Noo.!! Umekasirika sana,,Twende taratibu,,haya, anza kuelezea ulitaka kumaanisha nini?,,anza kuelezea sasa,,,Acha uboya ww kwan hujaona mama mchungaji mtoto mlev mbwa..
Noo.!! Umekasirika sana,,Twende taratibu,,haya, anza kuelezea ulitaka kumaanisha nini?,,anza kuelezea sasa,,,Acha uboya ww kwan hujaona mama mchungaji mtoto mlev mbwa..
Kwa jibu hili Ni dhahir shair we ni kilaza wa kutupwaNaona UKAWA mmepata pa kupumulia. Rais Magufuli alikuwa sahihi kuwaita vilaza kwa vile mnaoneka a mmetekwa na mjadala wa vilaza
Jesca yupi maana jesca wako wengi tanzania hiiSi wangeanza na kumfukuza Jesca chuo ili tujue UDOM si mahali pa vilaza
Na wewe ulitaka kuwa mbunge kweli...Mwacheni Baba Jesca na Elimu ya Mwendokasi ya bintiye. Hana ukilaza wowote.Hiyo yake ni elimu ya Mwendokasi.
Tukajadilie wapi ? Maaana hata sehem muhimu za kujadilia wawakilishi wetu wanafukuzwa'bunge'
Mkuu kuzaa siyo kosa,kosa ni kumsomesha kwenye nchi yenye mfumo mbovu wa elimuIla mm nimemuachia mungu yaani kiongozi wangu anamuita mtoto wangu aliyepata 4 ni kilaza kwahiyo nilikosea mkuzaa inasikitisha sana
Mkuu hii ni habari nyingine.....huu moto unahitaji petroli kidogo ya sugu,mnyika,lema,zitto,mdee....vyuo vikuu vyote vitalipukaNashindwa kuamini yani toka jana vijana wa lumumba wameshindwa ku deal na hii story ili ikose nguvu?
Kauli mbaya hii hata kama una mahaba naye lakini lazima uwe unaamini unachosimamia.Mke wake ni Mwalimu wa shule ya msingi na sifa ilikuwa division four ya 28 na pia kwa kipindi cha nyuma kuna walimu wa upe ambao kikwete aliwaomba wajiendeleze japo wawe na Cheti ya form four. Hizi kauli ni hatari kuliko unavyofikiri na sasa wapinzani ni rahisi kuwashawishi waliofeli sekondari. Mara nyingine kukaa kimya ni busaraNaona UKAWA mmepata pa kupumulia. Rais Magufuli alikuwa sahihi kuwaita vilaza kwa vile mnaoneka a mmetekwa na mjadala wa vilaza
Haya ni majibu maalum kwa nyie mifugo ya MboweLeo mmechanganyikiwa
Binti mfalmeHuyo jesca ndo nan
hahaa umetishaa...mweeeh!Mwacheni Baba Jesca na Elimu ya Mwendokasi ya bintiye. Hana ukilaza wowote.Hiyo yake ni elimu ya Mwendokasi.
Huu ndo ubora wa Jamiiforums kujadili mambo yote ambayo huwezi kuyasikia TBC wala ITV au Uhuru au Tanzania daima. Ukiwa kiongozi wa nchi mambo yako sio personal tena bali ni public hivyo hata ukipiga chafya mfululizo tutajadili.
Ni nini tafsiri rahisi kama una qualifications had PhD, Mke pia ni mwalimu mbobezi wa kufindisha watoto elimu ya msingi, mnajaliwa watoto saba, na kati ya hao, mmojawapo anatoka na div 4 point 30.. Je ni child neglect? Au ni yale yake aliyosema Bashe ya kwamba taaluma ya waalimu ni chaka la waliofeli?
Inawezekanaje kama baba pia mama wote ni wanataaluma na wanashindwa kuwaelewesha au kuwafundisha watoto wao masomo ya awali hadi wafaulu na kuepukana na hizo div4 pts 30? Je jukumu la baba au mama la kusaidiana na waalimu wa awali linaishia wapi na lini? kama mtot ana utindio wa ubongo au ni mgumu wa kuelewa, au ni mzito kichwani, vipi shule maalum, alipelekwa?Kuwaita wengine vilala ni dalili za frustrations au msongo wa mawazo na kutokuelewa katika familia hadi motto kufikia div 4 points 30.
Jamii itawaelewaje, achilia mbali kama ni first family au la? Kama sio child neglect ni nini? halafu watoto saba...du...mzee alikuwa hachezi mbali na kinyama ugomvi, lakini kuwafundisha ilikuwa mtihani mwingine kwake (Ni kazi ngumu sana ile), yeye ni kufyatua tu watoto na kusonga mbele (elimu ya uzazi wa mpango pia haikueleweka) ama kweli walio mpa jina la Bulldozer hawakukosea... samahanini kama kuna walio udhika na uzi huu...
Tafuta hotuba yake nafikiri itakuwa humu....anakiri kusema kwamba wasaidizi wake walimwambia ajiepushe kwenda UDSM kwa muda ....akakataa,akasema mbona zamani alikuwa anaenda, nafikiri wasaidizi waliona mbali kwamba angelikoroga....na pengine kwa kuwa wanasema huyo binti ana ka ulinzi,lazima watu wa usalama walikuwa na matokeo ya huyo bintiKweli kila jambo na wakati. Nadhani kuna washauri walisha mshauri bwana mkubwa kuwa awe na akiba ya maneno sio kila jambo anaongea kwanza kisha kufikiri baadae.
Sio ajabu aliwapuuza na kuwaona kama wanataka kumuharibia. Lakini kwa hili la Ukilaza ambalo limeumiza wengi nadhani limeumiza zaidi ndani ya familia yake. Kuna uwezekano Jesca asiendelee tena kusoma UDOM kwani jina la Kilaza halitakufa kwake, na amani hataipata kabisa kisa kiburi cha dingi. Kuanzia sasa atachuja kauli zake kwa makini kwani wakati mwingine zinamrudi, na si yeye tuu bali hata familia.