Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Hivi mnafikiri mtoto wa Mr President ana muda wa kujibishana na viroba? Hao nyumbu hamna kitu kichwani akili ziko matakoni. Rais katamka wazi penye makosa lazima parekebishwe. Nyumbu mnasema wake kampeleka chuo wengine anawafukuza? Tunapowaambia hamna akili ya kufikiri nyuma hamtuelewi. Akili yenu ilivyo mbovu mnasema Jesca yuko mwaka wa pili chuo, ok. Magufuli ana miaka mingapi kwenye urais? Fankuuuro. Na keshawaambia penye makosa hapataachwa, nyie mpo tu mnabwabwaja utumbo Fankuuuuuuro

Fankuuuro ni mnyama gani
 
Fanaya tafiti tena ndiyo urudi na pumba zako. Je kama alilisiti hiyo form four na kupata dalaja la kumuwezesha kusoma certificate to diploma then degree?? Au kama alilisti hiyo form four then akaenda form five na six then akafanya certificate then degreee?? Unajua nyie wengine akili zenu zimekaa kizembe kizembe. Mi kuna kijana namfahamu alipata zero kabisa akaristi akapata div four ya 28, then akaenda certificate then diploma sasa yupo degree. Ktk mazingira hayo ukiangalia ule mwaka aliofanya mtihani wa form IV mara ya kwanza utakuta ana zero, na hiyo scenario inaweza kuwa kwa huyo Jesca. Nitakuita kilaza mpaka utuletee ushahidi kuwa hajawahi kuristi.
Wewe hustahili kujibiwa kabisa
Alilisiti????
Dalaja!!??????
Halafu wewe ni bwege majibu ya Swali lako yamejibiwa kwenye uzi ambao umevunja rekodi ya kuchangiwa na watu wengi wewe ulikuwa wapi? Au ndio ulikuwa unaishi mabondeni walipovunja nyumba ukaenda kulala kwenye mapango na kwa kuwa kuna giza hujui muda wa kuamka!!! Haya haraka rudi kwenye pango umeshachafua hali ya hewa huku nje.
 
Hoja kuntu sana hizi lakini napata uwalakini tu kujua kama kuna makubaliano na watu ambo umeweka namba zao za simu hapo
 
Hiv mkuu naomba kuuliza ni kweli mtoto wake huyo mkuu wa vilaza au ni jina ndo limefanana? Tafadhal naomba unisaidie kujua hlo
Wewe unaonaje?mtoto wa baba jesca...yaani jesca john magufuli anaweza kuwa mtoto wa nani?
 
Kwa tahadhari tu...mtu huwezi ukapanda ndimu ukavuna chungwa!

tafakarini hilo...mtu utavuna tu kile ulichopanda na ukipanda kilaza utavuna kilaza...

This explains a lot, doesn't it?
 
utaratibu uliotumika ni mzuri, yaani ulisadia sana kwa mweshimiwa mmoja. Kunyamaza, usijibu kwa haraka kwanza?
 
Hii ni message ya mwisho nitakayomjibu mbweha kama wewe, sio kila kinachojadiliwa ni kutokana na SIASA, mambo yanayojadiliwa ni kuhusu elimu yetu ila wewe pathetic fool unakurupukia kuingizia siasa ukidhani wote tuna akili mbovu kama wewe...and am sure 100% kuwa huna lolote tukiweka vyeti vyetu mezani bado utakuwa kilaza sana kwangu, mafanikio tukitembeleana ukiwa na mashahidi wako still utakuwa wa kufeli tu kwangu...hivyo linapojadiliwa jambo jaribu kushirikisha ubongo wako na sio unashirikisha mishipa ya makalio yako halafu unajiona umeandika la maana mwenyewe...
Asante mkuu kwa kumjibu mwana ccm mjinga...!
 
Ila watanzania ni vilaza kweli kweli, hivi hamuogopi ile sheria mpya ya mitandao ya februali makatani?
 
Back
Top Bottom