Wakati nachangia apa, nipo juu ya mti, kwa sababu ya Netowor, mwanangu Malisa mimi ni sawa na Babako, matahalani umeisha fanya wa Utafiti kuntu wa Jesca kwa nini usinifanyie wa EDINA JOHN POMBE MAGUFULI ili move ikamilike vyema? tafadhali sana naomba msaada wako maana sasa naanza kujiwa na wasawas kuwa yawezekana hata uzao wa kwanza wa Broo yangu Magu haukurithi kukalili uefu wa barabara, maana jamaa yangu mmoja sasahiv ni Mgambo yupo mtwara ananiambia alisoma na huyu binti! chuo kikuu ebu Malisa dadavua na huyo.