Richolic
JF-Expert Member
- Jul 2, 2015
- 578
- 240
top ten haina madrasa product kila mwaka kwanini?
Mwaka huu form six zipo peleka udini wako ukooo
top ten haina madrasa product kila mwaka kwanini?
Chuo chochote chenye kufanya programu ya kuwawezesha wanafunzi kuwa na sifa ya kudahiliwa chuo kikuu.Mpangilio hauko hivo mkuu. Hapo unatumia almanac ya chuo kipi mkuu
Inaweza kuwa kweli aisee ndo ubaya wa kutumia majina matatu aisee tena huko udom inaonyesha kuna wengi hawana ufaulu mzuri wamedahiliwa kuanzia waliotimuliwa na wanaosoma degree hii ni hatari kwa mstakabali wa elimu yetuInawezekana ilikuwa ziro kabisa ila kwa heshima za kisiasa za MZEE ikawekwa division 4 ya 30
Polical damage na counter attack haahaaaaaaaaaaaaa.Political damage ni kubwa sana.....kama ni counter attack hii imevunja rekodi,watu wamesawazisha na kutupia goli nyingi,mabeki wa Lumumba wanautafuta Mpira kwa tochi na wengine wameanza kulaumiana na kupigana
Chuo chochote chenye program maalum ya kuwawezesha wanafunzi wawe na sifa ya kudahiliwa chuo kikuu.Baadhi ya vyuo huiita Foundation Coursechuo gani hapa Tanzania mihula yake inaanza mda ulioutaja wewe nakuisha mda ulioutaja wewe kwenye maelezo yako
Hiki kiingereza chako hakikunasui kutoka katika lindi la upumbvu. Hiyo hoja nimeidadavua vizuri sana na mifugo yote ya Mbowe imenielewa vizuri sana. Sasa wanapojitoa akili hayo ndiyo majibu wanayo stahili.The issue at hand is how did Janeth Magu join universty. How does Mbowe come in? Amazing! Little educatioj is the main problem in this country.
Si ndo maana bodi ya TCU imevunjwa na mabosi wake kufutwa kazi, muwe mnafuatilia matukio kujua ishu nzima. Acheni serikali ifanye kazi wekeni siasa pembeni. Mmeishaambiwa wenye sifa watarudishwa chuonihili ndo tatizo la utendaji usio ratibiwa, ni lini wamegundua kuwa hawakuwa na sifa?? kama walijua hilo ilikuwaje wakapewa pesa??..............ukosefu wa mawasiliano????
Huyo jesika aliyebaki ana sifa!!??? Kwa nini na yeye asifukuzwe kwanzaSi ndo maana bodi ya TCU imevunjwa na mabosi wake kufutwa kazi, muwe mnafuatilia matukio kujua ishu nzima. Acheni serikali ifanye kazi wekeni siasa pembeni. Mmeishaambiwa wenye sifa watarudishwa chuoni
Huyo mzee mamvi ndiye aliyekua waziri mkuu wakati hii program inaanza, nenda mwanahalisi utakuta kubenea humo kamchana kabisa na kaweka maelezo yote. Pili jesca kamaliza 2010 ndo mana hayo ni matokeo ya 2011, swali kuanzia 2011 mpka 2014 alikua wapi? Jibuni hili swali kama mnawezaElimu....Elimu....Elimu....kilio cha mzee wa mvi
Kuingiza siasa kwenye masuala ya kitaalam ni shida.....mpaka sasa suala hili limewachafua wanafunzi wa UDOM waliomo na wasiomo....imeshusha hadhi ya chuo kwenye jumuiya ya kimataifa na kwa wazazi pia hata waajiri watarajiwa,lingetatuliwa kwa kuunda kamati ya wataalam wa kuangalia uhalali wa ufaulu wa wanafunzi,wenye shida wakatolewa wa halali wakabaki,Inaweza kuwa kweli aisee ndo ubaya wa kutumia majina matatu aisee tena huko udom inaonyesha kuna wengi hawana ufaulu mzuri wamedahiliwa kuanzia waliotimuliwa na wanaosoma degree hii ni hatari kwa mstakabali wa elimu yetu
Hivi nyie mnafikiri mkiweka hivi viingereza koko ndio inawaondolea upumbavu? Yaani upumbavu kwako ni karama toka kwa mungu.Sikutaka kuku-degrade lakini nimekosa namna, inaonesha how narrow your mind is, unajua application za vyuo huwa zinafungwa mwezi gani, ulishawahi kuona mtu amemaliza diploma mwezi wa nane akadhiliwa bachelor moja kwa moja kwa miezi uliyoitaja?? Anamaliza mwezi wa nane kisha matokeo yanatoka lini na kisha aweze kuapply chuo na kusubiri selection na kupangwa chuo??? Use your common sense basi usiendelee kujiaibisha...ndio maana awali nikakuuliza level of your education
Kamtishe mwanao (kama unaye)
Haya alipaswa ayajue baba jesca sio kuita watoto wa watu vilaza.Mtihani huwa una mengi sana, kuna watu hufaulu kwasababu mbalimbali na kuna watu hufeli kwasababu mbalimbali. While hujui anayekusahihisha yupo katika mood ipi, mtahiniwa anaweza kufanya mtihani akiwa anaumwa na sababu kibao, while wengine wana pass kwa kuiba mitihani. lakini wapo pia wanaofaulu kihalali na wenye uelewa mzuri wapo ambao hufeli kihalali kwa kuwa na uelewa mdogo. Kuna article niliwahi kuisoma ya wanataaluma juu ya mtihani, conclusion yao ilikuwa mtihani si kipimo sahihi cha kupima uelewa wa mtu.
Kwa hiyo na JESIKA naye ameondolewa? Hapana. Kwa nini?H Hapo haki bado haijatendeka.Tatizo mnachanganya mambo! Magufuli hakusema kama mtoto wake si kilaza. Amesema vilaza na wengi ni watoto wa wakubwa wamedahiriwa udom. Yeye hakujitoa kama hayumo
kwetu sisi ni binadamu mwenzetu, kwako wewe ni mungu na hilo ndo tatizo kuu ndo maana unaona kama kufuru