Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

kwa njia yoyote ile namba zinakataa either directly entry or equivalent qualification
Form four 2011
Kureseat 2012
Form five 2013/14
Form six 2014/15.
First year 2015/16
Means alipaswa kuwa firstvyear kwa sasa, but now yuko second year. Mathematical inbalance.
Or kama alianzia Certificate basi ilipaswa kuwa hivi,
Certificate 2012/13,
Diploma one 2013/14,
Diploma two 2014/15,
First Year 2015/16.
So alipaswa kuwa 1st year now, but yuko second year anaingia 3rd year. Another mathematical inbalance.
Je alisoma form five huku anareseat form four? Mfumo huu wa kusoma form five huku unareseat form four ulishaondoewa na NECTA tangu mwaka 2011. Je yeye kafikaje 2nd year wakati kwa utaratibu alipaswa awe 1st year kwa sasa. Hilo ndio swali la msingi.
 
Hili suala ni gumu sana mpaka sasa si Ikulu wala udom na hata NACTE waliiomdahili huyu binti wametoa ufafanuzi kuonesha kuwa hili ni kaa la moto.
 
Kuna watu wengi humu hatuna mpango wa hivyo vyama vyenu ila tumekerwa na wadogo zetu kudhalirishwa na kutimliwa kama wahalifu afu mkuu wa nchi anapigilia msumari kuwaita vilaza
Serikari ndiyo yenye program iliianzisha imeisimamisha na kama kuiendeleza ipo juu yao.
Mgogoro na wahadhiri umeibuka hasa kimaslahi, wameshindwa kuelewana mpango mbadala ni kurudisha wanafunzi nyimbani huku utaratibu uwe sawa hata kwa kuwasambaza vyuo vingine.
Hapa wanafunzi hawakupaswa kuchukuwa upande wao wangekaa kimya bila kuingilia huo mzozo. Hapa ndio ile busara ya ugomvi wa baba na mama utasimama upande gani inahusika. Serikari na chuo waliongea na kuelewana kabla wewe mwanafunzi hujafika chuoni. Mjadala huo ulichukuwa zaidi ya mwezi wakati huo wanafunzi wakiwa wametulia. Shida ilikuja pale wanafunzi walipotaka kuishinikiza serikali kwa maandamano na migomo. Ndipo ikaamuliwa waondoke chuoni. Hivyo wanafunzi wanahusika katika kufukuzwa kwao.
Kuwa mwanasiasa au kufanya mambo ya kisiasa ni kama kupumua kwani huwezi kupitisha dakika bila kuhusiana na zao la siasa. Hivyo hata huu mjadala unahusu siasa kwani ulibuniwa na wanasiasa na wanaouendesha na kuusimamia ni wanasiasa ili kwenda kutii kiu ya wanasiasa. Wewe unayejisema si mwanasiasa unatafasiri finyu ya uwanasiasa.
 
chochote ndo chuo gani...kitaje hata kimoja tukuletee prospectus na ratiba za mihula ya masomo alafu tuangalie kama hivyo vitu unavyovisema vingewezekana
Umeshindwa kwenda kwenye chuo ambacho mwanafunzi wake tunamjadili, ndio utaenda huko nitakacho kutajia. Kwa kuwa unaweza kufikia hiyo mifumo nenda UDOM kaangalie ili ulete matokeo.
 
Hili suala ni gumu sana mpaka sasa si Ikulu wala udom na hata NACTE waliiomdahili huyu binti wametoa ufafanuzi kuonesha kuwa hili ni kaa la moto.
Kweli kabisaaa....wamejificha chini ya meza wamekodoa macho tu
 
Umeshindwa kwenda kwenye chuo ambacho mwanafunzi wake tunamjadili, ndio utaenda huko nitakacho kutajia. Kwa kuwa unaweza kufikia hiyo mifumo nenda UDOM kaangalie ili ulete matokeo.
Wewe na aliyekutuma wote vilaza tu.
 
Ficha upumbavu wako,usifikiri sisi hatujasoma kama wewe,hakuna mwanafunzi yeyote aliyopo masomoni aliyejipigania peke yake hadi kupata nafasi ya kusoma bila wazazi,ndugu/jamaa zake kufahamu.Itikadi za kisiasa zisikutie upofu kiasi cha kushindwa kuuona ukweli ulio dhahiri kiasi hiki.

Huyo binti asiye na sifa hakufika hapo alipo kwa juhudi zake kama unavyotaka kutuaminisha,pamoja na ukilaza wake alionao amefika hapo kwa msaada wa familia yake.
Sawa Mimi ni mpumbavu na wewe ni mwerevu, lakini unachotakiwa kujua form hujazwa na applicant na kisainiwa na applicant na zaidi ya hapo wazazi wangu ni Watu waadilifu, Kama kitu aki kuona una mapungufu nacho atakwambia Maana utamwaibisha, sasa labda hili taifa tunalolijenga Leo Watu mna amini bila rushwa huwezi pata kitu na Ndio Maana na advocate kuwepo na standard hii inarahisisha kupata variance mbaya na nzuri ili hatua za kuchukua ziwe pro, na Kama Raisi alivyo sema kuna wengine hawa stahili kuwepo udom , hivyo hata Kama binti yake ni muhusika atoke hapo chuoni skajipange upya Kama ni kupata Hiyo diploma na aende na Kama ni kurudia mitihani ya form IV , basi na afanye hivyo , huu Ndio mchango wa kujenga taifa lilo bora badala ya kugombana na kupoteza muda wa kutatua matatizo .
La Kama umesikia Prof Kikula alimpigia simu au alipata ki note cha kumsaidia Jesca , hapo itakuwa Suala jingine.
 
Tatizo la sisi watanzania tunapenda kuongelea wengine matatizo yao bila kujioji yako,bwana mkubwa kweli pale alijichanganya maana hili dogo alilotamka limemuondolea point na sifa alizopata mwanzo.
Bora hata awe anasoma tu hotuba zake anazoandaliwa kuliko kujitolea kichwani.atakuja inginza taifa kwenye matatizo makubwa zaidi,na watu wanajazw sumu ikilipuka hakutakuwa na namna nyingine ya rectified.
 
Sawa Mimi ni mpumbavu na wewe ni mwerevu, lakini unachotakiwa kujua form hujazwa na applicant na kisainiwa na applicant na zaidi ya hapo wazazi wangu ni Watu waadilifu, Kama kitu aki kuona una mapungufu nacho atakwambia Maana utamwaibisha, sasa labda hili taifa tunalolijenga Leo Watu mna amini bila rushwa huwezi pata kitu na Ndio Maana na advocate kuwepo na standard hii inarahisisha kupata variance mbaya na nzuri ili hatua za kuchukua ziwe pro, na Kama Raisi alivyo sema kuna wengine hawa stahili kuwepo udom , hivyo hata Kama binti yake ni muhusika atoke hapo chuoni skajipange upya Kama ni kupata Hiyo diploma na aende na Kama ni kurudia mitihani ya form IV , basi na afanye hivyo , huu Ndio mchango wa kujenga taifa lilo bora badala ya kugombana na kupoteza muda wa kutatua matatizo .
La Kama umesikia Prof Kikula alimpigia simu au alipata ki note cha kumsaidia Jesca , hapo itakuwa Suala jingine.
Ungemjibu hoja yake hivi mtoto anaweza kujaza fomu bila kuwashirikisha wazazi wake hivi unataka kusema yule binti babake hajui yupo wapi?
 
Wakati mbuge fulani aliposema Bangi ihalalishwe bungeni maana kuna watumiaji wapo kati yao, kuna uwezekano mkubwa baba jesca alikua mmoja wapo
 
Kuwafukuza wale wanafunzi Magufuli amelisababishia taifa hasara maana wanafunzi wale walikuwa wanatumia pesa za umma kulipiwa gharama zote za masomo sasa pesa hizo atazilipa nani? Hivi kuna tatizo gani mwanafunzi wa form 4 kusoma diploma kwa miaka 3, hata kama wasingelipelekwa sekondari wangepelekwa hata shule za msingi ili warejeshe deni letu na kusaidia kuwajengea msingi mzuri wa masomo ya sayansi watoto wetu.
 
Back
Top Bottom