Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Acha tutumie msemo wa kusema ukipanda lazima utavuna. Na
Ngoja tuone kwa huu mwendo kasi makufuli atafika mwaka 2020?

na kama atafika mwaka 2020 atavuna nini? kutoka kwa wananchi. atawaambia nini? wananchi. hata kama watanzania wengi ni wasaharifu lakini ninauhakia hili hawata lisahau hadi mwaka 2020 kwasababu limewagusa maisha ya wengi hata wanaccm wenyewe hilo litabaki miyoni mwao.
lazima nao kama ni binadamu na wanamoyo ninauhakia watafanya maamuzi mengine yakuto mpa kura magufuli.
 
Jesca Kilaza Magufuli.....

Hayo ndo madhara ya kutosoma hotuba.

Wewe hotuba ushaandikiwa lakini unakataa kuisoma na unaamua kuongea mambo bila mpangilio maalum wakati hauko mzungumzaji mzuri.

Matokeo yake unatumia lugha ya dhihaka ambayo inakuja kuathiri hata watu wa karibu yako.

Magufuli saa ingine huwa hana busara kabisa.
Jesca Kilaza Magufuli.....

Hayo ndo madhara ya kutosoma hotuba.

Wewe hotuba ushaandikiwa lakini unakataa kuisoma na unaamua kuongea mambo bila mpangilio maalum wakati hauko mzungumzaji mzuri.

Matokeo yake unatumia lugha ya dhihaka ambayo inakuja kuathiri hata watu wa karibu yako.

Magufuli saa ingine huwa hana busara kabisa.
Anataka aonekane anamwaga point kama nyerere kumbe ndo anayakoroga.
 
huwezi kumzungumzia Mungu bila kumkemea shetani. Hivyo mpaka raisi aombe radhi kwanza ndo yaishe.. kwani tunajua a yeye ni binadamu kama sisi hivyo kukosea ni moja ya wajibu wetu hapa Duniani. Ila kama asipoomba radhi haina budi tukiendelea kumjadili Jesca maana hamna namna
 
moderators wana double standards. matokeo ya mbowe hawakutaka tujadili walifunga mjadala huu wanauacha ukiendelea kudhalilisha watu sio sawa kabisa.
acha kubadili mada jibu swali kama uwezi kimbia kama wenzako mzee mwanakijiji,ritz,lizaboni,barbarosa
 
Hata cc tuliumia alivyowaita watt wetu vilaza ili hali walipelekwa pale na serikali
Awe anatoa boriti ndani ya jicho lake ndipo aweze kutoa kibanzi cha mwingine acha mwanae aumie tu hakuna namna
 
All human actions have one or more of these seven causes: chance, nature, compulsions, habit, reason, passion and desire.
 
moderators wana double standards. matokeo ya mbowe hawakutaka tujadili walifunga mjadala huu wanauacha ukiendelea kudhalilisha watu sio sawa kabisa.
 
Do not underestimate the power of "vilaza"
 
Ni nini tafsiri rahisi kama una qualifications had PhD, Mke pia ni mwalimu mbobezi wa kufindisha watoto elimu ya msingi, mnajaliwa watoto saba, na kati ya hao, mmojawapo anatoka na div 4 point 30.. Je ni child neglect? Au ni yale yake aliyosema Bashe ya kwamba taaluma ya waalimu ni chaka la waliofeli?

Inawezekanaje kama baba pia mama wote ni wanataaluma na wanashindwa kuwaelewesha au kuwafundisha watoto wao masomo ya awali hadi wafaulu na kuepukana na hizo div4 pts 30? Je jukumu la baba au mama la kusaidiana na waalimu wa awali linaishia wapi na lini? kama mtot ana utindio wa ubongo au ni mgumu wa kuelewa, au ni mzito kichwani, vipi shule maalum, alipelekwa?Kuwaita wengine vilala ni dalili za frustrations au msongo wa mawazo na kutokuelewa katika familia hadi motto kufikia div 4 points 30.

Jamii itawaelewaje, achilia mbali kama ni first family au la? Kama sio child neglect ni nini? halafu watoto saba...du...mzee alikuwa hachezi mbali na kinyama ugomvi, lakini kuwafundisha ilikuwa mtihani mwingine kwake (Ni kazi ngumu sana ile), yeye ni kufyatua tu watoto na kusonga mbele (elimu ya uzazi wa mpango pia haikueleweka) ama kweli walio mpa jina la Bulldozer hawakukosea... samahanini kama kuna walio udhika na uzi huu...
 
Naona UKAWA mmepata pa kupumulia. Rais Magufuli alikuwa sahihi kuwaita vilaza kwa vile mnaoneka a mmetekwa na mjadala wa vilaza
nikajua mkuu unachungulia na kusepa kumbe unaa ujasiri wa kushika keyboard, hayo tuyaache, hivi jesca ni Kilaza?
 
Back
Top Bottom