafute safari ya Ulaya ili watu wawe na shauku juu ya atakacho ongea huko
2. Wabunge wa cccm au Uvcccm watoe tamko kutaka ufafanuzi, ndipo chuo kitasema kitatoa ufafanuzi muda muafaka
3. Serikali itoe tamko kuhusu Mkataba wa Ligimu
4. Bunge lipitishe hoja ya kupiga kura ya kutokuwa na imani na NS
5. Wanafunzi waliopata Div I hadi III warudi haraka kuendelea na masomo Udom au vyuo vingine
6. Au Mkuu amuondoe Udom bintiye ili kuzima kelele zote na ajiunge Open University

Ushauri wangu, njia bora ya Rais kuzika jambo hili ni kumtoa mwanae pale chuo ili neno lake litimie kwamba watoto wa viongozi wasio na sifa wapo vyuoni. Akifanya hivyo nitarudisha imani kwake kiasi.
....kumuamisha aende chuo gani kwa pass hizo??...ama huko open university wao vigezo vyao vya udahili ni vya chini ya udom??....kwa pass hizi hata vyuo vya ng'ambo kupata itakuwa shida..labda kwenye low level diploma courses...jambo ambalo sidhani litatokea..Mi naona best option ni kumwacha amalize udom...na hili litasaidia hao vilaza wengine waliotimuliwa kurudishwa....hii issue ya huyu binti lazima itachagiza watoto wote waliotimuliwa kurudishwa....this is the best option for all parties.....
 
Nikurekebishe na wewe pia ambaye unadhani unajua kila kitu, hakuna neno "Onyesha" Bali ni
Onesha - Ona, Onana, Onaneni n.k
Kutumia neno
Onyesha - Onya, Onyana, Onyaneni n.k
Lengo kuu lilikuwa ni kutaka kuelekeza mtu hivyo kauli hapo ni Onesha, kama hukusoma basi rudia kusoma upya ndugu...na pia hatumo humu ndani kurekebishana matamshi kwani kikubwa tunaelewana kwa kile tunachojadili kikubwa jibu hoja kwa hoja na sio kukimbia hoja kwa minajili ya kumrekebisha mtu namna ya kuandika

Hao watu petty kiasi hicho unajibizana nao wa nini?
 
Kwa style hii UDOM bora igeuzwe kiwanda cha kusindika zabibu tu,hili tuanze mapema mchakato wa Tanzania ya viwanda.
 
Ndugu wnanajamvi. Nimekuwa nikufuatilia mijadala juu ya hatua ya Mh Rais kusema kuwa kunawatu wamedahiliwa vyuo vikuu kusoma degreewakiwa na duivision IV ya kidato cha nne, kinyume na utaratibu wa kishule ulivyo sehemu zote duniani.

Watu alionufaika na mfumo huu ni watoto wa baadhi ya viongozi nchini.Kibaya Zaidi hawa watoto wa viongozi wanapata mkopo 100% bila kuwa na hata ya kigezo cha kusajiliwa.

Badala ya watu kuanagalia undani wa hoja aliyoitoa Mh rais, bas wale wanaomchukia siku zote wakatafuta Taarifa za binti yake Mh Maghufuri na kusema anasoma Deggree kwa kutumia matokeo ya form IV.

Wakati watu wakimutuhumu mh Rais juu ya hatua zake , wanasau kuwa utaratibu wa binti yake kuingia UDOM uliotumika ndo ulimusitua mzee siku za nyuma baada ya kukuta mtoto anasajiliwa chuo cha UDOM nje ya Taratibu.

Sasa hatua alizovchukua anajua watu wengi watakimbilia kumshambulia bintiyake. Ukweli ni kuwa mh Rais atalazimisha chuo kimuondoe kwa kudahiliwa kwa makos.Baada ya hapo atachukua hatua kali kwa vyuo vyote kukagua utaratibu na ubora wa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini. Lengo nikukamata watoto wa Vigovigo walioko Serikalini,UKAWA, na CCM. Atafanya hivyo huku akisema hata mtoto wake amemutumbua sempuse nyie wengine.

Ushauri wangu kwa wanajamvi.. kuweni makini kumurukia mh Rais kwani inaweza kumfanya akachukua hatua kali zaidi kwa madogo na wanavyuo wengine ambao ni watoto wa wakubwa na wako vyuo vikuu lakini hawana sifa. Watato hao ni ndugu za wabunge na viongozi wa ccm na upinzani.

Mh Rais, kwa kipato chake anaweza muondoa binti yake nakumupeleka ulaya lakini akaanza kudeal na wakitanzania ambao wataumia zaidi huko vyuoni, kwani atakuwa na kisingizio cha kumutumbua binti yake.

Nadhani wabongo tuwe wajanaja juu ya sakata hili
 
Ulaya ndipo wanaposoma vilaza ina maana baba jesca hajui jesca aliendaje chuo.
 
em nipige mahesabu,2011/2012 kidato cha nne(division iv point 30)

.2012/2013 astashahada (cheti/certificate).

2013/2014 mwaka wa kwanza stashahada(diploma)

2014/2015 mwaka wa pili stashahada(diploma)

2015/2016 mwaka wa kwanza shahada(bachelor)

mmhn!
 
Kwa
Ndugu wnanajamvi. Nimekuwa nikufuatilia mijadala juu ya hatua ya Mh Rais kusema kuwa kunawatu wamedahiliwa vyuo vikuu kusoma degreewakiwa na duivision IV ya kidato cha nne, kinyume na utaratibu wa kishule ulivyo sehemu zote duniani.

Watu alionufaika na mfumo huu ni watoto wa baadhi ya viongozi nchini.Kibaya Zaidi hawa watoto wa viongozi wanapata mkopo 100% bila kuwa na hata ya kigezo cha kusajiliwa.

Badala ya watu kuanagalia undani wa hoja aliyoitoa Mh rais, bas wale wanaomchukia siku zote wakatafuta Taarifa za binti yake Mh Maghufuri na kusema anasoma Deggree kwa kutumia matokeo ya form IV.

Wakati watu wakimutuhumu mh Rais juu ya hatua zake , wanasau kuwa utaratibu wa binti yake kuingia UDOM uliotumika ndo ulimusitua mzee siku za nyuma baada ya kukuta mtoto anasajiliwa chuo cha UDOM nje ya Taratibu.

Sasa hatua alizovchukua anajua watu wengi watakimbilia kumshambulia bintiyake. Ukweli ni kuwa mh Rais atalazimisha chuo kimuondoe kwa kudahiliwa kwa makos.Baada ya hapo atachukua hatua kali kwa vyuo vyote kukagua utaratibu na ubora wa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini. Lengo nikukamata watoto wa Vigovigo walioko Serikalini,UKAWA, na CCM. Atafanya hivyo huku akisema hata mtoto wake amemutumbua sempuse nyie wengine.

Ushauri wangu kwa wanajamvi.. kuweni makini kumurukia mh Rais kwani inaweza kumfanya akachukua hatua kali zaidi kwa madogo na wanavyuo wengine ambao ni watoto wa wakubwa na wako vyuo vikuu lakini hawana sifa. Watato hao ni ndugu za wabunge na viongozi wa ccm na upinzani.

Mh Rais, kwa kipato chake anaweza muondoa binti yake nakumupeleka ulaya lakini akaanza kudeal na wakitanzania ambao wataumia zaidi huko vyuoni, kwani atakuwa na kisingizio cha kumutumbua binti yake.

Nadhani wabongo tuwe wajanaja juu ya sakata hili
Pass mark zile hapati chuo ulaya believe me..
 
Kwamba Baba Jesca hakuwa anajua kama Jesca yupo chuo kikuuu au. Au labda Jesca alimdanganya ana Division one nini?
 
Baba Jesca ni mwalimu na mama Jesca ni mwalimu...je kweli inawezekana hawakujua kwamba Jesca kapata DIV. 4 na pointi 30? Jamani tusidanganyane!
 
Back
Top Bottom