Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Charity begins at home, haya magu atumbue jipu la mwanae UDOM sio kuonea watoto wa walala hoi, dunia ni duara
 
Anaweza pia mtu akasoma professional course (certificate) mwaka mmoja then akasoma foundation course mwaka mmoja baada ya hapo anaruhusiwa kuomba shahada ya kwanza chuo kikuu.
Inawezekana hata huyu akawa kapitia mfumo huu, na ni mfumo uliopo na unatumika na TCU na NACTE
Hapo unaongelea mtu mwenye uwezo wake. Kama iyo unayo ongelea inahusisha hadi vilaza wa division 4 karibia na 0 basi tumeua elimu
 
Aki

Akili za matakoni si unaziona? 2014 Mr President JPM alikuwa Rais? Yeye anazungumza kuwa penye makosa lazima parekebishwe. Kaanza na hao mliokwenda kupeleka siasa za kubadili gia angani. Pigeni kelele. Jambeni,mnye,mharishe na mtapike kuanzia hao watakaochujwa na wanaofata lazima utaratibu urudi tu.

Naona umekuja kutukana watu humu nikwambia kitu kimoja wanachohoji watu ni kuwa kwanini Jesca asome miaka miwili cheti na diploma.
 
Bungeni kipindi matokeo yatamnyima mtu posho.
Watoto ya wakubwa wanakula hizi nne nne
I presume binti kachukua certificate one yr, then diploma 2yrs na sasa she is fit to undertake a degree course. Hence she has taken the legal and right path!!
 
nafikir masaburi akukosea maaba niue ngoshanyi usisicimamishe gari kwa nyumba utaachwa ata diploma ci dhani kama unayo ila kele nyingi au ndio wewe kama yule aliyesoma qt miaka kumi
 
Nyumbu ni nyumbu tu. Binti huyo alisoma certificate mwaka mmoja baada ya kumaliza hiyo form four yake mbovu. Baadae akasomea diploma iliyomuwezesha kusoma degree UDOM. Hapo hakuna cha ajabu. Wengi wamepita njia hiyo.
Ingekuwa shida kama angeingia UDOM moja na toka form four tena kwa results kama zile.
Acha kutetea ujinga mkuu. Ukihesabu miaka kwa mpangilio wa elimu ya Tanzania kwa kuangalia ukisemacho alitakiwa awe first year. Swali iweje yupo mwaka wa pili
 
I presume binti kachukua certificate one yr, then diploma 2yrs na sasa she is fit to undertake a degree course. Hence she has taken the legal and right path!!
Umetumia masaburi kupata jawabu?
 
Hujatoa jibu badala yake naona unazunguka zunguka tu...umesema kuhusu ndani ya miaka yake miwili kuwa na sifa za kudahiliwa shahada ya kwanza kisha ukaenda mbali zaidi ukaweka astashahada na stashahada...ndugu swali langu kwa miaka miwili ni chuo gani unaweza kusoma astashahada na stashahada kwa jumla ya miaka miwili tu??? Unarudia kile kile walichoongea wenzako kuhusu kusoma astashahada kisha stashahada lakini swali likiwa inawezekana kwa miaka miwili tu??? 2011 october form four
2012 February matokeo
Kisha baada ya hapo
2014 October ajiunge degree????
Yaani umeshindwa kuendelea Novemba 2012 kumaliza astashahada baada ya wiki tatu matokeo Januari 2013 mwaka wa kwanza wa stashahada miezi tisa masomo na matokeo. 2013 novemba mpaka 2014 Agosti stashahada masomo na matokeo. Ocktoba 2014 anadahiliwa kuchukua shahada.
Hojazenu ni sa kijinga ndio maana mnahaha kuihalalisha kwa kujitoa akili
 
Hivi mnafikiri mtoto wa Mr President ana muda wa kujibishana na viroba? Hao nyumbu hamna kitu kichwani akili ziko matakoni. Rais katamka wazi penye makosa lazima parekebishwe. Nyumbu mnasema wake kampeleka chuo wengine anawafukuza? Tunapowaambia hamna akili ya kufikiri nyuma hamtuelewi. Akili yenu ilivyo mbovu mnasema Jesca yuko mwaka wa pili chuo, ok. Magufuli ana miaka mingapi kwenye urais? Fankuuuro. Na keshawaambia penye makosa hapataachwa, nyie mpo tu mnabwabwaja utumbo Fankuuuuuuro
Wewe ni kinemberie
 
I presume binti kachukua certificate one yr, then diploma 2yrs na sasa she is fit to undertake a degree course. Hence she has taken the legal and right path!!
Hapo ndipo mahesabu yanakataa mkuu 2012 jumlisha miaka mitatu ya mmoja certificate miwili diploma alitakiwa amalize diploma 2015. Sasa anakuaje UDOM mwaka wa pili? watu wanataka kujua
 
Back
Top Bottom