Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Yaani umeshindwa kuendelea Novemba 2012 kumaliza astashahada baada ya wiki tatu matokeo Januari 2013 mwaka wa kwanza wa stashahada miezi tisa masomo na matokeo. 2013 novemba mpaka 2014 Agosti stashahada masomo na matokeo. Ocktoba 2014 anadahiliwa kuchukua shahada.
Hojazenu ni sa kijinga ndio maana mnahaha kuihalalisha kwa kujitoa akili
Chuo gani kinatoa Diploma kwa mwaka mmoja?
 
Mwenye sifa hajitangazi baba. Hapo ulipo hata barua ya kiingereza huwezi kuandika. Eti tumwage vyeti? Mna vyeti vya kugushi mlikuwa mnapewa pesa na baba zenu kununua mitihani halafu unajisifia. Fankuuuro. Nimesoma enzi hamna wizi wa mitihani hamna kufoji vyeti. Hapo ulipo ukijua kiswangish kidogo unakitupa kwenye Jf uonekane msomi fankuuuro mtajamba tuu sasa hivi. Tukimaliza hilo tunafatilia vyeti vya kugushi na huponi wewe
Wewe Mngese hujasoma popote, Msomi hawezi fikiri kwa makalio kama wewe
 
Yaani umeshindwa kuendelea Novemba 2012 kumaliza astashahada baada ya wiki tatu matokeo Januari 2013 mwaka wa kwanza wa stashahada miezi tisa masomo na matokeo. 2013 novemba mpaka 2014 Agosti stashahada masomo na matokeo. Ocktoba 2014 anadahiliwa kuchukua shahada.
Hojazenu ni sa kijinga ndio maana mnahaha kuihalalisha kwa kujitoa akili
Kama kapita njia hizi uloainisha basi ndo ukilaza wenyewe alokua anaongelea Mweshimiwa Rais. Ingawa najua hizo ni fikra zako. Uhalisia hauko hivo..
 
Hivi mnafikiri mtoto wa Mr President ana muda wa kujibishana na viroba? Hao nyumbu hamna kitu kichwani akili ziko matakoni. Rais katamka wazi penye makosa lazima parekebishwe. Nyumbu mnasema wake kampeleka chuo wengine anawafukuza? Tunapowaambia hamna akili ya kufikiri nyuma hamtuelewi. Akili yenu ilivyo mbovu mnasema Jesca yuko mwaka wa pili chuo, ok. Magufuli ana miaka mingapi kwenye urais? Fankuuuro. Na keshawaambia penye makosa hapataachwa, nyie mpo tu mnabwabwaja utumbo Fankuuuuuuro
Sawa nyie wenye akili za kuvukia barabara na elimu zenu za hapa na pale.
 
Rafiki yangu Comrade Rashid Chilumba kaniuliza maswali yaliyonitoa jasho kidogo. Maswali ya kufikirisha.

Katika kuchangia hoja ya binti anayedhaniwa kuwa ni mtoto wa Rais Magufuli aitwae "Jesca John Magufuli" Comrade Chilumba ameniuliza maswali kadhaa na kunitaka niweke ushahidi (Evidence) wakati nikijibu maswal hayo.

Sehemu ya maswal hayo Chilumba anauliza, Je huyo binti anayetajwa kwa jina la Jesca Magufuli ni mtoto wa Rais Magufuli kweli au ni mfanano wa majina? Kuna ushahidi wowote kuwa Magufuli ana mtoto aitwae Jesca? Kama yupo, je ana uhusiano na Jesca anayetajwa kusoma St.Mathew's?

Anahoji Chilumba na kuendelea; Je Jesca aliyedahiliwa UDOM na yule wa St.Mathew's ni mtu mmoja? Je hayo matokeo yanayodaiwa kuwa ni ya Jesca sio editing? Kwanini picha ya matokeo inayotembea mtandaoni ni moja tu?

Nimeyapenda maswali haya ya Chilumba kwa sababu yamenifanya "nifikirie sana" na mimi napenda kufikiria (Thinking is my hobby).

Maswali ya Chilumba yana mantiki sana kwa sababu jibu lolote kati ya maswali hayo linaweza kubadilisha mijadala yote unaoendelea mitandaoni kuhusu Jesca.

Kwa mfano swali la kwanza la Chilumba majibu yake yakiwa ni HAPANA basi yote tunayojadili huku mtandaoni ni bure. Yani kama Magufuli hana mtoto aitwae Jesca basi tunapoteza muda kujadili mambo ambayo ni "dhahania"

Na ikiwa jibu la kwanza litakua HAPANA basi hata hayo maswali mengine yaliyobaki yanakuwa hayana maana (yanakufa naturally). Huo ndio utamu wa critical thinking.

Kwa hiyo nimpongeze Comrade Chilumba kwa maswali haya mazuri ambayo yamedhihirisha kwamba alikua hasinzii kwenye vipindi vya Critical Thinking vya mwalimu wake Crispin Isaboke.

‪#‎MAJIBU‬
Nimefanya utafiti kidogo na kupata majibu ya maswali ya ndugu Chilumba. Nami napenda kuyajibu kama ifuatavyo kwa kuambatanisha na evidence kama alivyohitaji;

1. ‪#‎SwaliLaKwanza‬
Je Rais Magufuli ana mtoto aitwae Jesca John Magufuli?

‪#‎JIBU‬
Ndio. Jesca John Magufuli ni mtoto wa kuzaliwa wa Mhe.Rais John Magufuli na mkewe Janeth Magufuli. Rais Magufuli ana watoto 7. Watatu wa kiume na wanne wa kike.

‪#‎Evidence‬
Katika orodha ya kuzaliwa Jesca ni mtoto wa 4. Watoto wengine wa Rais Magufuli ni kama ifuatavyo;

1. Suzzan John Magufuli
2. Edna John Magufuli
3. Joseph John Magufuli
4. Jesca John Magufuli
5. Lucy John Magufuli
6. Jurgen John Magufuli
7. Jerry John Magufuli

‪#‎EvidenceNunber2‬
Tembelea anuani hii ya Ikulu kufahamu zaidi juu ya familia ya Rais Magufuli na familia yake, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Tovuti Rasmi ya Rais

2. ‪#‎SwaliLaPili‬
Je Jesca ambaye ni mtoto wa Rais Magufuli amesoma sekondari ya St.Mathew kwa kipindi tajwa?

#JIBU
Ndio. Jesca John Magufuli binti wa Mheshimiwa Rais Magufuli amesoma sekondari ya St.Mathew na kuhitimu kidato cha 4 mwaka 2011.

#Evidence, Mkurugenzi wa shule hiyo Bw.Thadeo Mutembei anaweza kudhibitisha hilo. Unaweza kumpigia kupitia simu yake nambari 0754 698845.

3. ‪#‎SwaliLaTatu‬
Je, Jesca Magufuli aliyepata division four ya alama 30 ndiye huyo mtoto wa Rais Magufuli? (Au ni mwingine).

#JIBU
Ndiye huyo.

#Evidence;
Hakukuwa na Jesca Magufuli wawili katika sekondari ya St.Mathew.

4. ‪#‎SwaliLaNne‬
Je matokeo yanayosambazwa mitandaoni kwamba ni ya Jesca ni matokeo halisi au ni photoshop?

#JIBU
Ni matokeo halisi, hakuna photoshop wala editing.

#Evidence
ingia kwenye website hii utaona matokeo yote ya sekondari ya St.Mathew's kwa mwaka 2012 na utaona jina la Jesca katika orodha hiyo. Nambari yake ya mtihani ilikua S.1071/102 http://196.44.162.33/necta2011/CSEE 2011/s1071.htm

‪#‎SwaliLaTano‬
Je ni kweli kuna mtu aitwae Jesca Magufuli alidahiliwa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) mwaka 2014 kusomea shahada (degree) ya biashara ktk Rasilimali watu?? (Bachelor of Commerce in Hunan Resource Management).??

#JIBU
Ndio. Mwaka 2014 miongoni mwa wanafunzi waliodahiliwa kujiunga na Cho Kikuu cha Dodoma ni binti mmoja aliyejulikana kwa jina la Jesca John Magufuli.

#Evidence
Ingia kwenye website hii kisha tafuta Admisdion number 230. Pitia hapa http://41.93.31.136:8080/Selections/UnderGraduate.jsp?InstCode=DM

6. ‪#‎SwaliLaSita‬
Je, Jesca Magufuli aliyedahiliwa UDOM mwaka 2014 ndio yule Jesca aliyemaliza St.Mathew's mwaka 2011 ambaye ni mtoto wa Rais Magufuli.

#JIBU
Ndiyo. Jesca anayesoma UDOM ndiye Jesca yuleyule aliyemaliza kidato cha 4 mwaka 2011 sekondari ya St.Mathew ambaye pia ni mtoto wa Rais Magufuli.

#Evidence
Unaweza kumpigia Mkuu wa Chuo cha UDOM Prof.Idrisa Kikula kudhibitisha kama kweli Jesca Magufuli aliyepo chuoni hapo ndiye yule binti wa Mheshimiwa Rais Magufuli. Namba ya Prof.Kikula ni 078 455 5655.

‪#‎HITIMISHO‬
Comrade Chilumba nafikiri nimekujibu maswali yako yote kama ulivyoniuliza. Na nimejitahidi kukupa evidence kama ulivyonitaka kufanya hivyo.

Sasa nakuomba na wewe unisaidie vimaswali vyangu vidogo kama ifuatavyo;

1. Hivi ilikuaje Jesca akasoma degree wakati alipata Division four ya point 30?

2. Je ana foundation course yoyote labda Diploma? Kama anayo amesomea chuo gani? Na aliwezaje kupata diloma ndani ya miaka miwili? Ina maana hakusoma certificate?

3. Na ilikuaje Udahili wake wa UDOM ukapitia NACTE wakati muongozo wa NACTE wa mwaka 2005 unazuia vyuo vilivyopo chini yake kudahili wanafunzi wenye alama chini ya 28?? Yeye ana 30 alidahiliwaje?

4. Amewezaje kusoma Bachelor of Commerce wakati somo la Commerce alipata "F" kidato cha 4??

5. Kwanini Serikali ilipotimua wale "Vilaza" (Form four failures) waliokua wamejazana vyuo mbalimnali kikiwemo St.Joseph, mbona hawakushughulika na Jesca? Je yeye ana "immunity??"

6. Je kauli ya Mheshimiwa Rais wetu mpendwa JPM kwamba kuna watoto wa vigogo waliofeli form four wamejazana vyuo vikuu na kuziba nafasi kwa watoto wa maskini wenye sifa na vigezo, je haimlengi Jesca? Hasa ukizingatia kuwa yeye ndiye mtoto wa kigogo mkubwa zaidi nchini? (Mtoto wa Mheshimiwa zaidi). Kama haimlengi Jesca ilikua inalenga akina nani?

Tafadhali Comrade nisaidie majibu ya viswali vyangu hivyo hapo juu. Naamini viswali vyangu hivi sio vigumu kama maswali yako ya Critical Thinking.

Wasalaam,

Malisa Godlisten G.J
 
Kwenye huu uzi kuna uropokaji na upotoshaji wa hali ya juu.
As great thinkers, try to think out of the box.
 
Hebu tuhesabie. Matokeo ya 2011 yalitoka 2012, kama kujoin 1year certificate tufanye alijoin August 2012 hadi August 2013. Tufanye akili yake ilichangamka akafaulu kusoma diploma 2years 2013 hadi 2015. Hapo ndipo wadau wanauliza anakuwaje mwaka wa pili UDOM? hii ina maana. Hata nikikubaliana na wewe bado alipaswa kuwa 1st year
Kwa nini upeleke Agosti na si machi baada ta matokeo Mpaka novemba2012 masomo na matokeo ya astashahada. 2013 januari mbaka octoba masomo na matokeo kwa mihula ya mwaka wa kwanza stashahada Novemba 2013 mpaka Agost 2014 masomo na matokeo mwaka wa pili stashahada. Octoba 2014 kuanza shahada.
 
Hakuna kitu kinachonisikitisha kama kuanika matokeo ya mtu for the public to see kama Baraza la Mitihani wanavyofanya. Hivi hawa wazee wetu walioko huko NECTA na serikalini kwa ujumla hawajapitia pitia kidogo shule za nchi nyingine waelewe concept za academic privacy jamani, wakoje hawa watu?
Unaficha matokeo ili iweje? Hayapaswi kuwa siri kisa mtoto wa Magufuli ana matokeo yake JF na whatsApp.
 
Magufuli alitakuwa kuyachunguza matokeo ya watoto wake kabla hajaja na sakata la UDOM ingemsaidia cha kufanya, sasa angalia mtoto wake kaibua hoja ndefu ambayo nina Imani itamuuma Magufuli.
 
Dah!!! Hizi nyundo zinaweza kupasua injini ya treni.....concrete nzito ya mjerumani...big up malisa
ameua kabisa!ata kama marehemu alikuwa anajikongoja na kupumulia kwa mbali,kwa nyundo hizi malisa amemaliza kazi!wapi walevi wa lumu.mba!ahahaha
 
Kwa nini upeleke Agosti na si machi baada ta matokeo Mpaka novemba2012 masomo na matokeo ya astashahada. 2013 januari mbaka octoba masomo na matokeo kwa mihula ya mwaka wa kwanza stashahada Novemba 2013 mpaka Agost 2014 masomo na matokeo mwaka wa pili stashahada. Octoba 2014 kuanza shahada.
Mpangilio hauko hivo mkuu. Hapo unatumia almanac ya chuo kipi mkuu
 
Back
Top Bottom