Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Mbona hamuonyeshi baada ya hiyo division IV ya CSEE alisota na certificate course na baadaye na diploma ya ngazi ya NTA Level 6 na ndipo akajiunga na hiyo kozi ya NTA Level 8 inayoitwa Bachelor degree.

Halafu mna uhakika gani kuwa huyo ni mtoto wake? Yaani yo yote ambaye jina lake ni Magufuli lazima anauhusiano wa kiukoo na raisi wetu?

Kweli nyinyi ni vilaza!!
Certificate na Diploma alisoma miaka mingapi?

ingia hapa ndio utajua ni mtoto wake au sio Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Tovuti Rasmi ya Rais
 
Fanaya tafiti tena ndiyo urudi na pumba zako. Je kama alilisiti hiyo form four na kupata dalaja la kumuwezesha kusoma certificate to diploma then degree?? Au kama alilisti hiyo form four then akaenda form five na six then akafanya certificate then degreee?? Unajua nyie wengine akili zenu zimekaa kizembe kizembe. Mi kuna kijana namfahamu alipata zero kabisa akaristi akapata div four ya 28, then akaenda certificate then diploma sasa yupo degree. Ktk mazingira hayo ukiangalia ule mwaka aliofanya mtihani wa form IV mara ya kwanza utakuta ana zero, na hiyo scenario inaweza kuwa kwa huyo Jesca. Nitakuita kilaza mpaka utuletee ushahidi kuwa hajawahi kuristi.
Kama kuna watu na Viatu basi wewe FIATU, hivi hupigi hata kahisabati kadogo tu, hivi kama alirisiti form 3 ingekuwa 2012, hivyo kumaliza form 4 2013, na form 5&6 2014/2015 na mwaka huu 2016 angekuwa first year chuo kikuu, sasa imekuaje anasoma UDOM mwaka 2?

Nimekupa kick kukujibu siku nyingine wewe wa kuchapwa fumbafu thanaa ehee ehee [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Tatizo la huyu ngosha anapenda sifa kuliko hata chakula,sijawahi ona msukuma kama huyu,ILA tusimlaumu jesca kwasabu kama watu wazima ukiangalia kiundani hata Baba jesca Ni kilaza ngeli Tu Ni shughuli na utasikia eti Ana PHD
 
Wewe hustahili kujibiwa kabisa
Alilisiti????
Dalaja!!??????
Halafu wewe ni bwege majibu ya Swali lako yamejibiwa kwenye uzi ambao umevunja rekodi ya kuchangiwa na watu wengi wewe ulikuwa wapi? Au ndio ulikuwa unaishi mabondeni walipovunja nyumba ukaenda kulala kwenye mapango na kwa kuwa kuna giza hujui muda wa kuamka!!! Haya haraka rudi kwenye pango umeshachafua hali ya hewa huku nje.
 
TISS itabidi wamtafute huyu kiumbe wakamhifadhi kunapo kolokoloni amuandalie makao mamvi, maana ni shabiki wa mamvi no. 1 mleta maada
jesca baba yako amekuambia utishie watu na TISS?jesca unashida gani?maana hata Kiswahili ulipata F...jonii ooh joniii!
 
Inaweza ikawa applicable pale itakapotokea lugha ya kuudhi dhidi ya rais wetu mwema!
Inabidi awe mvumilivu tu maana hata sisi jana kaita watoto wetu vilaza na tumewasomesha kwa shida sana.
 
Fanaya tafiti tena ndiyo urudi na pumba zako. Je kama alilisiti hiyo form four na kupata dalaja la kumuwezesha kusoma certificate to diploma then degree?? Au kama alilisti hiyo form four then akaenda form five na six then akafanya certificate then degreee?? Unajua nyie wengine akili zenu zimekaa kizembe kizembe. Mi kuna kijana namfahamu alipata zero kabisa akaristi akapata div four ya 28, then akaenda certificate then diploma sasa yupo degree. Ktk mazingira hayo ukiangalia ule mwaka aliofanya mtihani wa form IV mara ya kwanza utakuta ana zero, na hiyo scenario inaweza kuwa kwa huyo Jesca. Nitakuita kilaza mpaka utuletee ushahidi kuwa hajawahi kuristi.

Yaan ww ni mtu pekee mpk sasa ambaye unapinga. Inawezekana unapinga kwa sababu hujaelewa. Km hujaelewa rudia kusoma hii mada. Ila km umeelewa na bado unapinga nina mashaka ww ndo Jesca mwnyw.

Km una swali usiniulize bali pitia hii mada ya hii hapa chini itajibu maswali yako yote. Ila km bado hutaelewa nitaamini ww ndo Jesca. Mtoto wa Magufuli sijui alifikaje Chuo Kikuu?
@Lizabon , jingalao
 
Fanaya tafiti tena ndiyo urudi na pumba zako. Je kama alilisiti hiyo form four na kupata dalaja la kumuwezesha kusoma certificate to diploma then degree?? Au kama alilisti hiyo form four then akaenda form five na six then akafanya certificate then degreee?? Unajua nyie wengine akili zenu zimekaa kizembe kizembe. Mi kuna kijana namfahamu alipata zero kabisa akaristi akapata div four ya 28, then akaenda certificate then diploma sasa yupo degree. Ktk mazingira hayo ukiangalia ule mwaka aliofanya mtihani wa form IV mara ya kwanza utakuta ana zero, na hiyo scenario inaweza kuwa kwa huyo Jesca. Nitakuita kilaza mpaka utuletee ushahidi kuwa hajawahi kuristi.
we unaepinga ndo ulete ushahidi wa kurisit ata km alirisiti alipaswa kurisiti 2012 na kumaliza 2013 then advance au sertificate huwa ni miaka 2 ambayo ingempeleka mpk 2015 km angejiunga na degree angekuwa 1st yr sio 3rd yr km alipo sasa na km angepitia sertificate saiv angekuwa diploma mwaka wa kwanza na sio degree km ilivo sasa mpunguza umbumbumbu ndg yang
 
........ hapa misukule ya lumumba huwezi kuiona kwenye uzi huu.....
 
Kama sijakosea hayo ni matokeo ya kidato cha nne na ndomana kaenda kusoma shule binafsi "private",hivyo yawezekana kidato cha sita alifanya vizuri labda ungetusaidia kuleta na matokeo ya kidato cha sita kama alisoma....isije ikawa mnamuonea bure mana yeye hausiki kwenye miujiza anayofanya dingi yake.
fm six hajaenda mkubwa labda tumtengenezee matokeo ya six
 
Hii ni aibu kubwa na ya wazi kwa rais, kuwaita watoto wa wenzake viraza kumbe naye na kiraza mzuri tu nyumbani kwake.....
 
Huyu aliye extract hizo data kwa lengo la uchonganìshì kati ya rais na wananchi lazima atakuwa mtumishi wa NACTE. These are confidential data. Sheria ya mtandao ichukue mkondo wake. Vyombo vya dola vifanye kazi yake.

Mods wa Jforums wawe makini kwani nao sheria inaweza kuwahusisha kama fascilitetors.
 
Huku ni kukurupuka na kukubali ushauri wa kijinga. Jamaa atapata shida sana kwa sababu anatoa matamshi hadharani watakapoanza kumnanga ataanza kujifanya kutumia sheria za mitandao. Kifupi kazi ni ngumu sana upande wake nafikiri majipu yameisha hana cha kutumbua. Sasa amegeukia siasa nyepesi.
 
Mi ngoja niwe msomaji mana ile kauli ya kuwaita watu vilaza mpk leo nahis naota
 
Huyu aliye extract hizo data kwa lengo la uchonganìshì kati ya rais na wananchi lazima atakuwa mtumishi wa NACTE. These are confidential data. Sheria ya mtandao ichukue mkondo wake. Vyombo vya dola vifanye kazi yake.

Mods wa Jforums wawe makini kwani nao sheria inaweza kuwahusisha kama fascilitetors.
Kwa hiyo wewe unapinga jesca hasomi au.
 
kwiiii kwi kwiii, kapiga mbizi, du!!!!
kuanzia mwakani watatoa matokeo kwa namba za mitihani, mambo ya majina yanatuaibisha, wanaoafiki waseme siyo,
siyoooo, wanaopinga waseme ndio,
ndiyooooooooooooooooooooooooo!
Obrigado
Wakifaulu sana ndo hua wanatoa kwa majina, wakivulunda sana basi huamua kutoa kwa namba tu za mitihani. [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom