MWAKATA KWETU
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 560
- 320
maana wameona mnachokiongea humu ni.....
Umemsahau Manyerere Jackton.
ili iweje?Leo hii ikiwa ni siku ya 3 sijaona chombo chochote cha habari kilichojaribu kufanya utafiti/uchunguzi juu ya udahili wa mwanafunzi Jesca John Magufuli katika Chuo Kikuu cha Dodoma(UDOM).
Nilitaraji/natarajia waandishi wataenda mbali zaidi kwa kuwahoji wote au baadhi ya watu wafuatao:
1.Mwanafunzi Jesca John Magufuli
2.Mzazi/Mlezi wa Jesca Magufuli
3.Makamu Mkuu wa Chuo cha UDOM au Afisa yeyote anaehusika
4.Mkuu wa shule ya St.Mathew alikosoma binti wa Magufuli
5.Uongozi wa TCU(hawa huenda hawahusiki sana)
6.Viongozi wa NACTE
Waandishi ni wajibu wenu kutuletea developing story juu ya jambo hili hasa katika kipindi hiki ambacho serikali hii ya awamu ya tano inaonekana kulvalia njuga swala la ubora wa elimu.
Nimeangalia magazeti karibu yote ya jana na hata ya leo sijaona habari imeandikwa popote pale wakati ni jambo ambalo limezua mjadala mkubwa katika mitandao ya kijamii.
Jesca nimeamini ni kweli ulipata Kiswahili F na lugha kwa ujumla ulifeli,hebu tuanze...umeandika Fanaya=fanya,alililisiti=alireseat,dalaja=daraja,namfahamu=nina mfahamu,akaristi=akareseat.Jesca acha kujitetea wewe ni kilaza kama baba yako anavyokusema!Fanaya tafiti tena ndiyo urudi na pumba zako. Je kama alilisiti hiyo form four na kupata dalaja la kumuwezesha kusoma certificate to diploma then degree?? Au kama alilisti hiyo form four then akaenda form five na six then akafanya certificate then degreee?? Unajua nyie wengine akili zenu zimekaa kizembe kizembe. Mi kuna kijana namfahamu alipata zero kabisa akaristi akapata div four ya 28, then akaenda certificate then diploma sasa yupo degree. Ktk mazingira hayo ukiangalia ule mwaka aliofanya mtihani wa form IV mara ya kwanza utakuta ana zero, na hiyo scenario inaweza kuwa kwa huyo Jesca. Nitakuita kilaza mpaka utuletee ushahidi kuwa hajawahi kuristi.
Mbona imeshupaliwa na wanachadema? Akili yako haioni hii ni siasa? Kwa kushindwwa kujua hili yawezekana ulikula kinyesi cha kutoshaunataka uniambie kila anayehoji uhalali wa jesca kufika chuo kikuu ni team mbowe ? Acha ushamba kijana usidhani kila mtu anaakili kama zako za kushikiwa nyie ndiyo mnaosababisha nchi hii ionekane ya vilaza muda wote mnawaza siasa badala ya kuwaza Tanzania kwanza
Hii mada tena imeunganishwa,mkuu siku si nyingi uvumilivu utanishinda nitaacha kuandika chochote humu hivyo ukiona nimepotea usishangae.Isitoshe tuna risk tu kuandika haya hivyo ni bora kuwa msomaji.Umemsahau Manyerere Jackton.
Kuna watu wengi humu hatuna mpango wa hivyo vyama vyenu ila tumekerwa na wadogo zetu kudhalirishwa na kutimliwa kama wahalifu afu mkuu wa nchi anapigilia msumari kuwaita vilazaMbona imeshupaliwa na wanachadema? Akili yako haioni hii ni siasa? Kwa kushindwwa kujua hili yawezekana ulikula kinyesi cha kutosha
Mbona imeshupaliwa na wanachadema? Akili yako haioni hii ni siasa? Kwa kushindwwa kujua hili yawezekana ulikula kinyesi cha kutosha
wewe uliyeshupalia kuwajibu huoni kuwa unamtindio wa ubongoMbona imeshupaliwa na wanachadema? Akili yako haioni hii ni siasa? Kwa kushindwwa kujua hili yawezekana ulikula kinyesi cha kutosha
hili la kwangu nilifikaje hapa nilipo lianzishie mada yake sio hiiMmmmmmmmmmmmmh, this is serious, je ikiwa wapo baadhi wanaotaka kufahamu na wewe ulifikaje hapo ulipo kimaisha how would you respond?
hili la kwangu nilifikaje hapa nilipo lianzishie mada yake sio hii
chochote ndo chuo gani...kitaje hata kimoja tukuletee prospectus na ratiba za mihula ya masomo alafu tuangalie kama hivyo vitu unavyovisema vingewezekanaChuo chochote chenye program maalum ya kuwawezesha wanafunzi wawe na sifa ya kudahiliwa chuo kikuu.Baadhi ya vyuo huiita Foundation Course
Tunapokuwa tunaongelea hapa tunachopaswa kujua binti wa mkulu baada ya kufeli ndani ya miaka miwili aliweza vipi na alipitia njia gani kuweza kudahiliwa degree??? Mfano kwa Mtiririko wa mwanafunzi aliyenyooka unakaa hiviOk ok, kwanini usianzishe mwenyewe, kwa kujifagilia, na sisi tutajadili.....
Etiiiiiiiii!!!!!??????? Ngoja nikale ugali kwanza nirudiAtatumbua vyote ila sio mwanae
Hata gazeti la jamhuri wanaojifanya watumbuaji wameufyata....mkia uko ndani yaWanaogopa kuweka hadharani jipu la mkulu gazeti litafungiwa.