Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Mtoto wa kiune urithi akili kutoka kwa mama na mtoto wa kike kutoka kwa baba.
Sasa Jesca imekuwaje? Karithi toka kwa Anko Magu?
Teh teh teh...
Mtoto wa kiune urithi akili kutoka kwa mama na mtoto wa kike kutoka kwa baba.
Sasa kwa nini anawakashifu watoto WA wenzie wakati mwanaye yupo kapu moja?Mtihani huwa una mengi sana, kuna watu hufaulu kwasababu mbalimbali na kuna watu hufeli kwasababu mbalimbali. While hujui anayekusahihisha yupo katika mood ipi, mtahiniwa anaweza kufanya mtihani akiwa anaumwa na sababu kibao, while wengine wana pass kwa kuiba mitihani. lakini wapo pia wanaofaulu kihalali na wenye uelewa mzuri wapo ambao hufeli kihalali kwa kuwa na uelewa mdogo. Kuna article niliwahi kuisoma ya wanataaluma juu ya mtihani, conclusion yao ilikuwa mtihani si kipimo sahihi cha kupima uelewa wa mtu.
Kamtishe mwanao (kama unaye)Huu ndio uhuru wa kutoa maoni mnaotaka wa kumdhalilisha Rais...upo mwisho wake wa haya yote, you will come to regret...
Swali tata.Sasa Jesca imekuwaje? Karithi toka kwa Anko Magu?
Teh teh teh...
Kama nimekuelewa vizuri hakuna sababu basi ya JPM kuita wale wanafunzi wa UDOM vilaza!Mtihani huwa una mengi sana, kuna watu hufaulu kwasababu mbalimbali na kuna watu hufeli kwasababu mbalimbali. While hujui anayekusahihisha yupo katika mood ipi, mtahiniwa anaweza kufanya mtihani akiwa anaumwa na sababu kibao, while wengine wana pass kwa kuiba mitihani. lakini wapo pia wanaofaulu kihalali na wenye uelewa mzuri wapo ambao hufeli kihalali kwa kuwa na uelewa mdogo. Kuna article niliwahi kuisoma ya wanataaluma juu ya mtihani, conclusion yao ilikuwa mtihani si kipimo sahihi cha kupima uelewa wa mtu.
Maombi yataliwa na mwewe kabla hayajafika popoteNini kinachompa JPM ya kwamba aombewe huku na yeye hajatenda haki....
Hakika Watz maombi yetu hayatafanya kazi
Duuh kweli Tanzania haiishi maajabu hata Rais awe naninjoo hapa utapata habari yote Mtoto wa Magufuli sijui alifikaje Chuo Kikuu?
Afukuzwe kwa sababu ipi?Zengwe limeanza na inadaiwa muda si mrefu tutasikia amefukuzwa kazi . Na wakati utakapofika wasemaje wa bosi watakuja kusema Jesca ni mtu mzima hivyo boss asihushwe.