Yote ni makosa!Kwa hiyo Baba Jesca kuwadhalilisha watoto 7,802 watoto wasiomhusu kwa kuwaita vilaza ni sawa ila yeye mtoto wake akiitwa kilaza kwa kufeli kidatu cha nne na kushangaa aliingiaje UDOM ni kosa?
Yote ni makosa!
Watoto 7,802 waliodhalilishwa na Rais ni ujahili wa ajabu!
Na sisi kumbandika na kumdhalilisha mwanae Jesica ni ufidhuli mkubwa!
Nilisema hayo wakati wa kudhalilishwa Mwanaasha Kikwete na nitasema tena.
Vyombo vya usalama vinataka tumuheshimu Rais. Wengine tunasema tunataka kila mtu aheshimiwe. Sisi tusimtukane Jesica na yeye Magufuli asitukane watoto wa nchi hii. Raia wa kwanza anaetakiwa kuwa mfano wa utaua wa kujiheshimu ni Rais wa nchi. Rais huwezi kutumia lugha za "vilaza" za kuokota kwenye mitandao.
Mwalimu Nyerere alisema ukiwa Rais lazima ujiheshimu! Rais amekosa staha.
Weka hata link basi ,.Ushahidi ni mitandao ya kijamii
Na wewe ni wa wapi???????????? Duh, umeibuka tena?????? Na bado lugha yako haijapungua makali??????? Yaani bado unaidharau UDOM?
Jesca ni over 18 ame apply chuo kwa utashi wake mwenyewe, na sio Kwamba Baba yake Ndio kamtuma hivyo Kama hana vigezo au ni kilaza basi naye Hiyo kauli ya Raisi ina muhusu atoke hapo chuoni aende kwenye chuo cha size yake .
Ndio maana sikumpa kura yangu ,eti ni MSAFI,MWADILIFU,MZALENDO,nyerere alisema mwangalieni mtu usoni kama anafanana na uadilifu, nchi za ulaya ni lazima ujiuzuku,CCM akuna MSAFIIIIIIIIIView attachment 353228
St Mathew Secondary School
S1071/0102
F
JESCA JOHN MAGUFULI
30
IV
CIV-D HIST-D GEO-D KISW-F ENGL-C B/MATH-F COMM-F
============
View attachment 353229
NECTA CSEE 2011
Hayo ni matokeo yake na sasa hivi anasoma UDOM.
======
Ulaya hii kitu inaondoa kiongoziNdio maana sikumpa kura yangu ,eti ni MSAFI,MWADILIFU,MZALENDO,nyerere alisema mwangalieni mtu usoni kama anafanana na uadilifu, nchi za ulaya ni lazima ujiuzuku,CCM akuna MSAFIIIIIIIII
Mtoto wa mzee wa kukalili urefu wa barabara nae kavuka bahari kwenda kigamboni kwa kupiga mbizi? Siamini!
DuhHawa watakuwa wamefeli kwa sababu ya kuwaza ukuni tu.
Kwanini akumtaja hadharani kama alivyowaita wale wa Diploma vilaza? acha kutetea upumbavu.Nyumbu usie na kichwa.Ndugu wnanajamvi. Nimekuwa nikufuatilia mijadala juu ya hatua ya Mh Rais kusema kuwa kunawatu wamedahiliwa vyuo vikuu kusoma degreewakiwa na duivision IV ya kidato cha nne, kinyume na utaratibu wa kishule ulivyo sehemu zote duniani.
Watu alionufaika na mfumo huu ni watoto wa baadhi ya viongozi nchini.Kibaya Zaidi hawa watoto wa viongozi wanapata mkopo 100% bila kuwa na hata ya kigezo cha kusajiliwa.
Badala ya watu kuanagalia undani wa hoja aliyoitoa Mh rais, bas wale wanaomchukia siku zote wakatafuta Taarifa za binti yake Mh Maghufuri na kusema anasoma Deggree kwa kutumia matokeo ya form IV.
Wakati watu wakimutuhumu mh Rais juu ya hatua zake , wanasau kuwa utaratibu wa binti yake kuingia UDOM uliotumika ndo ulimusitua mzee siku za nyuma baada ya kukuta mtoto anasajiliwa chuo cha UDOM nje ya Taratibu.
Sasa hatua alizovchukua anajua watu wengi watakimbilia kumshambulia bintiyake. Ukweli ni kuwa mh Rais atalazimisha chuo kimuondoe kwa kudahiliwa kwa makos.Baada ya hapo atachukua hatua kali kwa vyuo vyote kukagua utaratibu na ubora wa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini. Lengo nikukamata watoto wa Vigovigo walioko Serikalini,UKAWA, na CCM. Atafanya hivyo huku akisema hata mtoto wake amemutumbua sempuse nyie wengine.
Ushauri wangu kwa wanajamvi.. kuweni makini kumurukia mh Rais kwani inaweza kumfanya akachukua hatua kali zaidi kwa madogo na wanavyuo wengine ambao ni watoto wa wakubwa na wako vyuo vikuu lakini hawana sifa. Watato hao ni ndugu za wabunge na viongozi wa ccm na upinzani.
Mh Rais, kwa kipato chake anaweza muondoa binti yake nakumupeleka ulaya lakini akaanza kudeal na wakitanzania ambao wataumia zaidi huko vyuoni, kwani atakuwa na kisingizio cha kumutumbua binti yake.
Nadhani wabongo tuwe wajanaja juu ya sakata hili
Siongezi neno
Sisi atujamtukana mtu ila tunataka jibu la hili swali Mtoto wa Magufuli sijui alifikaje Chuo Kikuu?Yote ni makosa!
Watoto 7,802 waliodhalilishwa na Rais ni ujahili wa ajabu!
Na sisi kumbandika na kumdhalilisha mwanae Jesica ni ufidhuli mkubwa!
Nilisema hayo wakati wa kudhalilishwa Mwanaasha Kikwete na nitasema tena.
Vyombo vya usalama vinataka tumuheshimu Rais. Wengine tunasema tunataka kila mtu aheshimiwe. Sisi tusimtukane Jesica na yeye Magufuli asitukane watoto wa nchi hii. Raia wa kwanza anaetakiwa kuwa mfano wa utaua wa kujiheshimu ni Rais wa nchi. Rais huwezi kutumia lugha za "vilaza" za kuokota kwenye mitandao.
Mwalimu Nyerere alisema ukiwa Rais lazima ujiheshimu! Rais amekosa staha.
Rais amjuaye ni kagame tuSadam ni wa Kuwait [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]